binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kweli bana Katikati ya mji pako kama Kaliua.Huko CAR Mji mkuu wao tu Bangui ni kidongo chekundu balaa utasema uko Kigoma, kuna sehemu hadi mjini kati kabisa lakini lami hakuna, sasa sijui hiyo miji mingine kukoje
Mbona vip east tu kivu. na sio Kongo yoteCongo wakiacha ujinga wao wakatulia ndani ya miaka 10 lazima wawe katika Top ya richest countries...Congo kuna kitu kimoja tu lazima wanasiasa wakubali kuwa wamoja sio vita daily hazina mpango
Population yao ni ngapi mkuuDjibout per capita washa pita $3000 njaa hio ni Djibout ya zamani sio ya sasa, nafkiri kama 16% ndio wapo chini ya Dola, kwa Level za Africa hawapo huko chini.
Tanzagiza imenusurika?GDP per capita PPP (growth domestic product per capita, purchasing power parity)
1.[emoji1223] South Sudan: $492
2.[emoji1060] Burundi: $936
3.[emoji1068] Central African Rep: $1,140
4.[emoji1078] D.R. Congo: $1,570
5.[emoji1174] Mozambique: $1,650
6.[emoji1156] Malawi: $1,710
7.[emoji1183] Niger: $1,730
8.[emoji1070] Chad: $1,860
9.[emoji1148] Liberia: $1,880
10.[emoji1155] Madagascar: $1,990
Alafu nilikuaga najua Madagascar ni nchi fulani yenye uangalau kumbe chalii
Waliotuambia tukimbilie Burundi hawatutakii mema. Miaka ya 90 hadi 2000 burundi na Rwanda zilikuwa na uchumi sawa.
Per capita haipimwi na population bali ni pato la mtu mmoja mmoja.Population yao ni ngapi mkuu
Nalo mkalitizameTanzania imezungukwa na masikini wanne hapo lakini imeshindwa kuwageuza fursa!
unategemea nini ikiwa watendaji wa serikali wana umri wa miaka zaidi ya 60Tanzania imezungukwa na masikini wanne hapo lakini imeshindwa kuwageuza fursa!
Niliona kati ya km zaidi ya elfu ishirini na kitu za barabara, ni km kama 600 tu ndio zina lami nchi nzimaHuko CAR Mji mkuu wao tu Bangui ni kidongo chekundu balaa utasema uko Kigoma, kuna sehemu hadi mjini kati kabisa lakini lami hakuna, sasa sijui hiyo miji mingine kukoje
Somalia ,hawa vipi,wanalima nini?,wanachimba nini?viwanda je?,au bandari zake,labda Al shababu/diaspora.nashsngaa!GDP per capita PPP (growth domestic product per capita, purchasing power parity)
1.[emoji1223] South Sudan: $492
2.[emoji1060] Burundi: $936
3.[emoji1068] Central African Rep: $1,140
4.[emoji1078] D.R. Congo: $1,570
5.[emoji1174] Mozambique: $1,650
6.[emoji1156] Malawi: $1,710
7.[emoji1183] Niger: $1,730
8.[emoji1070] Chad: $1,860
9.[emoji1148] Liberia: $1,880
10.[emoji1155] Madagascar: $1,990
Alafu nilikuaga najua Madagascar ni nchi fulani yenye uangalau kumbe chalii
Waliotuambia tukimbilie Burundi hawatutakii mema. Miaka ya 90 hadi 2000 burundi na Rwanda zilikuwa na uchumi sawa.awa