Kwa namna hoja ya No Reform No Election ilivyo na mashiko, Tutarajie kuwaona vibaraka wote wakiji-expose

Kwa hiyo siku hizi wanaodai mifumo bora ya haki na utawala bora ndo wapumbavu?

Hao waliopo busy kutafuta ugali wamegundua mifumo hiyo mibovu ndo inawafanya mtapanye na kuiba fedha zao za kodi zinazopaswa kuwahudumia vizuri kama kuwapa madawa mahospitalini na kuwahakikishia huduma za maji wakati wote.

Endelea kuwadharau Watanzania kwa sababu unafaidi kodi zao kwa wizi na ufisadi. Yana mwisho.
Kenya kuna katiba bora sana ambayo huyo mhuni wenu Lissu anaipigia chapuo haya inawasaidia nini zaidi ya kuneemesha wanasiasa?

Pelekeni utoto huko bhn
 
Mpaka sasa hakuna uchaguzi, watakao lazimisha ni watakua viongozi batili, sasa nani yupo tiyari kuongozwa na kiongozi batili ? hii ngoma imeisha kuwa nzito msichukulie poa
Teh Teh Teh! 2019 CDM ilisusia uchaguzi wa serikali Za mitaa enhe nini kilibadilika? 2020 Magufuli alipora uchaguzi nini kimebadilika? Na October 2025 Samia anawanyoa bila maji na hakuna kitu mtafanya na utoto wenu!
 
Tanzania tumewazidi nini Kenya kimaendeleo we nzi wa kijani?
 
Endelea kufurahia ufedhuli ila kumbuka tu hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Teh Teh Teh! 2019 CDM ilisusia uchaguzi wa serikali Za mitaa enhe nini kilibadilika? 2020 Magufuli alipora uchaguzi nini kimebadilika? Na October 2025 Samia anawanyoa bila maji na hakuna kitu mtafanya na utoto wenu!
Jana sio leo , safari hii ccm mmeyatimba ,mtalala na viatu mwaka huu, fanyeni mabadiliko twende kwenye uchaguzi hamtaki hakuna uchaguzi kazi kwenu.
 
Kati ya jambo ambalo Wapinzani wa nchi hii hawakuwahi kulijua huko nyuma ni kwamba sehemu pekee ya kushikilia kwenye nchi hii ili tupate mabadiliko ya kweli kwa maslahi mapana ya Taifa ni KATIBA MPYA.

Uzoefu wangu katika kuwa mwanachama hai wa CCM kwa takriban Miaka 30 umenionesha vizuri sana kuwa kitu pekee kinachowapa nguvu ya kufanya walitakalo CCM na kuikosesha Tanzania Mabadiliko ya kweli ni hii KATIBA tuliyoanayo sasa.

Baada ya CHADEMA mwaka kuja na huu msimamo wa NO REFORM NO ELECTION napenda kuwahakikisha wana JF kuwa, tutarajie kuona kila sarakasi kutoka CCM, Tutarajie kuona matumizi ya kila aina ya silaha kutoka CCM mpaka kuibuliwa kwa mamluki wote ( Ku expose cover zao)

Kwa wale msiofahamu. Ni heri nchi hii tusiwe tunafanya uchaguzi kuliko kufanya maigizo kwa fedha za walipakodi yanayoitwa Uchaguzi ili kuwahaa wafadhili waendelee kutoa pesa ambazo zinaendeleza ufisadi nchini. CCM ni baba wa uongo kama alivyo shetani na wamekuwa wakiishi kwa huu uongo kwa miaka mingi sana.

Ninayasema haya kwa sababu nchini Tanzania sio kura za wananchi zinazoamua mshindi wa Uchaguzi. Wanaoamua kura ziweje yaani wapinzani wapewe ngapi na sisi tuwe na ngapi ni CCM na watu wao waliowaweka kwenye kinachoitwa TUME YA UCHAGUZI pamoja na Halmashauri zetu (Wakurugenzi wa Halmashauri ambao ni Wasimamizi wa Chaguzi). Ushahidi wa hili ni maneno aliyoyasema Nape Nnauye( akiwa Waziri wa Habari jimboni kwa Byabato Mkoani Kagera). Ushahidi wa hili ni maneno aliyosema aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa Longido.
Ushahidi wa haya ni maneno aliyowahi kuyatamka Rais Magufuli kuwa inakuwaje nakuteua Mkurugenzi na kukulipa Mshahara alafu Wapinzani washinde kwenye Uchaguzi unaosimamia?

Napenda kuwapongeza CHADEMA maana kiuhalisia kwa nini tufanye uchaguzi wakati sio kura zetu zinazoamua mshindi wa uchaguzi? Kwa nini tufanye uchaguzi wakati kuna watu wanakaa wanaamua tu saivi embu tuondoe majina ya wagombea wote wa upinzani ili chama chetu kishinde kwa asilimia 90?

Kwa wana JF! Tusishangae sana kuona mtiririko wa nyuzi humu kuyaponda maamuzi haya ya CHADEMA, tena kutoka kwa influential people! Kusema ukweli lazima watakuja wengi maana sehemu kuu ya CCM kuwalaghai Watanzania imekuwa ni hizi Chaguzi ambazo wanazichezea wapendavyo.

Mwisho. Napenda kuwaambia Watanzania, tuwaunge mkono CHADEMA kama tunataka kweli kulijenga vizuri hili Taifa letu.

Watu wanaoiba uchaguzi hawawezi kuwa na moral authority ya kukemea wizi wa mali zetu na fedha zetu zinazoibwa kila kukicha na kutuacha Wananchi tukiishi maisha magumu na kukosa huduma muhimu.

Watu wanaoiba uchaguzi hawawezi kuacha kuiba na kutumia vibaya kodi zetu ambazo zinapaswa kutumiwa vizuri kutujengea miondombinu mizuri ya barabara hadi majumbani kwetu, miundombinu bora ya maji na madawa ya uhakika katika hospitali zetu.

Tusimame sasa na CHADEMA ili kuitengeneza TANZANIA bora kwa vizazi vingi vinavyokuja. Kwa maslahi mapana ya nchi yetu, sote tuseme NO REFORM NO ELECTION.

Tunahitaji sasa hizi Reforms kuliko wakati wowote ule maana linapoelekea Taifa letu sio kuzuri kabisa.

Lord denning
Dubai
kwanza wewe si mwana ccm ni uongo ,chapili unaonaje ukihamia huko chadema ujiite mwana chadema ndiyo uje uandike huu ujinga wako hapa cha tatu endeleeni na hiyo no reform yenu muone kama hakutakua na election yaani kuropoka kwa lissu mmoja ndiyo vyama zaidi ya 12 viache kufanay uchaguzi lissu ni kakitu gani kakuogopwa na tanzania yenye watiu milioni 60? kachezeni huko wacha watu wenye akili waongoze nchi
 
Mpaka sasa hakuna uchaguzi, watakao lazimisha ni watakua viongozi batili, sasa nani yupo tiyari kuongozwa na kiongozi batili ? hii ngoma imeisha kuwa nzito msichukulie poa
MNAJIDANGANYA YAAA NI UPUUZI WA LISSU NDIYO TAIFA ZIMA TUMFUATE YEYE? DISH LIMEYUMBA LISSU HANA CHAKUDANGANYA UONGOZI UMEMSHINDA MAPEMA ANATAKA KUKIMBIA UCHAGUZI
 
kwanza wewe si mwana ccm ni uongo ,chapili unaonaje ukihamia huko chadema ujiite mwana chadema ndiyo uje uandike huu ujinga wako hapa cha tatu endeleeni na hiyo no reform yenu muone kama hakutakua na election yaani kuropoka kwa lissu mmoja ndiyo vyama zaidi ya 12 viache kufanay uchaguzi lissu ni kakitu gani kakuogopwa na tanzania yenye watiu milioni 60? kachezeni huko wacha watu wenye akili waongoze nchi
Kwa hiyo saivi mmefikia hatua hadi ya kuwasema watu sio wanachama wa chama fulani?

Mimi ni mwana CCM ninayejitambua niliyeamua kusimama upande wa haki na ukweli.
 
Uchaguzi utafanyika na maisha yataendelea endeleeni na utoto wenu.
Uko sahihi, na nongwa yako itaendelea. Lakini hakuna mtu anayejitambua ataendelea kuwa mjinga wa kushiriki chaguzi kiinimacho, eti kisa maisha yanaendelea baada ya hizo chaguzi za kishenzi.
 
Wamebakiwa na nguvu za polisi Majeshi, akili hawana hasa pale wanapowekewa hoja ngumu usoni utawaona wazi kuwa ni Watu wanaozitesa shingo zao kwa kubeba Boga juu.
YAAANI MNAPATA SHIDA SANA ENDELEENI KUOTA TU
 
Yaani nyie kikundi kidogo cha wapumbavu ndo mnajiita watanzania? Watanzania wapo busy kutafuta ugali wao hawana muda kuhangaikia matumbo ya wanasiasa!
Na wanasiasa wa ccm wako busy kutumia ujinga wa wananchi wanaojikip busy kutafuta ugali kwa kuendelea kuwatengenezea mazingira magumu ili waendelee kuwakamua kodi zao kwa mambo yao binafsi.
 
Kati ya jambo ambalo Wapinzani wa nchi hii hawakuwahi kulijua huko nyuma ni kwamba sehemu pekee ya kushikilia kwenye nchi hii ili tupate mabadiliko ya kweli kwa maslahi mapana ya Taifa ni KATIBA MPYA.

Uzoefu wangu katika kuwa mwanachama hai wa CCM kwa takriban Miaka 30 umenionesha vizuri sana kuwa kitu pekee kinachowapa nguvu ya kufanya walitakalo CCM na kuikosesha Tanzania Mabadiliko ya kweli ni hii KATIBA tuliyoanayo sasa.

Baada ya CHADEMA mwaka kuja na huu msimamo wa NO REFORM NO ELECTION napenda kuwahakikisha wana JF kuwa, tutarajie kuona kila sarakasi kutoka CCM, Tutarajie kuona matumizi ya kila aina ya silaha kutoka CCM mpaka kuibuliwa kwa mamluki wote ( Ku expose cover zao)

Kwa wale msiofahamu. Ni heri nchi hii tusiwe tunafanya uchaguzi kuliko kufanya maigizo kwa fedha za walipakodi yanayoitwa Uchaguzi ili kuwahaa wafadhili waendelee kutoa pesa ambazo zinaendeleza ufisadi nchini. CCM ni baba wa uongo kama alivyo shetani na wamekuwa wakiishi kwa huu uongo kwa miaka mingi sana.

Ninayasema haya kwa sababu nchini Tanzania sio kura za wananchi zinazoamua mshindi wa Uchaguzi. Wanaoamua kura ziweje yaani wapinzani wapewe ngapi na sisi tuwe na ngapi ni CCM na watu wao waliowaweka kwenye kinachoitwa TUME YA UCHAGUZI pamoja na Halmashauri zetu (Wakurugenzi wa Halmashauri ambao ni Wasimamizi wa Chaguzi). Ushahidi wa hili ni maneno aliyoyasema Nape Nnauye( akiwa Waziri wa Habari jimboni kwa Byabato Mkoani Kagera). Ushahidi wa hili ni maneno aliyosema aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa Longido.
Ushahidi wa haya ni maneno aliyowahi kuyatamka Rais Magufuli kuwa inakuwaje nakuteua Mkurugenzi na kukulipa Mshahara alafu Wapinzani washinde kwenye Uchaguzi unaosimamia?

Napenda kuwapongeza CHADEMA maana kiuhalisia kwa nini tufanye uchaguzi wakati sio kura zetu zinazoamua mshindi wa uchaguzi? Kwa nini tufanye uchaguzi wakati kuna watu wanakaa wanaamua tu saivi embu tuondoe majina ya wagombea wote wa upinzani ili chama chetu kishinde kwa asilimia 90?

Kwa wana JF! Tusishangae sana kuona mtiririko wa nyuzi humu kuyaponda maamuzi haya ya CHADEMA, tena kutoka kwa influential people! Kusema ukweli lazima watakuja wengi maana sehemu kuu ya CCM kuwalaghai Watanzania imekuwa ni hizi Chaguzi ambazo wanazichezea wapendavyo.

Mwisho. Napenda kuwaambia Watanzania, tuwaunge mkono CHADEMA kama tunataka kweli kulijenga vizuri hili Taifa letu.

Watu wanaoiba uchaguzi hawawezi kuwa na moral authority ya kukemea wizi wa mali zetu na fedha zetu zinazoibwa kila kukicha na kutuacha Wananchi tukiishi maisha magumu na kukosa huduma muhimu.

Watu wanaoiba uchaguzi hawawezi kuacha kuiba na kutumia vibaya kodi zetu ambazo zinapaswa kutumiwa vizuri kutujengea miondombinu mizuri ya barabara hadi majumbani kwetu, miundombinu bora ya maji na madawa ya uhakika katika hospitali zetu.

Tusimame sasa na CHADEMA ili kuitengeneza TANZANIA bora kwa vizazi vingi vinavyokuja. Kwa maslahi mapana ya nchi yetu, sote tuseme NO REFORM NO ELECTION.

Tunahitaji sasa hizi Reforms kuliko wakati wowote ule maana linapoelekea Taifa letu sio kuzuri kabisa.

Lord denning
Dubai
Chadema won't be able to succeed through this wavering rhetoric slogan; the collapse is forthcoming unless they change the approach towards seeking the 'wananchi' endorsement.
 
KWA LIPI YAAANI UNAAMINI ATAZUIA UCHAGUZI HUYU MPUUZI MMOJA KWELI? AITISHE MAANDAMANO AENDE PEKEYAKE
kuna uchaguzi tanzania? labda sehemu nyingine? Unamuona mpuuzi wakati kila siku viongozi wako wanajitokeza kupambana naye. Ki ukweli nchi ya tanzania na rwanda hazina tofauti yoyote linapokuja swala la chaguzi huru. Jamani mfumo wa uchaguzi unapaswa kubadirika.
 
Chadema won't be able to succeed through this wavering rhetoric slogan; the collapse is forthcoming unless they change the approach towards seeking the 'wananchi' endorsement.
I know that you know for sure, this is the only way foward.

Calling it rhetoric slogan is too early and absurd. What I'm sure is, there will come a time, the citizens of this country will say enough is enough!
 
Tanzania tumewazidi nini Kenya kimaendeleo we nzi wa kijani?
Hukumsikia Ruto akisema kwenye summit ya EAC kuwa TZ tunawazidi kenya kwa EXPORTS?

Unafwatilia vizuri economic trends Za EAC?
 
Back
Top Bottom