Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Alafu kabla mzee baba hajaenda kujibu hizo hoja, nawashauri mumkutanishe na wale Askari TAL alikua anawagaragazaga kwa maswali mahakamani wampe reheso! Lisu ana maswali magumuuu ohoo, alafu mdharau mwiba!!
Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja . Nani Yuko juu ya Sheria?Rais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Acha tusogeze siku, lakini mambo mengine hayana mantiki yeyote.
Mwana kuyasakaDuh.... This Lissu sasa ananitisha hata mimi...sio kwa guts hizi...[emoji2][emoji2][emoji23]
😂😂😂😂😂sikua na mpango wa kupost eti niniii??Ni kwa kingereza ujue
Wagombea wote ni sawa mbele ya sheria.Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja . Nani Yuko juu ya Sheria?
Amemuwekea pingamizi kama rais wa nchi au mgombea wa urais wa CCM?Rais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Face by faceWagombea wote ni sawa mbele ya sheria.
Patam sana hapo pangekuwa live sijuiKwa mujibu wa sheria ya uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja .
Sasa leo Mh Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa kuambatanisha passport size kwenye form yake pia wadhamini wake kuhakikiwa na wasimamizi wasaidizi badala ya TUME yenyewe zaidi alihakikiwa tarehe ambayo haipo kwenye ratiba.
Battle to battle.
Atakapotakiwa kwenda kujibu tuhuma basi hiyo kofia ya urais atalazimika kuiacha sebuleni,na anaweza asiikute atakaporudi,atabakia kuwa mwenyekiti wa ccm tu,itauma hiyo!!
Ndo tutajua hatujui...Acha tusogeze siku, lakini mambo mengine hayana mantiki yeyote.
Usinifokee man, I am entertaining my freedom of dreaming and speaking!Do not make fool out of yourself.
Mwambie atangaze kama ana ubavu huo. Hivi sasa anawaza jinsi ya kukabiliana na hoja za Tundu Lisu na kumbuka hawezi kutumia mawakili wa serikali wala wake binafsi.
Mgombea urais wa CCM..Amemuwekea pingamizi kama rais wa nchi au mgombea wa urais wa CCM?
Sina mbavu!Picha ya Rais si iko hata hapo ukutani kwenye ofisi za tume. Huyo domokrasia ache kupayuka hovyo.
Kumbe mnajua ana point?Muambieni Lissu anaficha madhaifu yake kupitia upayujaji. Watu makini huwa hatubabaishwi na kupayuka kwake. Tuna msikiliza pointi kwa pointi. Hamna kitu hapo.