Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
Mkuu maelezo zaidi tafadhariKatika ulimwengu wa kiroho bado haujamaliza kusoma still upo shule ndo maana issue za maendeleo hazisogei
Shule ni jengo,Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa.
Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu.
Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile inayoathiri maisha yangu au hzi ndoto ni matokeo ya mawazo yangu na hali yangu ya ukata?
Mambo hayaendi kama tunavo tarajia au kutamani japo shule ipo ya kutoshaMaisha yako kiujumla ni ya mahangaiko mkuu?
Hizi sio fikra haya matendo ya kiimaniWa-Tanzania mna fikra za ajabu Kinoma!
Kuna baadhi ya watu zinajirudia mara nyingi, na kibaya zaidi unaota uko shule ya msingi wakati chuo ulimaliza miaka 10 imepita..hapo ndio shida inaanzia...binafsi hii ilinitokea sana na wakati huo mambo yangu mengi yalisimama, baada ya kuanza ibada nilipaa Kwa spidi mia na hizo ndoto zikakoma!At least kila mtu amewahi kuota ndoto ya nanna hiyo, sasa sijui kama kila anayeoota amerudi shule atakuwa karogwa
Nifundishe mkuu ili nami nijitoe humoKuna baadhi ya watu zinajirudia mara nyingi, na kibaya zaidi unaota uko shule ya msingi wakati chuo ulimaliza miaka 10 imepita..hapo ndio shida inaanzia...binafsi hii ilinitokea sana na wakati huo mambo yangu mengi yalisimama, baada ya kuanza ibada nilipaa Kwa spidi mia na hizo ndoto zikakoma!
Upo sawa ishu ni nyota, nguvu au jina lako limenenwa kwenye uchawii wengine wanafanya na kafara za kichawi km kuchinja ama matambiko ili kuyapa manuizi hayo nguvu!Daaah means huwa tunafungwa na kurudishwa nyuma, shuleni hatukumaliza japo tulipenda kusoma, na tuliomaliza kazi hakuna..
dawa ni kusali sana au kufanya mengine ya kimaendeleo tofauti na shule ila wasijue watu hayo mengine ufanyayo maana adui yako kakublock kwenye shule yaani hataki umalize shule, hataki upate kazi kwa kisomo chako, wanajua kwamba wewe ni kichwa na wanajua uwezo wako ni mkubwa kama ulivosema wewe ni mbunifu (siku zote wachawi wanapenda kuangusha mtu chuma yaani kucheza na mwenye nyota nzuri).
Wewe fanya reverse yaani fanya mengine kama biashara na lazima utafanikiwa japo iwe siri, usikae karibu na wanao kujua, mara nyingi huu mtego ni mtu wa karibu kakufanyia yaani ndugu, waambie bado maisha yako ni taabani, ili wafikiri wamekuweza kumbe ushawasoma.
Siku zote mchawi ukimwona kakuzidi mwache kaa kimya maana wanafikaaga mahali wanachoka, wanazeeka na wanakufa, huwezi logwa milele.
Mimi haya yako yamenitokea nimeota nasoma msingi, sekondari mpaka chuo kikukuu, that means kuna tego wamelicheza......wengine wanakufukuza kwenu kwa kutegewa uchawi wa kiatu, kwamba ukienda Dar, ardhi ya kwenu hutokaa urudi tena wala kufikiri kuiwaza kuirejea.....
hiyo mbona iko wazi sana gentleman,Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa.
Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu.
Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile inayoathiri maisha yangu au hzi ndoto ni matokeo ya mawazo yangu na hali yangu ya ukata?
AiSeeUpo sawa ishu ni nyota, nguvu au jina lako limenenwa kwenye uchawii wengine wanafanya na kafara za kichawi km kuchinja ama matambiko ili kuyapa manuizi hayo nguvu!
Unafikiri unatoka kirahis mzee Eric?
Mm sitaki hata mchawi anisogelee maake wale ni wauaji waziwazi so poa.....
Kuzeeka kwao au kufa, mtu alishakufunga so sad
Hapo kwenye sadaka unamaanisha kidogo alicho nacho akampe mchungaji ajitafunie na familia yake?Mungu mara nyingi anaongea na sisi kupitia ndoto, hii ndoto ikikutokea maana yake kuna very big obstacle kwenye maisha yako, toa sana sadaka na sali sana mungu akusaidie kuondoa huo mkwamo kwenye mambo yako
Sisi waafrika bado hatujaqualify kuwa binadamu.Sawa mkuu