Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ifahamike wazi kwa waTanzania wote, kwamba majimbo ya uchaguzi nchini yataendelea kugawanywa kadiri ya mahitaji ya wananchi na kwa kadri inavyoonekana inafaa,Tuko live kwenye mkutano wa Viongozi wa Chadema na Jukwaa la Wahiriri wa habari.
Mambo yanayozungumzwa humo ni mazito sana.
Tundu Lissu anasema kuna hali isiyo na usawa ktk kugawa majimbo sehemu mbali mbali nchini.
Anatoa mifano kuwa Dar yenye wapiga kura zaidi ya milioni 3 ina majimbo Machache kuliko Njombe yemye wapiga kura wasiozidi laki sita.
Na baadhi ya mikoa imepewa majimbo mapya. Na anadai kuwa majimbo mengine ni matumizi mabaya ya fedha za kuendeshea lakini hayahitajiki ispokuwa yanawekwa ili kutoa fursa kwa watu fulani fulani.
Hii haipendezi kabisa ikiwa Watanzania tunalipa kodi kwa lengo wa kuendeaha shughuli za seeikali na maendeleo lakini zinaweza kuishia kuhudumia watu wachache. Hili serikali iliagalie upya.
Bonne jourrnée
huo ni uamuzi wa wananchi,
na serikali sikivu ya CCM haitasita kutekeleza mapendekezo ya wananchi na hatimae kupata uwakilishi wa kutosha kwenye vyombo vya maamuzi na huduma za kijamii.
makelele na mdomo wa uropokaji wa vibaka na matapeli wa kisiasa haitazui mabadiliko hayo kufanyika 🐒