Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 306
- 706
Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa.
Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu.
Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile inayoathiri maisha yangu au hzi ndoto ni matokeo ya mawazo yangu na hali yangu ya ukata?