Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #61
Wawe na subira mpaka PAC itoe majibu lakini sio kutoa shutuma za uongo ambazo hazijathibitishwa. Ambazo wala haziwasaidii.chagu wa malunde, Mhola Mami . Usiwachagulie wapinzani wako cha kusema, kufanya na mikakati yao juu ya siasa . Kuanguka kwao Cdm ni furaha kubwa Lumumba street , sioni kwanini ukasirike. Hoja hujibiwa kwa hoja. Serikali itetee hoja zake dhidi ya CAG
Halafu serikali kutuhumiwa ni sawa tu Chagu. Pesa wanazotumia serikali ni hazina ya umma. Na Cdm kama wapinzani wanayo haki ya kuilinda hazina dhidi ya matumizi mabaya (ni kazi yao). Usione kama mnaingiliwa
Odhis *
Erokamano ahiya.