Kwa muda mrefu nimekuwa nikishirikiana na huyu member mambo ya Siasa za Mashariki ya Mbali sasa basi

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Si vyema kumtegemea bin adam tumche mola pekee ndugu zanguni. Huyu member ritz tumekuwa mara nyingi tukiandika nyuzi na kushare ideas kuhusu ukubwa wa Iran,Syria,Yemen, Hamas, Hizbullah na baba lao Russia na China.

Nimegundua tulikuwa tunafanya propapaganda za kitoto na zisizo na ukweli au uhalisia. Kwa mihemko na chuki dhidi ya wazungu na makafir wengine. Hii Dunia ina wenyewe sisi tumche mola tu hayo mengine tuwaachie wenyewe.

Nimeumia sana kwa Assad kuondolewa Syria. Limeniumiza sababu hii inaonesha Mayahudi yamefanikiwa sana. Iran ambayo tuliitegemea na Russia wamewezaje kushindwa isaidia Syria? Syria imekuwa karibu sana na hizi nchi kubwa kijeshi na kiuchumi. Nimeumia. Ritz amekuwa akiniambia haitatokea hata siku moja tukashindwa na amekuwa akileta nyuzi nyingi sana kwa kushirikiana nasi.

Sitaki tena nitarudi kujikita katika utambuzi wa mambo kielimu na si mihemko.
 

kakojowe ukalale
 
Wewe ulikuwa mchepuko wa Assad? Au mke wa Assad Asma Assad?
 
Hapo mwisho umemaliza kwa kusema kwamba

Utarudi kuyapambanua mambo ki elimu na si ki mihemuko? Swali je utaweza? Maana vijana wengi nawaonaga mna mihemuko sana
 
Mkuu kunywa maji ya baridi ni dawa nzuri ya maumivu. Hiyo iwe fundisho kwa watu wote wanaodanganywa na Iran au Urusi. Hao wote walikua backup ya Assad ila wamekimbizwa kama watoto. Utawala wa Assad umeanguka kitoto sana.
 
Waturuki wamewasaliti wajukuu wa mtume naona.Sema jamaa naye chenga unakaa madarakani muda wote hivyo na Syria haina kitu kama Monarchy.Imepigwa Aleppo ikabaki majivu jamaa bado alikuwa amekaza fuvu bado tu
 
kakojowe ukalale
Naona amekuudhi sana....nimeyatafakari maneno yake nimejifunza kitu. Haya mambo hayataki hasira au ushabiki na mihemko. Ataendelea kujifunza huyu bwana mdogo... Hii Dunia kuna mengi ya kujifunza mtu akiwa na ubongo mwepesi....
 
Mmeiacha nchi yenu inayowabutua magoti na ugoko mnaangaika na weupe huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…