PreGE2025 Kwa mujibu wa taarifa alizopewa Maria Sarungi, ni kwamba watekaji wanamuwinda Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakupewa taarifa walipotaka kumteka yeye?mdude nyagali,na Mzee watanga Yule? Sounds weird of her though
 
Kudadadeki, ngoja sasa nianze tembea na bunduki yangu
 
Mkuu kuwa makini na michango yako humu watu wako makini mno usidhani hawaoni unachoandika sasa leo umejichanganya kidogo wamekuvaa.

Halafu vitu vingine bora upite kimyakimya kuliko kujidharirisha unaonekana hamnazo .
😂 Wabongo bhana ety niwe makini 😂

Hamnijui siwajui, sijamtukana Mtu, sijamdhalilisha mtu, niwe makini na kitu gani?

Kuwa mpole mkuu, Acha kujitia umuhimu kwenye maisha ya wengine wasiokuhusu 🗑️
 
Mission yenu inafahamika kitambo. Mnapanga mumteke wenyewe kisha msingizie serikali inateka watu kwa lengo la kuipaka matope. Njama ya kuwatumia wale waliotoka Kenya imegonga mwamba, sasa mnatafuta njia nyingine. Hamtofanikiwa. Mungu yupo pamoja na watanzania wapenda amani. Pia Mungu yupo pamoja na serikali adilifu ya awamu ya sita, na ifokapo October itapita kwa kishindo kikubwa sana...
 
Ni kweli ila siyo sana kama yako unayemwabudia huyo tapeli gwajima. Kwani muda wote alikuwa wapi na mbona wakati wa Magu aliyemuumba kisiasa aliufyata? Msiandike kama hamna kumbukumbu wala bongo jamanini.
Sasa inataka anyamaze kulinda Mtekaji wenu Mkuu,au udini ndo unakusumbua
 
Na hao waliopotea miaka minne mpaka sasa na hao 83 na Ally Kibao waljiteka na kujiua wenyewe ?
Kwanini Gwajima anaibuka sasa wakati watu weshapotea kama kweli ana nia njema? Kwanini anaendelea kusema yeye ni mwanachama muaminifu wa chama cha matekaji (CCM)?
 
Mungu ambariki na kumlinda Gwajima
 
Kwanini Gwajima anaibuka sasa wakati watu weshapotea kama kweli ana nia njema? Kwanini anaendelea kusema yeye ni mwanachama muaminifu wa chama cha matekaji (CCM)?
Hizo kwa nini, kwa nini hazina maana, kama wajane na mayatima wamejazana mitaani, kutokana na madhila na madhara ya utekaji na uuwaji wa wazi na Siri. Dawa ni kujibu hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…