Kwa mwenendo huu wa CHADEMA, Hayati Magufuli alikuwa sahihi kizuia siasa uchwara

Kwa mwenendo huu wa CHADEMA, Hayati Magufuli alikuwa sahihi kizuia siasa uchwara

Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo...
Mbwa wa nchi hii mna matatizo sana.
 
Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo...
Maendeleo ya kuteka na kuua watu
 
Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo...
Yeye Magufuli yuko wapi? Kwa sasa hivi anasemaje?
 
Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo...
Hata sasa tumeshuhudia kushindwa kwenu siasa za hoja na mmerudia matumizi ya mtutu na ukandamizaji kwa woga wa ushindani wa hoja.
 
Hata sasa tumeshuhudia kushindwa kwenu siasa za hoja na mmerudia matumizi ya mtutu na ukandamizaji kwa woga wa ushindani wa hoja.
mna hoja gani zaidi ya kuwa kasuku wa matukio?
 
Kama Jambo hatulipendi Kama nchi tuondoe kwenye Sheria na sio kuvunja sheria
 
mna hoja gani zaidi ya kuwa kasuku wa matukio?
Kasuku ni anayekaririshwa ni muda wa kujenga uchumi,na nimuda wakutofuata sheria na katiba ,kwakuwa tunajenga uchumi,nae anaendelea kuimba na kufurahia mateso ya wengini kutokana na hatua hizo.
 
Jiulize yeye na genge lake yuko wapi leo? Unavyosema alikuwa sawa wakati hakuna kizuri kimeyokana na hicho unachosema sio mafanikio na kushidwa. Kwenye miradi ipo poa lakini kwenye siasa na sera kama hizi za corona amefanya vibaya sana mpaka leo hatuko nao wapendwa huo ndiyo ukweli

ukweli ni kwamba hawa jamaa ni sugu hawaendi popote na kibaya hawategemei pesa za serikali tena! Huu utaratibu wa kuwazuia ni kuwapa mbinu mpya ambazo ni nzuri zaidi kwao mfano sasa wanaweza kujiendesha bila kuwa na wabunge wala ruzuku! Hii ni hatua kubwa sana ambayo watu wengi hawaielewa bado.

Hawa jamaa wanabadilika kama vinyonga. Kikinge kama hamkioni ni vijana wengi sana wameongezeka hili sio zuri kwa wanafikiri iko siku wataondoka. Kama sasa wapo hawata ondoka tena.

Ni kuamua njia gani ya kutumia yote itatufikisha kwenye maridhiano ya kifaifa. Hata NCCR Mageuzi wamesema hili msiko wasikiliza hata hawa mtapiteza taifa

1. Njia ya kenya au Zanzibar ya kuuana kwanza
2. Kukutana wakati huu na kuweka misingi ya kwenda mbele
Wamebadilika kwenye lipi? Mbona kila kitu ni marudio!!? Usitutishe walisikilizwa na mataifa ya nje kipindi kile, zamu hii wajaribu kama hawajajikuta wapo wenyewe kwa kuonekana wanamuonea mama. Kujiendesha bila luzuku? Mangapi wamefanya? Ata Hashim Lungwe anaendesha chama chake bila luzuku
 
Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.

Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa CHADEMA.

Leo hii tunajionea tena Chadema ikigeuka kuwa gunia la kinyesi lisilobebeka yaani hata ukilimwagia marashi ya pemba.

Kwa muktadha huu Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kutuwekea mustakabali wa kitaifa yaani kufikiri na kutenda maendeleo.
Mama awashugulikie hadi wajue kwanini kuku hakojoi
 
Nchi haiendeshwi kama guest house. Maguguli alivunja katiba aliyo apa kuilinda. Na hilo halikubaliki. Litapingwa usiku na mchana. Hadi Yesu arudi.

Hadi mtakapopata watu smart sio makelele ya Mbowe na akina Lissu
 
Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.

Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa CHADEMA.

Leo hii tunajionea tena Chadema ikigeuka kuwa gunia la kinyesi lisilobebeka yaani hata ukilimwagia marashi ya pemba.

Kwa muktadha huu Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kutuwekea mustakabali wa kitaifa yaani kufikiri na kutenda maendeleo.
Huyo aliyejikita kwenye Maendeleo miaka 6 kaacha nchi MUFILISI mpk mnakata watu kodi 3 kW miumala mmoja
 
Ndo aina ya siasa yao. Inahitaji mtawala kama JK vinginevyo si rahisi kuwavumilia CDM

Walimwonea sana JK ,nadhani mama asikubali kuwa kama JK ,hawa cdm sio kabisa wanaongozaa na mpuuzi mmoja (TONDO) ambae kiuhalisia yeye anapigani ugali wake na familia yake kwa kutumia wanachi maskini wa nchi hana tofauti na huyu mwanamuziki anaeimba matusi na kukata mauno na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwa mashabiki wake ni wananch maskini wa nchi hii
 
Back
Top Bottom