Kauhamasisha maendeleoHyo press na mikutano ndio kazi yao! Ulitaka wafanye kazi gani nyingine?
Kauhamasisha maendeleoHyo press na mikutano ndio kazi yao! Ulitaka wafanye kazi gani nyingine?
Upo sahihi kabisa. CHADEMA wanadhihirisha wazi kuwa Magufuli alikuwa sahihi Sana. CHADEMA hawaeleweki wanataka nini, nadhani watanzania tuichunguze CHADEMA, nadhani Kuna kitu nyuma ya pazia.....Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.
Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa CHADEMA.
Leo hii tunajionea tena Chadema ikigeuka kuwa gunia la kinyesi lisilobebeka yaani hata ukilimwagia marashi ya pemba.
Kwa muktadha huu Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kutuwekea mustakabali wa kitaifa yaani kufikiri na kutenda maendeleo.
Wamebadilika kwenye lipi? Mbona kila kitu ni marudio!!? Usitutishe walisikilizwa na mataifa ya nje kipindi kile, zamu hii wajaribu kama hawajajikuta wapo wenyewe kwa kuonekana wanamuonea mama. Kujiendesha bila luzuku? Mangapi wamefanya? Ata Hashim Lungwe anaendesha chama chake bila luzuku
jina lako lasadif yaliyomo. Wee ni jinga kwelikweliMara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.
Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa CHADEMA.
Leo hii tunajionea tena Chadema ikigeuka kuwa gunia la kinyesi lisilobebeka yaani hata ukilimwagia marashi ya pemba.
Kwa muktadha huu Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kutuwekea mustakabali wa kitaifa yaani kufikiri na kutenda maendeleo.
YAKO wapi Sasa, huwezi ongonza KWA mtutu wa bunduki ukafikili, utafanya chochote, mbona mwajidanganya Sana, tunachokiona katika nchi za kiafrika sio uongonzi au uzalendo wa mataifa yao ni uchu wa madaraka, Kama kiongozi yupo na nia Safi KWA taifa lake why uone watu kudai katiba ni jinai? Ili Hali lengo ni kuweka mifumo bora ya kuongoza nchi,Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.
Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa CHADEMA.
Leo hii tunajionea tena Chadema ikigeuka kuwa gunia la kinyesi lisilobebeka yaani hata ukilimwagia marashi ya pemba.
Kwa muktadha huu Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kutuwekea mustakabali wa kitaifa yaani kufikiri na kutenda maendeleo.
kwani wewe utaishi milele?YAKO wapi Sasa, huwezi ongonza KWA mtutu wa bunduki ukafikili, utafanya chochote, mbona mwajidanganya Sana, tunachokiona katika nchi za kiafrika sio uongonzi au uzalendo wa mataifa yao ni uchu wa madaraka, Kama kiongozi yupo na nia Safi KWA taifa lake why uone watu kudai katiba ni jinai? Ili Hali lengo ni kuweka mifumo bora ya kuongoza nchi,
Hata akifa lakini si kifo cha aibu cha magufuli kaenda anatoa harufukwani wewe utaishi milele?
Halafu mikutano yenyewe inafadhiliwa na mabeberuHawatak kaz kila siku press na mikutano.
Acha kuwa myopia ,Hawatak kaz kila siku press na mikutano.
Ujue unaeweweseka we mbwiga wa mbwigule!Kamfufue. Muite na yule Tapeli wa Kawe muende mkamfufue.
Kwahiyo waliokua wakiiba pesa Bank kwenye magunia, kuuza nchi hswakuvunja katiba... Walimsifia mama eti anawaponya vidonda hata mwezi bado mama anaitwa dikteta..na badoNchi haiendeshwi kama guest house. Maguguli alivunja katiba aliyo apa kuilinda. Na hilo halikubaliki. Litapingwa usiku na mchana. Hadi Yesu arudi.
Alikua anapiga siasa nyepesi. Ona sasa ameondoka uchumi umesinyaa kutoka 7 mpaka 4%. Wananchi wako hoiAlikuwa anasikiliza kero za wananchi ili azitatue
Nadhani wangekua na uwezo wangerudisha kodi ya kichwa.Huyo aliyejikita kwenye Maendeleo miaka 6 kaacha nchi MUFILISI mpk mnakata watu kodi 3 kW miumala mmoja
Kati ya mbowe na magu Nani anavunja katibaMara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.