Kwa namna hii upinzani Tanzania bado sana. Wanatakiwa wajifunze siasa sio propaganda uchwara. Siasa ni sayansi

Wawe na subira mpaka PAC itoe majibu lakini sio kutoa shutuma za uongo ambazo hazijathibitishwa. Ambazo wala haziwasaidii.

Erokamano ahiya.
 
Kitu chochote kizuri huwa kinapigwa vita kwa sababu duniani hakuna haki. Ungewaza kidogo kabla ujaandika kwa nini chama kinachotawala kinapiga vita upinzani kwa nguvu zote na hata kutumia dola. Halafu kumbuka kuwa hata Mheshimiwa Magufuli alishasema Serikali ilikuwa inatafunwa na mafisadi na mpaka akaanzisha mahakama ya mafisadi ambayo haikufanya kazi. Jiulize hao mafisadi nani aliwatengeneza kama siyo CCM. Upinzani pia upo kisheria kuwasaidia chama tawala kisije kukajisahau but unfortunately CCM wanawaona kama maadui.
 
Kuwa na vyama vya upinzani vinavyoibua tuhuma za uongo sio msingi hasa wa kuwa na upinzani. Unaweza ukawa unajidhania wewe ni Great thinker kumbe ni mbulula tu.
 
Acha porojo wewe
Lete tume huru ili ugalagazwe saa nne asubuhi....

Kushinda kwa unjanja unjanja hakupo tena..!!
 
Mezani tunajadili ripoti ya CAG Assad au Kichere? Hii ni dalili CCM imewakaba sana mpaka mnaropoka mauongo tu. Kuweni kama NCCR Mageuzi hawana papara.
Hahaha issue ni hoja sio ripoti ya Nani..unataka kuniambia hoja za ufisadi zenu mmezifuta na kuzisahau..kwa sababu Mapesa yameshaliwa na hakuna mwenye uwezo wa kuyarejesha...I wish I could be the IGP ningezifutilia mbali kule ruzuku zote .kila chama kijijenge chenyewe kwa pesa zake..nadhani hata hivyo Grace period ya kuendelea kutoa ruzuku imeshakwisha..kipindi kile vyama vingi vinaanzishwa nadhani lengo la ruzuku lilikuwa zuri..la kuendelea kuvijengea uwezo vyama vipya. Lakini kwa Sasa nadhani hata Kama ni mtoto huyo ameshakomaa..why Sasa kuendelea kumfanya tegemezi na midevu ameshaota na mke kaoa..wacha akatafute maisha kule..
 
Nikuulize jomba sehem moja kwanza, Nani kakwambia Mahakama ya mafisadi haijaanza kazi..una ushahidi wowote..au umeropoka tuu..sahihisha usemi wako usipotoshwe
 
Duuh kama ni kusoma ilo...bora nibaki mjinga aisee...Politics is business like any other business
 
Duuh kama ni kusoma ilo...bora nibaki mjinga aisee...Politics is business like any other business
Huo ni uamuzi mzuri pia ila jamaa zako wanahitaji msaada. Maana ukilisoma hilo hata mikakati ya kisiasa inakwenda.
 
Kwa nini 'chama dola' kijisifu kuwa chama cha siasa. Ukweli ni dhaili, bila dola hakiwezi kuwepo! Mifano ipo na KM wake alishasema. Na amani inayosemwa ni ya chama na watawala siyo.amani ya kweli kwa wananchi.
 
kwa vile chama tawala kinatumia mapolisi katika siasa zake, kambi ya upinzani imeshauriwa na wananchi kuwa wao nao watumie msaada wa beberus hadi pale chama tawala kitakapoachana na mapolisi.

tunaita ngoma droo hii!
 
Dogo hivi zile hela watuhumiwa za plea bargain zilizokuwa zinalipwa kwa cash kwa DPP bila kupitia mfumo e- Gov, CAG amesemaje?
Dogo Sikh ukijua nchi inaliwa na wachache kwa kivuli cha Mzalendo ndo utajua kwanini hatuna maabara ya corona
 
Dogo hivi zile hela watuhumiwa za plea bargain zilizokuwa zinalipwa kwa cash kwa DPP bila kupitia mfumo e- Gov, CAG amesemaje?
Dogo Sikh ukijua nchi inaliwa na wachache kwa kivuli cha Mzalendo ndo utajua kwanini hatuna maabara ya corona
Hilo linaingia vipi hapa?
 
Chanzo cha tatizo kinapoonekana siyo tatizo. Sijui shuleni mlisomea ujinga? Ukishajua viterminology vya kihasibu unajiona makaguzi wa hesabu, ukijua viwili vitatu vya kisheria unajiona Nguli wa sheria!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo cha tatizo kinapoonekana siyo tatizo. Sijui shuleni mlisomea ujinga? Ukishajua viterminology vya kihasibu unajiona makaguzi wa hesabu, ukijua viwili vitatu vya kisheria unajiona Nguli wa sheria!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kubali tu kwamba jamaa zako wamekosea sana. Kuleta hoja za kizushi ambazo hazina mashiko. Ufisadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…