Kwa mwamko huu, CCM hawawezi kukubali Katiba Mpya

Kwenye uzi wangu hakuna sehemu nimesema kuwa katiba mpya italeta ugali kwa mtanzania.

Jaribu kutumia akili yako inavyopaswa basi angalau kwa 40%
 
Hao ndiyo kwenye kundi la wajinga hadi kufikia hatua mtu anajiita CHAWA
 
Katiba mpya ni kwa ajili ya mimi na wewe na vizazi vyetu.
Chadema wanaweza wasishieke dola hata kama katiba mpya itakuja ila m8mi na wewe tutasalimika na utawala guu wa kifalme ambao the elites wanaonekana kutoka kwenye circle moja
Mbn kwny chadema hakuna ukomo wa madaraka au katiba yao haiakisi utawala wa kitaifa.
 
Kwenye uzi wangu hakuna sehemu nimesema kuwa katiba mpya italeta ugali kwa mtanzania.

Jaribu kutumia akili yako inavyopaswa basi angalau kwa 40%
Sasa katiba mpya ambayo haita aksi maendeleo ni nn? Kichwa box kweli mnawaza madaraka tu.
 
Mbn kwny chadema hakuna ukomo wa madaraka au katiba yao haiakisi utawala wa kitaifa.
Wacha upumbavu wewe kenge wa lumumba.

Ukitaka kuongelea katiba ya cdm anzisha uzi wake tutachangia vizuri tu lkn hapa tunaongelea katiba ya JMT
 
Mbn kwny chadema hakuna ukomo wa madaraka au katiba yao haiakisi utawala wa kitaifa.
Chadema ilishawahi kushika dola? Impact ya mbowe kukaa madarakani kwa muda mwingi unataka kusema inafanana na mkuu wa mkoa abayeshindwa kazi mkoa x a ahamishiwa mkoa mwingine kwa gharama ya kodi zako?
 
Wachana na hilo zombie la lumumba hadi linajiita chawa
 
Wacha upumbavu wewe kenge wa lumumba.

Ukitaka kuongelea katiba ya cdm anzisha uzi wake tutachangia vizuri tu lkn hapa tunaongelea katiba ya JMT
Mtu anataka katiba mpya halafu hawezinkubishana vzuri inapelekea kutukana. Nyie ndo mnataka tuwape nchi.
 
Kenya kwa namna yeyote ile huwezi kuilinganisha na Tanzania kwa sababu tatizo la Kenya ni Ukabila !!
 
Chadema ilishawahi kushika dola? Impact ya mbowe kukaa madarakani kwa muda mwingi unataka kusema inafanana na mkuu wa mkoa abayeshindwa kazi mkoa x a ahamishiwa mkoa mwingine kwa gharama ya kodi zako?
Kama chama ambacho kinalilia kushika dola kinashindwa kuwa na katiba inayo aksi uongozi wa kitaifa kuna chama kweli hapo. Anzeni kwanza na katiba ya chama chenu haiwezekani kiongozi mkuu wa chama anakuwa yule yule kila mwaka kwa nn kusiwepo na ukomo wa madaraka?

Hii inamanisha kuwa hicho chama kikipata dola kinaweza ondoa ukomo wa madaraka kwa Rais. Kama mwenyekiti wake tu hataki kung'oka akipata dola si ndo atajimilikisha nchi.

Mnalilia katiba mpya wakati katiba yenu tu ni mbovu. Chama kimejaa ukabila na uzandiki, kebehi na matusi ndo nyumbani kwao.
 
Uko sahihi kabisa. Kwa mfano ukisoma ile katiba pendekezwa utagundua bora hii iliyopo. Hata rasimu ya Warioba ina mambo ya hovyo mno kuwa-favor wanasiasa. Wananchi wakiwa tayari katiba itabadilishwa na kutakuwa hakuna wa kuzuia. Sasa hivi CHADEMA wanawaimbisha wafuasi wao kuwa tunataka katiba mpya lakini ukiuliza mfuasi yeyote kuwa unajua nini kuhusu katiba ya sasa anabaki anatoa macho.
 
Nakuona CHAWA kwenye ubora wako
 
kinachotisha ni kwamba wote hao wamekwenda kwa hiari yao, hawajaorodheshwa wakapewa rushwa ili wahudhurie mkutano wala usafiri
 
Ngoja waje 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…