Kwa mujibu wa World Index hizi ndio nchi masikini kuliko zote 2024

Kwa mujibu wa World Index hizi ndio nchi masikini kuliko zote 2024

GDP per capita PPP (growth domestic product per capita, purchasing power parity)

1.[emoji1223] South Sudan: $492
2.[emoji1060] Burundi: $936
3.[emoji1068] Central African Rep: $1,140
4.[emoji1078] D.R. Congo: $1,570
5.[emoji1174] Mozambique: $1,650
6.[emoji1156] Malawi: $1,710
7.[emoji1183] Niger: $1,730
8.[emoji1070] Chad: $1,860
9.[emoji1148] Liberia: $1,880
10.[emoji1155] Madagascar: $1,990

Alafu nilikuaga najua Madagascar ni nchi fulani yenye uangalau kumbe chalii

Waliotuambia tukimbilie Burundi hawatutakii mema. Miaka ya 90 hadi 2000 burundi na Rwanda zilikuwa na uchumi sawa.
Tulikua huku wakati wa mkapa,yaani wa pili toka chini
 
Central Africa inachekesha sana huwa naangalia documentary za huko, Ni huzuni.
Wanaibiwa sanaa madini na Hawa wazungu..Kuna rafk yangu alikuwa mission ya kijeshi huko mwaka jana kanambia Hawa wazungu ndo wamefanya uchumi wao uwe vile cz mpk magar ya UN yanapakia mqdini kwenya airport kwa akili ya kuyasafirisha kwenda nje
 
Ni ujinga kuendelea kuwapa lawama mizungu hadi Leo. Hadi wamatumbi wajue kutake accountability for their own actions hawawezi kuendelea. This applies to all African nations. Bongo bunge linapitisha miswada ya ajabu ajabu wakati kuna mambo ya msingi bado mtasingizia mizungu. Hata CAR ni hivyo hivyo.

Hii nayo wamesababisha mizungu:

Na huu umeme kukatika, bado hatjaingia 10 bora za masikini? Mama anajitahidi.
 
GDP per capita PPP (growth domestic product per capita, purchasing power parity)

1.[emoji1223] South Sudan: $492
2.[emoji1060] Burundi: $936
3.[emoji1068] Central African Rep: $1,140
4.[emoji1078] D.R. Congo: $1,570
5.[emoji1174] Mozambique: $1,650
6.[emoji1156] Malawi: $1,710
7.[emoji1183] Niger: $1,730
8.[emoji1070] Chad: $1,860
9.[emoji1148] Liberia: $1,880
10.[emoji1155] Madagascar: $1,990

Alafu nilikuaga najua Madagascar ni nchi fulani yenye uangalau kumbe chalii

Waliotuambia tukimbilie Burundi hawatutakii mema. Miaka ya 90 hadi 2000 burundi na Rwanda zilikuwa na uchumi sawa.
Siioni Zimbabwe. ???
 
2.
emoji1060.png
Burundi: $936

View: https://www.youtube.com/watch?v=n0gFsHf9cIw
 
Back
Top Bottom