[emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia ataapishwa na AmsterdamImevuja:Bakwata kuvujwa na baadala yake inaundwa Islamic Council of Tanganyika and Zanzibar
Mufti Mkuu imethibitika atakuwa Alhaji Sheikh Ponda Issa Ponda
Baada tu ya kuapishwa kwa Jemadari mpenda HAKI na Maendeleo ya WATU
Toa utopolo wako hapa, tupo kwenye wiki ya mwisho wa kampeni, hakuna kitakachotutoa kwenye mstari, shughulikeni na jiwe wenu, katiba ya Act iache tu wala haikuhusu
We wa kijijini, utumwa ni shida. Usiutaje shetani akasikia.People of Tanzania we should know that we are slaves in our own country, so the only opportunity we have now is to change the whole system by having our own powers.
Sasa hujioni kama unakuwa mjinga?Katiba ya Mwenzio wewe inakuwashia nini?mnataka tufukunyue na nyinyi mnavyoichambia Katiba nini?
Usiniingize kwenye ligi ya kitoto nimeyasema hayo kwa uhalisia na kampeni zinavyoendelea[emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia ataapishwa na Amsterdam
Wazo la kuunga mkono ni la kamati kuu na sio la Maalim wala Zitto elewa mkuu....Kamati kuu ndio hao hao waliotunga hiyo katiba.Ndugu zangu,
Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT.
Fuatilia mwenyewe hapa chini,Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.View attachment 1606498
Ndio rais wako huyo.Kampepee mgombea wenu kwanza maana bila.feni pumzi hana,
Msajili achukue hatua haraka wawasiliane na Tume ya uchaguzi wawaondoe ugombea zitto KABWE na Maalim SEIFKwasasa haina marekebisho kamanda
Basi njooni na Sindano ya Sumu mtuchome Wapinzani wote ili mtawale Milele amina.Sasa hujioni kama unakuwa mjinga?
Unataka uwe mbadala wa ccm wakati katiba yako tu mwenyewe huifuati. Hizo ni akili au matope?
Unamkana Amsterdam?Usiniingize kwenye ligi ya kitoto nimeyasema hayo kwa uhalisia na kampeni zinavyoendelea
B.S hebu comment zenye hojaUnamkana Amsterdam?
Hujui kama yule ndio mastermind wa kampeni za mgombea wako?
Unafikiri zile juhudi anazofanya kule twiter ni za bure?
Issue ni katiba iliyopo sasa hivi iliyosajiliwa kwa msajiliWazo la kuunga mkono ni la kamati kuu na sio la maalim wala zitto elewa mkuu....Kmati kuu ndio hao hao waliotunga hiyo katiba.
Kama ulimsikiliza Maalim Seif kwa makini amesema tamko lile sio la Zitto au yeye lile tamko ni la chama walikaa chini wakaamua hadi huyo Membe alikuwepo.Ndugu zangu,
Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT.
Fuatilia mwenyewe hapa chini,Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.View attachment 1606498
Hoja ni pamoja na hizo za ku recognise juhudi za Amsterdam katika juhudi za jumuingiza Lisu Ikulu ili wafaidi mama ya tzB.S hebu comment zenye hoja
Mmeishiwa pumzi, mmebaki kusimulia bombadia wakati ni zilipendwa...watanzania wamewachoka nyinyi matapeli na wadhulumati wa haki za wanyonge, wakulima, wafanyakaxi, wafanyabiashara, walimu na hata wana ccm wenzenu wamechola uongozi wenu wa mabavu...mtajua kama tumewachoka, subiri 28102020Jenga hoja,tarehe 28.10.2020 sisi watanzania tutaweka utawala wa Watanzania na sio wa vibaraka wa akina Robert Amsterdam
Wao wamekuwa wakitoa matamko midomoni mwao wakati katiba inatamka mtu akitoa hayo matamko kajivua uanachama wameshajivua uanachama kinachosubiri ni wao kuvuliwa ugombea tu haraka sababu sio wanachamaWazo la kuunga mkono ni la kamati kuu na sio la maalim wala zitto elewa mkuu....Kmati kuu ndio hao hao waliotunga hiyo katiba.
Hivi vyeo vya duniani vitampeleka wapi? Mbiguni hakuna demokrasia. Getini ukiambiwa nenda kulia au kushoto hakuna kubisha.Imevuja:Bakwata kuvujwa na baadala yake inaundwa Islamic Council of Tanganyika and Zanzibar
Mufti Mkuu imethibitika atakuwa Alhaji Sheikh Ponda Issa Ponda
Baada tu ya kuapishwa kwa Jemadari mpenda HAKI na Maendeleo ya WATU
Kasome katiba yao.Vip TLP?
Rubbish......try again later onPeople of Tanzania we should know that we are slaves in our own country, so the only opportunity we have now is to change the whole system by having our own powers.