chagu wa malunde, Hivi Mbona mnataka kuwasaulisha watu corona kwa kupitia CAG ambaye mnamuelewa wenyewe. Osha mikono kwa maji Safi waache upinzani waendelee na upinzani. Mana hata mwenyewe hujitambui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaishi Tanzania?Pr Musa Assad ile ripoti yake ilionesha magufuli alichukua bilioni 1 ,na mpaka leo hao PAC mbona hawajaileta ili ijadiliwe?
Unauliza jibu. Huoni yanayofanyika hapa nchini? Au mpaka SGR ianze kufanya kazi ndio utambue.Kwahiyo CCM inatumia sayansi sio?
Hoja ya msingi ccm ni MAJIZI sana!!!Hoja ya msingi hujaijibu.
Umetapika mara ngapi kuanzia usikie wapinzani wakilalamikia riporti ya CAG?????Hizi habari za kuibua ufisadi wa uongo unatia kichefu kichefu sana.
Wewe jibu hoja kwa nini Audit queries mnataka kuwaaminisha watu ni ufisadi? Acha kuruka rukaHako kaneno Audit queries umekajua lini?Maana kwa jinsi unavyokarudia kila sehemu,utakuwa umekafahamu jana na ukaanzisha uzi kabisa!Sasa kila anayekukosoa wewe unampachika hako kaneno "audit queries",😅😅😅😆😆😆😆!
Sasa wewe haupo kwa ajiri ya kujibu hoja. Umefilisika kwa hoja bora utulie lakinini sio kuleta mikwara mbuzi.Tazama vizuri hii id, wenzako wanaikimbia maana balaa lake huliwezi.
Sasa wewe unawashwa na nini? Au wewe ndo mtanzania zaidi kuliko wengine?Hizi sio tuhuma za ufisadi. Ni au Audit queries kama ile tril 1.5 mliosema imepigwa kumbe uongo. Ndio maana nawaambia tulieni taratibu zifuatwe ili tujue ukweli.
Hayo yanaingia vipi hapa? Na mmechelewa kwa sababu gani kuwag'oa kwa nguvu?Mkuu upinzani si chama cha siasa,chama cha siasa kinasaidia tu kuwaweka pamoja watu wenye itikadi za aina moja,Mimi sina kadi ya Chadema Wala chama chochote Ila ukiweka ccm hapa na shetani pale na ujaniambia nichague kimoja,mie ntamchagua shetani,so akitokea mtu wa kutaka kuongoa ccm either kwa hiari au kwa nguvu Mimi ni askali wao
Ni muda tu wewe omba uzima,you will seeHayo yanaingia vipi hapa? Na mmechelewa kwa sababu gani kuwag'oa kwa nguvu?
Kutumia pesa nje ya bajeti ndio Audit queries? Mtawadanganya wasiojuaUngekuwa na akili kichwani ungeweza kutofautisha Audit queries na ufisadi. Kwa sababu huwezi kutofautisha hayo wewe ni bichwa maji na bendera fuata upepo.
Nje ya bajeti kivipi? Nyoosha maelezo.Utapata vipi pesa nje ya bajeti?Kutumia pesa nje ya bajeti ndo Audit queries? Mtawadanganya wasiojua
Kwahiyo wewe unambishia CAG kuwa hakuna ubadhirifu na ufisadi kwenye maeneo aliyoyakagua? CAG ni muongo kwa mtazamo wako sio? Muwajibisheni kwa kusema uongo!Hizi habari za kuibua ufisadi wa uongo unatia kichefu kichefu sana.
Kwa nini usikae kimya? Kwani lazima uchangie hata suala ambalo hulielewi?Kwahiyo wewe unambishia cag kuwa hakuna ubadhirifu na ufisadi kwenye maeneo aliyoyakagua? Cag ni muongo kwa mtazamo wako sio? Muwajibisheni kwa kusema uongo!
Soma ripoti ya CAG, especially wizara ya maliasili Na Utalii utaona maduduNje ya bajeti kivipi? Nyoosha maelezo.Utapata vipi pesa nje ya bajeti?
Wewe ndio ukae kimya.Kwa nini usikae kimya? Kwani lazima uchangie hata suala ambalo hulielewi?