Kwa mujibu wa World Index hizi ndio nchi masikini kuliko zote 2024

Kwa mujibu wa World Index hizi ndio nchi masikini kuliko zote 2024

TOp 4 hapoo naona wametawala members wa EAC.
kwel nimeamini ule usemoi wa "show me your friends, i will tell who you are".
Na ukiwa na washkaji 3 wezi una hang oit nao, bas jua tu wewe ndio new mwizi in town, wa 4 anayetarajiwa"
 
D.R Congo?
1. Udongo (vumbi) wenyewe wanauza nje ya nchi
2. Madini
3. Umeme
4. Etc
How comes ni listed masikini?
Kwa Africa ni miongoni mwa nchi zinayoongoza kwa matumizi/ununuzi ya/wa silaha
 
D.R Congo?
1. Udongo (vumbi) wenyewe wanauza nje ya nchi
2. Madini
3. Umeme
4. Etc
How comes ni listed masikini?
Kwa Africa ni miongoni mwa nchi zinayoongoza kwa matumizi/ununuzi ya/wa silaha
Congo wakiacha ujinga wao wakatulia ndani ya miaka 10 lazima wawe katika Top ya richest countries...Congo kuna kitu kimoja tu lazima wanasiasa wakubali kuwa wamoja sio vita daily hazina mpango
 
Back
Top Bottom