100% zina maana kubwa! Ndugu Tafuta kanisa unaloliamini wewe uanze kuwa mtu wa kufanya maombi. Anza kanisani ukaombewe tafuta mchungaji, Padri au nabii akakuombee then usiache kuwa unaomba kuvunja hizo roho za kukurudisha nyuma.Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa.
Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu.
Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile inayoathiri maisha yangu au hzi ndoto ni matokeo ya mawazo yangu na hali yangu ya ukata?
leDaaah means huwa tunafungwa na kurudishwa nyuma, shuleni hatukumaliza japo tulipenda kusoma.
dawa ni kusali sana au kufanya mengine ya kimaendeleo tofauti na shule ila wasijue watu hayo mengine ufanyayo maana adui yako kakublock kwenye shule yaani hataki umalize shule, hataki upate kazi kwa kisomo chako, wanajua kwamba wewe ni kichwa na wanajua uwezo wako ni mkubwa kama ulivosema wewe ni mbunifu (siku zote wachawi wanapenda kuangusha mtu chuma yaani kucheza na mwenye nyota nzuri).
Wewe fanya reverse yaani fanya mengine kama biashara na lazima utafanikiwa japo iwe siri, usikae karibu na wanao kujua, mara nyingi huu mtego ni mtu wa karibu kakufanyia yaani ndugu, waambie bado maisha yako ni taabani, ili wafikiri wamekuweza kumbe ushawasoma.
Siku zote mchawi ukimwona kakuzidi mwache kaa kimya maana wanafikaaga mahali wanachoka, wanazeeka na wanakufa, huwezi logwa milele.
Mimi haya yako yamenitokea nimeota nasoma msingi, sekondari mpaka chuo kikukuu, that means kuna tego wamelicheza......wengine wanakufukuza kwenu kwa kutegewa uchawi wa kiatu, kwamba ukienda Dar, ardhi ya kwenu hutokaa urudi tena wala kufikiri kuiwaza kuirejea.....
Nimeachana na habari za elimu nafanya mambo mengine wasio yajua, wao wanajua nimebuma tayari. Japo anytime naweza back to school na kwa sasa washachoka choka.Aisee pole sana mkuu
Ila ahsante saanaa mnooo pia
Shukrani kwa kuchukua muda kuandika faraja hii
Vp wewe uliwezaje kuishinda hii hali kiroho?
le
maisha ya kiafrika yamejaa hila sana..!Daaah means huwa tunafungwa na kurudishwa nyuma, shuleni hatukumaliza japo tulipenda kusoma.
dawa ni kusali sana au kufanya mengine ya kimaendeleo tofauti na shule ila wasijue watu hayo mengine ufanyayo maana adui yako kakublock kwenye shule yaani hataki umalize shule, hataki upate kazi kwa kisomo chako, wanajua kwamba wewe ni kichwa na wanajua uwezo wako ni mkubwa kama ulivosema wewe ni mbunifu (siku zote wachawi wanapenda kuangusha mtu chuma yaani kucheza na mwenye nyota nzuri).
Wewe fanya reverse yaani fanya mengine kama biashara na lazima utafanikiwa japo iwe siri, usikae karibu na wanao kujua, mara nyingi huu mtego ni mtu wa karibu kakufanyia yaani ndugu, waambie bado maisha yako ni taabani, ili wafikiri wamekuweza kumbe ushawasoma.
Siku zote mchawi ukimwona kakuzidi mwache kaa kimya maana wanafikaaga mahali wanachoka, wanazeeka na wanakufa, huwezi logwa milele.
Mimi haya yako yamenitokea nimeota nasoma msingi, sekondari mpaka chuo kikukuu, that means kuna tego wamelicheza......wengine wanakufukuza kwenu kwa kutegewa uchawi wa kiatu, kwamba ukienda Dar, ardhi ya kwenu hutokaa urudi tena wala kufikiri kuiwaza kuirejea.....
sana mkuu ni shida juu ya shida.m
maisha ya kiafrika yamejaa hila sana..!
Wewe tafuta mtu akunyooshee njia au muombe Mungu sana, mtu anaekuzibia njia ni mtu wa karibu yako sio mtu wa mbaliNikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu.
Waswahili;mfa maji haishi kutapatapa(.......)???Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa.