Kwa mwenendo huu wa CHADEMA, Hayati Magufuli alikuwa sahihi kizuia siasa uchwara

Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.
Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa Chadema.
leo hii tunajionea tena Chadema ikigeuka kuwa gunia la kinyesi lisilobebeka yaani hata ukilimwagia marashi ya pemba.

Kwa muktadha huu Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kutuwekea mustakabali wa kitaifa yaani kufikiri na kutenda maendeleo.
Mbona sasa nchi iliporomoka sana kiuchumi kitoka 7 mpaka 4.7 na akagoma kijiudhuru
 
Washamuona mama yao anawachekea ndio wanakunya kabisaa sebuleni
Katiba inaruhusu siyo mama kwa matakwa yake. Sema akili yako imeshikwa tu huoni umihimu wa katiba tena. Basi mama atangaze katiba imefutwa halafu atawale ajuavyo aone mziki wake kama hawatamgadafi
 
Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.
Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa Chadema.
leo hii tunajionea tena Chadema ikigeuka kuwa gunia la kinyesi lisilobebeka yaani hata ukilimwagia marashi ya pemba.

Kwa muktadha huu Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kutuwekea mustakabali wa kitaifa yaani kufikiri na kutenda maendeleo.

Alikuwa ni dhalimu na ndio maana Mungu amempeleka motoni.
 
Nchi haiendeshwi kama guest house. Maguguli alivunja katiba aliyo apa kuilinda. Na hilo halikubaliki. Litapingwa usiku na mchana. Hadi Yesu arudi.
Katiba ipi jomba..mbona mlikaa kimyaaaa saiz ndio mnakenua meno....s. .t.up..id
 
1626639238856.png
 
Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.
Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa Chadema.
leo hii tunajionea tena Chadema ikigeuka kuwa gunia la kinyesi lisilobebeka yaani hata ukilimwagia marashi ya pemba.

Kwa muktadha huu Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kutuwekea mustakabali wa kitaifa yaani kufikiri na kutenda maendeleo.
Kafa chadema ipo
 
Binafsi naunga mkono hii hoja
Jana nikikuwa namsikikiza mwenyekiti wa BAVICHA taifa kupitia star tv yaan jama hana hoja ambayo inaweza ikaifanya taifa limsikikize

Lkn pia kwa Mwenyekiti Taifa wa CDM binafsi namuona pia hana hoja za kumfanya taifa limsikilize hana hoja za taifa kimaendeleo ya uchumi zaid naona ni vurugu tu
 
Katiba haizuii kufanya siasa ..

Ndio maana yeye alikua anapopita anasimama na msafara wake kuhutubia ..

Hazikua siasa hizo kwa miaka yake 5?
Alikuwa anasikiliza kero za wananchi ili azitatue
 
Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.
Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa Chadema.
leo hii tunajionea tena Chadema ikigeuka kuwa gunia la kinyesi lisilobebeka yaani hata ukilimwagia marashi ya pemba.

Kwa muktadha huu Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kutuwekea mustakabali wa kitaifa yaani kufikiri na kutenda maendeleo.
Mkuu alishakufa huyo, Harudi tena

Ndio basi tena
 
Wewe si ujikite kwenye unayoyaona kuwa ni maendeleo? Kwani Chadema wanakuwasha washa wewe vipi?
 
Back
Top Bottom