Kwa namna hii upinzani Tanzania bado sana. Wanatakiwa wajifunze siasa sio propaganda uchwara. Siasa ni sayansi

Kwa namna hii upinzani Tanzania bado sana. Wanatakiwa wajifunze siasa sio propaganda uchwara. Siasa ni sayansi

chagu wa malunde, Hivi Mbona mnataka kuwasaulisha watu corona kwa kupitia CAG ambaye mnamuelewa wenyewe. Osha mikono kwa maji Safi waache upinzani waendelee na upinzani. Mana hata mwenyewe hujitambui.
 
Hako kaneno Audit queries umekajua lini?Maana kwa jinsi unavyokarudia kila sehemu,utakuwa umekafahamu jana na ukaanzisha uzi kabisa!Sasa kila anayekukosoa wewe unampachika hako kaneno "audit queries",😅😅😅😆😆😆😆!
Wewe jibu hoja kwa nini Audit queries mnataka kuwaaminisha watu ni ufisadi? Acha kuruka ruka
 
chagu wa malunde,
Mkuu upinzani si chama cha siasa, chama cha siasa kinasaidia tu kuwaweka pamoja watu wenye itikadi za aina moja, Mimi sina kadi ya Chadema Wala chama chochote Ila ukiweka CCM hapa na shetani pale na ujaniambia nichague kimoja, mie ntamchagua shetani, so akitokea mtu wa kutaka kuongoa CCM either kwa hiari au kwa nguvu Mimi ni askari wao
 
Hizi sio tuhuma za ufisadi. Ni au Audit queries kama ile tril 1.5 mliosema imepigwa kumbe uongo. Ndio maana nawaambia tulieni taratibu zifuatwe ili tujue ukweli.
Sasa wewe unawashwa na nini? Au wewe ndo mtanzania zaidi kuliko wengine?
 
Mkuu upinzani si chama cha siasa,chama cha siasa kinasaidia tu kuwaweka pamoja watu wenye itikadi za aina moja,Mimi sina kadi ya Chadema Wala chama chochote Ila ukiweka ccm hapa na shetani pale na ujaniambia nichague kimoja,mie ntamchagua shetani,so akitokea mtu wa kutaka kuongoa ccm either kwa hiari au kwa nguvu Mimi ni askali wao
Hayo yanaingia vipi hapa? Na mmechelewa kwa sababu gani kuwag'oa kwa nguvu?
 
Mtoa mada hujitambui, chama chochote ambacho hakipo madarakani Ni watch dog pia.kama chama cha upinzani kinafumbia macho wizi Na uzembe serikalini hakipaswi kuwepo.
 
Ungekuwa na akili kichwani ungeweza kutofautisha Audit queries na ufisadi. Kwa sababu huwezi kutofautisha hayo wewe ni bichwa maji na bendera fuata upepo.
Kutumia pesa nje ya bajeti ndio Audit queries? Mtawadanganya wasiojua
 
Hizi habari za kuibua ufisadi wa uongo unatia kichefu kichefu sana.
Kwahiyo wewe unambishia CAG kuwa hakuna ubadhirifu na ufisadi kwenye maeneo aliyoyakagua? CAG ni muongo kwa mtazamo wako sio? Muwajibisheni kwa kusema uongo!
 
Kwahiyo wewe unambishia cag kuwa hakuna ubadhirifu na ufisadi kwenye maeneo aliyoyakagua? Cag ni muongo kwa mtazamo wako sio? Muwajibisheni kwa kusema uongo!
Kwa nini usikae kimya? Kwani lazima uchangie hata suala ambalo hulielewi?
 
Back
Top Bottom