Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Si vyema kumtegemea bin adam tumche mola pekee ndugu zanguni. Huyu member ritz tumekuwa mara nyingi tukiandika nyuzi na kushare ideas kuhusu ukubwa wa Iran,Syria,Yemen, Hamas, Hizbullah na baba lao Russia na China.
Nimegundua tulikuwa tunafanya propapaganda za kitoto na zisizo na ukweli au uhalisia. Kwa mihemko na chuki dhidi ya wazungu na makafir wengine. Hii Dunia ina wenyewe sisi tumche mola tu hayo mengine tuwaachie wenyewe.
Nimeumia sana kwa Assad kuondolewa Syria. Limeniumiza sababu hii inaonesha Mayahudi yamefanikiwa sana. Iran ambayo tuliitegemea na Russia wamewezaje kushindwa isaidia Syria? Syria imekuwa karibu sana na hizi nchi kubwa kijeshi na kiuchumi. Nimeumia. Ritz amekuwa akiniambia haitatokea hata siku moja tukashindwa na amekuwa akileta nyuzi nyingi sana kwa kushirikiana nasi.
Sitaki tena nitarudi kujikita katika utambuzi wa mambo kielimu na si mihemko.