Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

😅😂Inaweza ukawa kweli lakini unatia mbwembwe sana
 
Kwanini watu mmeanza kumshauri kwenda kanisani, mara kumtafuta mchungaji, nabii kwani kuna mahali amesema yeye ni Mkristu au mmeamua tu kumpa dini .

Anyway anaweza kuwa ni Mkristu kweli ila hili la kuanza kumwambia mitazamo ya dini/imani zenu wakristu kuna jambo inaonesha juu ya sisi wakristu.
 
Mambo ya Kiroho hayana cha intellectual mzee...

We soma elewa tu, mengine omba yasikukute
Kuamini kuwa kuna mambo ya kiroho, ni kuwa na fikra kama za wanyama, ng'ombe, fisimaji au kenge.

Jitahidi kujielimisha utoke level hizo.

Labda nikuulize, roho inakaa sehemu gani katika mwili wa binadamu?
 
Kuamini kuwa kuna mambo ya kiroho, ni kuwa na fikra kama za wanyama, ng'ombe, fisimaji au kenge.

Jitahidi kujielimisha utoke level hizo.

Labda nikuulize, roho inakaa sehemu gani katika mwili wa binadamu?

Upo sawa mkuu... Ila omba tu yasikukute, omba sana
 
Toka utawala wa mwanadamu kuanguka Mali zote zipo chini ya Tawala ya Miungu Kama wewe unaenenda kinyume na wa Miungu tarajia kunoki.

Mfano Mokesh Miungu ya ardhi hii inawababua Sana wanaowekeza ardhini Kama wakulima, wachimba madini wasio wa upande ule means watafanya kila kitu kwa ustadi Hakuna watapata Mana kabla ya kupanda wenzio washakuvuna.

Sehem zote ulizokaa kwa Muda mrefu Zina mamlaka na wewe na sehemu ya nafsi yako imekwamishwa hapo, usiraharau watu wanaongea na udongo kuusemesha kile wanataka.

Udongo unaweza kukupigania Vita Mana miguu yako ni malango ya kukutajorisha.

Ndoto za uharibifu huwa zinakuja mids ya kuelekea Mapambazuko yaani wanachofanya ni kuwahi Muangaza wako ili ubakie gizani.

Naishia hapa.
Ni hesabu Kali tunapigiwa Hadi ustuke kuwa walikuacha uogelee wao wakikusubiri ng'ambo.

Miyeyusho Yao pia huanza na neno huishia kwenye imani lakini just Wana Madhabao wanazo zitegemea.
 
Ndio nipo dsm sinza
Inbox umeweka kufuli nimeshindwa reply ngoja nikupe time table kila siku saa 4 kuna maombi mtu mmoja utapata muongozo mzuri njoo hapa lutheran church kkkt kimara korogwe jumamosi kuna maombi ya pamoja saa 5 asubuhi mpk saa 8 na kila siku jioni saa 12 na nusu mpka saa 2 usiku njoo usiteseke hiyo misingi na huyo anaekutest ashindwe
 
Umeongea kweli yote mwenye masikio asikie
 
Wanga wana mambo meusiiii.
 
Sasa ndugu nifanyeje, tusaidiane
 
Hizo ndoto naota sana na sipigi hatua yoyote huku umri unasonga. Kila ninachoanzisha, hakifanikiwi na wakati mwingine mpaka hujuma kwenye mambo yangu ili tu, niziweze kusogea mbele.

Wakati mwingine napanga mipango mizuri alafu najikuta siwezi au napuuza kuanza kuchukua hatua. Najikuta najichukia mwenyewe.

Kuna vitu najua kuvifanya ambavyo vinaweza kunitoa hapa nilipo, lakini sifanyi. Natamani kuanza kufanya, ila kuna kitu kinanizuia
 
Sasa mkuu tufanyeje tujichotoe katika circle hii , tutakuffa masikini.
 
Sasa mkuu tufanyeje tujichotoe katika circle hii , tutakuffa masikini.
Kiukweli hata mm sijui maana kila ninalopanga, haliwi. Hata nikipata hela, yanaanza majanga mpaka naingia kwenye madeni. Kuna wakati nataka kujaribu vitu wanavyofanya wenzangu, ndugu nao wanakua vikwazo najikuta nakata tamaa
 
Kiukweli hata mm sijui maana kila ninalopanga, haliwi. Hata nikipata hela, yanaanza majanga mpaka naingia kwenye madeni. Kuna wakati nataka kujaribu vitu wanavyofanya wenzangu, ndugu nao wanakua vikwazo najikuta nakata tamaa
Umeshawahi kusaka msada wa kiroho kwa mganaga, dua au maombi?
 
Umeshawahi kusaka msada wa kiroho kwa mganaga, dua au maombi?
Kuhusu waganga mimi ni muoga sana. Kuhusu maombi, mimi sio mtu wa kusali nilishaacha nilipogundua wachungaji wananeemeka kupitia sisi. Sadaka huwa natoa kwa kuwasaidia wale watoto wa familia zisizojiweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…