inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Tulikua huku wakati wa mkapa,yaani wa pili toka chiniGDP per capita PPP (growth domestic product per capita, purchasing power parity)
1.[emoji1223] South Sudan: $492
2.[emoji1060] Burundi: $936
3.[emoji1068] Central African Rep: $1,140
4.[emoji1078] D.R. Congo: $1,570
5.[emoji1174] Mozambique: $1,650
6.[emoji1156] Malawi: $1,710
7.[emoji1183] Niger: $1,730
8.[emoji1070] Chad: $1,860
9.[emoji1148] Liberia: $1,880
10.[emoji1155] Madagascar: $1,990
Alafu nilikuaga najua Madagascar ni nchi fulani yenye uangalau kumbe chalii
Waliotuambia tukimbilie Burundi hawatutakii mema. Miaka ya 90 hadi 2000 burundi na Rwanda zilikuwa na uchumi sawa.
1995-2000 tulikua nao,Kama hatukuwageuza fursa kumbe tumetokaje!!Tanzania imezungukwa na masikini wanne hapo lakini imeshindwa kuwageuza fursa!
DuhUkishakuwa wa mwisho africa ndio wa mwisho duniani,
Kwann?Central Africa inachekesha sana huwa naangalia documentary za huko, Ni huzuni.
Wanaibiwa sanaa madini na Hawa wazungu..Kuna rafk yangu alikuwa mission ya kijeshi huko mwaka jana kanambia Hawa wazungu ndo wamefanya uchumi wao uwe vile cz mpk magar ya UN yanapakia mqdini kwenya airport kwa akili ya kuyasafirisha kwenda njeCentral Africa inachekesha sana huwa naangalia documentary za huko, Ni huzuni.
Central Africa inachekesha sana huwa naangalia documentary za huko, Ni huzuni.
Congo ingekuwa na human resources za kutosha na bila mambo ya kivita vita ingekuwa mbali kuliko nchi nyingi za Africa lakini ndio hivyo tena
Wanaibiwa sanaa madini na Hawa wazungu..Kuna rafk yangu alikuwa mission ya kijeshi huko mwaka jana kanambia Hawa wazungu ndo wamefanya uchumi wao uwe vile cz mpk magar ya UN yanapakia mqdini kwenya airport kwa akili ya kuyasafirisha kwenda nje
Dokta Kongo.DR .Congo🙍🙍
Djibout sio wenzako DP world waliwainua hadi hapo wapo uchumi wa kati.Somalia, djibouti na eritrea mbona hazipo
hamna lolote mkuu, njaa tu kule, sema population yao ndogoDjibout sio wenzako DP world waliwainua hadi hapo wapo uchumi wa kati.
Ukishakuwa maskini zaidi Africa automatically unakuwa maskini zaidi duniani.Duniani au Afrika?
Siioni Zimbabwe. ???GDP per capita PPP (growth domestic product per capita, purchasing power parity)
1.[emoji1223] South Sudan: $492
2.[emoji1060] Burundi: $936
3.[emoji1068] Central African Rep: $1,140
4.[emoji1078] D.R. Congo: $1,570
5.[emoji1174] Mozambique: $1,650
6.[emoji1156] Malawi: $1,710
7.[emoji1183] Niger: $1,730
8.[emoji1070] Chad: $1,860
9.[emoji1148] Liberia: $1,880
10.[emoji1155] Madagascar: $1,990
Alafu nilikuaga najua Madagascar ni nchi fulani yenye uangalau kumbe chalii
Waliotuambia tukimbilie Burundi hawatutakii mema. Miaka ya 90 hadi 2000 burundi na Rwanda zilikuwa na uchumi sawa.
Hakuna laana yoyote,Mzungu aliwaachia laana hizi Nchi.