Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

Nimeachana na habari za elimu nafanya mambo mengine wasio yajua, wao wanajua nimebuma tayari. Japo anytime naweza back to school na kwa sasa washachoka choka.
Mungu ni mkubwa kila chenye mwanzo kina mwisho nguvu zao sio kama zamani.

Tatizo linalofanya mchawi kuchoka ni analoga watu wengi, raha ya mchawi ni awaumize wengi, anaweza loga hata nyumba nzima, akimaliza anahamia kwingine ndiyo maana wanachoka.
😅🤣😂 Mkuu unaonekana una experience sana na hawa watu kwa hiyo wanachoka sana kwa maana akitoka kumroga juma akaenda kwa shabani na rashidi anakuta juma amesha pata matibabu inabidi aanze upya kumroga juma.kazi inakuwa nyingne tena😅
 
Pia ndoto za shule humaanisha kuna jambo umekosea mahali,kuna mtu umemfanyia baya ,umezini, umedanganya , hivyo unakumbushwa kutubu na kuacha jambo lolote ovu maana ndo chanzo cha anguko lako,Hata hayo manung'uniko ni dhambi badilika na fuatilia wapi ulipokosea kila jambo litarudi sawa
 
Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa.

Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu.

Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile inayoathiri maisha yangu au hzi ndoto ni matokeo ya mawazo yangu na hali yangu ya ukata?
Ndoto za kuota hupo shuleni ni mbaya sana inawezekana unaota upo form 4 au darasa la Saba upo na wenzio inawezekana unaota unafanya mtihani si ndio? Ndoto hii inazuia maarifa yako ili usifanikiwe
Basi ndoto hii inamaana kwamba Kuna maagano babu zako waliweka maagano na mizimu au baba yako alikuwa anapenda kwenda kwa waganga kupata msaada majini huwa yanataka kuendelea kupewa sadaka na kizazi chenu
 
Sasa nifanyeje mkuu wangu kwa ushauri wako?
 
Katika ulimwengu wa kiroho bado haujamaliza kusoma still upo shule ndo maana issue za maendeleo hazisogei
Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa.

Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu.

Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile inayoathiri maisha yangu au hzi ndoto ni matokeo ya mawazo yangu na hali yangu ya ukata
 
Ndoto za kuota hupo shuleni ni mbaya sana inawezekana unaota upo form 4 au darasa la Saba upo na wenzio inawezekana unaota unafanya mtihani si ndio? Ndoto hii inazuia maarifa yako ili usifanikiwe
Basi ndoto hii inamaana kwamba Kuna maagano babu zako waliweka maagano na mizimu au baba yako alikuwa anapenda kwenda kwa waganga kupata msaada majini huwa yanataka kuendelea kupewa sadaka na kizazi chenu
Wa-Tanzania mna fikra za ajabu Kinoma!
 
Back
Top Bottom