binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kweli bana Katikati ya mji pako kama Kaliua.Huko CAR Mji mkuu wao tu Bangui ni kidongo chekundu balaa utasema uko Kigoma, kuna sehemu hadi mjini kati kabisa lakini lami hakuna, sasa sijui hiyo miji mingine kukoje
Kuna kikundi cha wahuni wanazunguka na mabunduki katikati ya mji wanakusanya ushuru 😂