Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Kawaida hiyo mkuu. Sasa kama muda mwingi umeishi shule karibu maisha yako yote ya udogoni sasa kwanini usiote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mambo hujatimiza katika umri wakoNishaoa mkuu
Hujajibu swaliHAdi na ukubwa huo hujui maana na jinsi ya kutoa sadaka hadi mchungaji akudanganye
Usitoe hela zako kwa hao wahuni wanaojiita wachungaji kwa kisingizio cha sadaka.Yaaanj basi tu
Duh ndugu ni hatari sana na haya yapo sana kwenye koo zetuDaaah means huwa tunafungwa na kurudishwa nyuma, shuleni hatukumaliza japo tulipenda kusoma, na tuliomaliza kazi hakuna..
dawa ni kusali sana au kufanya mengine ya kimaendeleo tofauti na shule ila wasijue watu hayo mengine ufanyayo maana adui yako kakublock kwenye shule yaani hataki umalize shule, hataki upate kazi kwa kisomo chako, wanajua kwamba wewe ni kichwa na wanajua uwezo wako ni mkubwa kama ulivosema wewe ni mbunifu (siku zote wachawi wanapenda kuangusha mtu chuma yaani kucheza na mwenye nyota nzuri).
Wewe fanya reverse yaani fanya mengine kama biashara na lazima utafanikiwa japo iwe siri, usikae karibu na wanao kujua, mara nyingi huu mtego ni mtu wa karibu kakufanyia yaani ndugu, waambie bado maisha yako ni taabani, ili wafikiri wamekuweza kumbe ushawasoma.
Siku zote mchawi ukimwona kakuzidi mwache kaa kimya maana wanafikaaga mahali wanachoka, wanazeeka na wanakufa, huwezi logwa milele.
Mimi haya yako yamenitokea nimeota nasoma msingi, sekondari mpaka chuo kikukuu, that means kuna tego wamelicheza......wengine wanakufukuza kwenu kwa kutegewa uchawi wa kiatu, kwamba ukienda Dar, ardhi ya kwenu hutokaa urudi tena wala kufikiri kuiwaza kuirejea.....
Hii comment imenilizaKama vipi ungeanza masomo ya QT. Hizo ndoto zingeisha tu zenyewe automatically.
S kweli kuna. Siku unaweza muota ambaye hamjaonana siku nyingi mara paap asubuhi huyo ndo anakuwa wa kwanza kuonana naeNdoto ni matokeo ya ubongo kuchakata taarifa na kumbukumbu zilizopo akilini wakati upo usingizi. Ndoto hazina tafsiri yoyote kama inavyosemekana na wengi
Mbona halipo dadaInbox umeweka kufuli nimeshindwa reply ngoja nikupe time table kila siku saa 4 kuna maombi mtu mmoja utapata muongozo mzuri njoo hapa lutheran church kkkt kimara korogwe jumamosi kuna maombi ya pamoja saa 5 asubuhi mpk saa 8 na kila siku jioni saa 12 na nusu mpka saa 2 usiku njoo usiteseke hiyo misingi na huyo anaekutest ashindwe
Sio uongo,Bora huyu kaweka wazi Mimi nimewahi kuwa naota hivyo hivyo mara kadhaa Niko Chuo nafanya mtihani wa SoMo ambalo sikuwa nlimudu vizuri na kiasi nahofia sitopata cheti ,severa times lakini Cha kushangaza huko nilishavuka na cheti ninachi ila Sasa Huwa zinanitesa sana na sielewi manake ni nini but wengi niliojaribu kuwashilikisha Huwa wanasema Kuna kauzibe umewekewa na nani hapo ndio mtihani kujua.Uongo mtupu.
Ukiniuliza Mimi siwezi kushauri.kwenda Kwa waganga au sijui wachungaji Kwa sababu wengi wao wamekuwa matapeli.Kuhusu waganga mimi ni muoga sana. Kuhusu maombi, mimi sio mtu wa kusali nilishaacha nilipogundua wachungaji wananeemeka kupitia sisi. Sadaka huwa natoa kwa kuwasaidia wale watoto wa familia zisizojiweza
Washenzi sitaki hata kuwasikiaWanga wana mambo meusiiii.
Sisi waafrika bado hatujaqualify kuwa binadamu.
Hatujawa na uelewa au ufahamu wa kufikiri kama binadamu anavyotakiwa kuwa, bado tuna akili zinazofanya kazi kama wanyama, mjusi, ng'ombe au nyani.
Bado tunaamini kuna mapepo, maruhani, miujiza, ulimwengu wa roho, mapopo bawa na mizimu. Wote huo ni ukosefu wa elimu, uelewa, na matokeo ya kuwa na fikra duni kama za wanyama.
Ukweli ni kwamba, ndoto ni matokeo ya ubongo.
Ubongo unafanyia kazi vitu ambavyo umewahi kuviona, kuvifanyia kazi ama kuviwaza, na ndio maana ni vigumu sana mtu kuota anafanya mapenzi na mama yake mzazi kwa sababu hajawahi kuwaza hivyo.
Sababu inayomfanya mtu aote mara kwa mara yuko shuleni ni kwa sababu ndipo sehemu pekee aliyotumia muda mrefu kuliko sehemu yeyote ya maisha yake.
Kila ukilala, ubongo ukitaka kurecall, unakutana na sehemu hiyo iko restored mara nyingi.
Lakini kwa sababu kuna watu wasio wema, wezi na matapeli, wanatumia uelewa wetu finyu, kutudanganya na kututapeli, watakuambia kuna watu wamekuroga, au wanakuzibia nyota usifanikiwe.
Post hii aione Intellectual Kiranga dada mrembo Joanah na mganga wa kienyeji Mshana Jr