Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Hilo chiba Kila jambo ye linabisha tu, hao anaofanya nao kazi watakuwa manyumbu kweli kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkishindwa hoja mnaita watu waropokaji, Wajinga nyie!!Bado mnamsilikiliza mropokaji?
Tuko live kwenye mkutano wa Viongozi wa Chadema na Jukwaa la Wahiriri wa habari.
Mambo yanayozungumzwa humo ni mazito sana.
Tundu Lissu anasema kuna hali isiyo na usawa ktk kugawa majimbo sehemu mbali mbali nchini.
Anatoa mifano kuwa Dar yenye wapiga kura zaidi ya milioni 3 ina majimbo Machache kuliko Njombe yemye wapiga kura wasiozidi laki sita.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Na baadhi ya mikoa imepewa majimbo mapya. Na anadai kuwa majimbo mengine ni matumizi mabaya ya fedha za kuendeshea lakini hayahitajiki ispokuwa yanawekwa ili kutoa fursa kwa watu fulani fulani.
Hii haipendezi kabisa ikiwa Watanzania tunalipa kodi kwa lengo wa kuendeaha shughuli za seeikali na maendeleo lakini zinaweza kuishia kuhudumia watu wachache. Hili serikali iliagalie upya.
Bonne jourrnée
Aliluwa wa moto balaaa. Bila kumegewa Chato Magu angegeuzwa Raila Odinga wa jimbo lilePhares Kabuye alikuwa wa Moto sana.
Nimesikia pia kule kwa Ole sendeka Simanjiro ambako idadi ya watu haizidi laki 2 nako wanataka kugawa jimbo yapatikane majimbo mawili...inasikitisha sana!Anatoa mifano kuwa Dar yenye wapiga kura zaidi ya milioni 3 ina majimbo Machache kuliko Njombe yemye wapiga kura wasiozidi laki sita.
Ww ni me au ke?Mimi ni mtu mwenye akili nyingi sana. Kuwepo hapa JF najiona kama mamba kwenye kidimbwi yaani sienei. Spidi yangu ya Ferrari halafu nyie wenzangu mpo na baiskeli za miti
😀Nimesikia pia kule kwa Ole sendeka Simanjiro ambako idadi ya watu haizidi Kali 2 nako wanataka kugawa jimbo yapatikane majimbo mawili...inasikitisha sana!
😀😀😀😀Leo Lissu ameonesha Umwamba wa Kufa Mtu.Yaani Lissu anatoa hoja na data wanahabari wanajichekesha na kuji aibisha kwa uchawa
MeWw ni me au ke?
Nzega iligawanywa ili Kigwa na Bashe wasiuane.
Ifahamike wazi kwa waTanzania wote, kwamba majimbo ya uchaguzi nchini yataendelea kugawanywa kadiri ya mahitaji ya wananchi na kwa kadri inavyoonekana inafaa,
huo ni uamuzi wa wananchi,
na serikali sikivu ya CCM haitasita kutekeleza mapendekezo ya wananchi na hatimae kupata uwakilishi wa kutosha kwenye vyombo vya maamuzi na huduma za kijamii.
makelele na mdomo wa uropokaji wa vibaka na matapeli wa kisiasa haitazui mabadiliko hayo kufanyika 🐒
acha upotoshaji madam,Peramiho iligawanywa na kuizalisha madaba, ili Jenista na Joseph wasitoane ngeu.
Lissu yuko sahihi kabisa.
we mbwelambwela kadiri uwezavyo humu JF, wakati wananchi wakiendelea kutoa mapendekezo yao dhidi ya majimbo ya uchuguzi ambayo wanapendelea yagawanywe na kuanua wigo wa uwakilishi na kusogeza huduma za kijamii karibu zaidi na wananchi.Wewe punguani acha kupiga kelele, acha wenye akili timamu wajadili hoja za msingi. Usicjafue majadala kwa ujinga wako.
Kwa mtu mwenye akili timamu, utatoa sababu gani ya msingi, wilaya ya Nzega, yenye watu wasiozidi laki 2, ina majimbo ya uchaguzi matatu, wakati kuna wilaya zina wakazi zaidi ya laki 5 lakini zina jimbo1.
No reforms no electionTuko live kwenye mkutano wa Viongozi wa Chadema na Jukwaa la Wahiriri wa habari.