Pre GE2025 Kwa Mujibu wa Tundu Lissu, Majimbo Mapya hutengezwa kutoa fursa kwa watu fulani fulani nao wapate majimbo. Kama ni kweli basi tuna safari ndefu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hilo chiba Kila jambo ye linabisha tu, hao anaofanya nao kazi watakuwa manyumbu kweli kweli.
 


Yaani Lissu anatoa hoja na data wanahabari wanajichekesha na kuji aibisha kwa uchawa
 
Anatoa mifano kuwa Dar yenye wapiga kura zaidi ya milioni 3 ina majimbo Machache kuliko Njombe yemye wapiga kura wasiozidi laki sita.
Nimesikia pia kule kwa Ole sendeka Simanjiro ambako idadi ya watu haizidi laki 2 nako wanataka kugawa jimbo yapatikane majimbo mawili...inasikitisha sana!
 
Mimi ni mtu mwenye akili nyingi sana. Kuwepo hapa JF najiona kama mamba kwenye kidimbwi yaani sienei. Spidi yangu ya Ferrari halafu nyie wenzangu mpo na baiskeli za miti
Ww ni me au ke?
 
Yaani Lissu anatoa hoja na data wanahabari wanajichekesha na kuji aibisha kwa uchawa
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Leo Lissu ameonesha Umwamba wa Kufa Mtu.
 
Nzega iligawanywa ili Kigwa na Bashe wasiuane.


Umeniwahi. Nilitaka kukizungumza hili la Nzega.

Hakika Nzega haikuhitaji jimbo jingine ila liliongezwa baada ya kuonekana Kigwangala ambaye alikuwa kipenzi cha Salma Kikwete, hawezi kumshinda Bashe.

Fikiria wilaya ya Nzega ina majimbo matatu!!

Nchi hii kuna watu wameifanya ni mali tao binafsi, na raia wengine wote ni wapangaji.
 


Wewe punguani acha kupiga kelele, acha wenye akili timamu wajadili hoja za msingi. Usicjafue majadala kwa ujinga wako.

Kwa mtu mwenye akili timamu, utatoa sababu gani ya msingi, wilaya ya Nzega, yenye watu wasiozidi laki 2, ina majimbo ya uchaguzi matatu, wakati kuna wilaya zina wakazi zaidi ya laki 5 lakini zina jimbo1.
 
Peramiho iligawanywa na kuizalisha madaba, ili Jenista na Joseph wasitoane ngeu.

Lissu yuko sahihi kabisa.
acha upotoshaji madam,
Peleka mapendekezo yako ya kugawanywa jimbo lolote la uchaguzi kwenye tume huru ya Taifa ya uchuguzi,
kubabaika na kubweka bweka kwa vibaka na matapeli wa kisiasa nchini hakutabadili chochote,

maoni ya wananchi ndiyo kusema ๐Ÿ’
 
we mbwelambwela kadiri uwezavyo humu JF, wakati wananchi wakiendelea kutoa mapendekezo yao dhidi ya majimbo ya uchuguzi ambayo wanapendelea yagawanywe na kuanua wigo wa uwakilishi na kusogeza huduma za kijamii karibu zaidi na wananchi.

hakuna kibaka wala tapeli yeyote anaweza kuitumbukiza nchi yetu kwenye mfumo wanaoshadadia matapeli hao.

maoni ya wanainchi na waTanzani ndio yataamua ni vip majimbo ya uchuguzi na si vinginevyo, hapatakua na serikali za majimbo Tanzania ๐Ÿ’
 
No reforms no election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ