Kwa namna hoja ya No Reform No Election ilivyo na mashiko, Tutarajie kuwaona vibaraka wote wakiji-expose

C
Kati ya jambo ambalo Wapinzani wa nchi hii hawakuwahi kulijua huko nyuma ni kwamba sehemu pekee ya kushikilia kwenye nchi hii ili tupate mabadiliko ya kweli kwa maslahi mapana ya Taifa ni KATIBA MPYA.

Uzoefu wangu katika kuwa mwanachama hai wa CCM kwa takriban Miaka 30 umenionesha vizuri sana kuwa kitu pekee kinachowapa nguvu ya kufanya walitakalo CCM na kuikosesha Tanzania Mabadiliko ya kweli ni hii KATIBA tuliyoanayo sasa.

Baada ya CHADEMA mwaka kuja na huu msimamo wa NO REFORM NO ELECTION napenda kuwahakikisha wana JF kuwa, tutarajie kuona kila sarakasi kutoka CCM, Tutarajie kuona matumizi ya kila aina ya silaha kutoka CCM mpaka kuibuliwa kwa mamluki wote ( Ku expose cover zao)

Kwa wale msiofahamu. Ni heri nchi hii tusiwe tunafanya uchaguzi kuliko kufanya maigizo kwa fedha za walipakodi yanayoitwa Uchaguzi ili kuwahaa wafadhili waendelee kutoa pesa ambazo zinaendeleza ufisadi nchini. CCM ni baba wa uongo kama alivyo shetani na wamekuwa wakiishi kwa huu uongo kwa miaka mingi sana.

Ninayasema haya kwa sababu nchini Tanzania sio kura za wananchi zinazoamua mshindi wa Uchaguzi. Wanaoamua kura ziweje yaani wapinzani wapewe ngapi na sisi tuwe na ngapi ni CCM na watu wao waliowaweka kwenye kinachoitwa TUME YA UCHAGUZI pamoja na Halmashauri zetu (Wakurugenzi wa Halmashauri ambao ni Wasimamizi wa Chaguzi). Ushahidi wa hili ni maneno aliyoyasema Nape Nnauye( akiwa Waziri wa Habari jimboni kwa Byabato Mkoani Kagera). Ushahidi wa hili ni maneno aliyosema aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa Longido.
Ushahidi wa haya ni maneno aliyowahi kuyatamka Rais Magufuli kuwa inakuwaje nakuteua Mkurugenzi na kukulipa Mshahara alafu Wapinzani washinde kwenye Uchaguzi unaosimamia?

Napenda kuwapongeza CHADEMA maana kiuhalisia kwa nini tufanye uchaguzi wakati sio kura zetu zinazoamua mshindi wa uchaguzi? Kwa nini tufanye uchaguzi wakati kuna watu wanakaa wanaamua tu saivi embu tuondoe majina ya wagombea wote wa upinzani ili chama chetu kishinde kwa asilimia 90?

Kwa wana JF! Tusishangae sana kuona mtiririko wa nyuzi humu kuyaponda maamuzi haya ya CHADEMA, tena kutoka kwa influential people! Kusema ukweli lazima watakuja wengi maana sehemu kuu ya CCM kuwalaghai Watanzania imekuwa ni hizi Chaguzi ambazo wanazichezea wapendavyo.

Mwisho. Napenda kuwaambia Watanzania, tuwaunge mkono CHADEMA kama tunataka kweli kulijenga vizuri hili Taifa letu.

Watu wanaoiba uchaguzi hawawezi kuwa na moral authority ya kukemea wizi wa mali zetu na fedha zetu zinazoibwa kila kukicha na kutuacha Wananchi tukiishi maisha magumu na kukosa huduma muhimu.

Watu wanaoiba uchaguzi hawawezi kuacha kuiba na kutumia vibaya kodi zetu ambazo zinapaswa kutumiwa vizuri kutujengea miondombinu mizuri ya barabara hadi majumbani kwetu, miundombinu bora ya maji na madawa ya uhakika katika hospitali zetu.

Tusimame sasa na CHADEMA ili kuitengeneza TANZANIA bora kwa vizazi vingi vinavyokuja. Kwa maslahi mapana ya nchi yetu, sote tuseme NO REFORM NO ELECTION.

Tunahitaji sasa hizi Reforms kuliko wakati wowote ule maana linapoelekea Taifa letu sio kuzuri kabisa.

Lord denning
Dubai
CCM ni Toxic Kwa taifa hili
 
Jana sio leo , safari hii ccm mmeyatimba ,mtalala na viatu mwaka huu, fanyeni mabadiliko twende kwenye uchaguzi hamtaki hakuna uchaguzi kazi kwenu.
Hahahaha mi nafikiri najadiliana na mtoto hapa!!
 
Uko sahihi, na nongwa yako itaendelea. Lakini hakuna mtu anayejitambua ataendelea kuwa mjinga wa kushiriki chaguzi kiinimacho, eti kisa maisha yanaendelea baada ya hizo chaguzi za kishenzi.
Kwani inanihusu nini mimi kama kula na kulala yangu haibadilishwi?? Yaani mimi niache kutafuta pesa nishabikie tumbo la mpuuzi Lissu?
 
Kati ya jambo ambalo Wapinzani wa nchi hii hawakuwahi kulijua huko nyuma ni kwamba sehemu pekee ya kushikilia kwenye nchi hii ili tupate mabadiliko ya kweli kwa maslahi mapana ya Taifa ni KATIBA MPYA.

Uzoefu wangu katika kuwa mwanachama hai wa CCM kwa takriban Miaka 30 umenionesha vizuri sana kuwa kitu pekee kinachowapa nguvu ya kufanya walitakalo CCM na kuikosesha Tanzania Mabadiliko ya kweli ni hii KATIBA tuliyoanayo sasa.

Baada ya CHADEMA mwaka kuja na huu msimamo wa NO REFORM NO ELECTION napenda kuwahakikisha wana JF kuwa, tutarajie kuona kila sarakasi kutoka CCM, Tutarajie kuona matumizi ya kila aina ya silaha kutoka CCM mpaka kuibuliwa kwa mamluki wote ( Ku expose cover zao)

Kwa wale msiofahamu. Ni heri nchi hii tusiwe tunafanya uchaguzi kuliko kufanya maigizo kwa fedha za walipakodi yanayoitwa Uchaguzi ili kuwahaa wafadhili waendelee kutoa pesa ambazo zinaendeleza ufisadi nchini. CCM ni baba wa uongo kama alivyo shetani na wamekuwa wakiishi kwa huu uongo kwa miaka mingi sana.

Ninayasema haya kwa sababu nchini Tanzania sio kura za wananchi zinazoamua mshindi wa Uchaguzi. Wanaoamua kura ziweje yaani wapinzani wapewe ngapi na sisi tuwe na ngapi ni CCM na watu wao waliowaweka kwenye kinachoitwa TUME YA UCHAGUZI pamoja na Halmashauri zetu (Wakurugenzi wa Halmashauri ambao ni Wasimamizi wa Chaguzi). Ushahidi wa hili ni maneno aliyoyasema Nape Nnauye( akiwa Waziri wa Habari jimboni kwa Byabato Mkoani Kagera). Ushahidi wa hili ni maneno aliyosema aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa Longido.
Ushahidi wa haya ni maneno aliyowahi kuyatamka Rais Magufuli kuwa inakuwaje nakuteua Mkurugenzi na kukulipa Mshahara alafu Wapinzani washinde kwenye Uchaguzi unaosimamia?

Napenda kuwapongeza CHADEMA maana kiuhalisia kwa nini tufanye uchaguzi wakati sio kura zetu zinazoamua mshindi wa uchaguzi? Kwa nini tufanye uchaguzi wakati kuna watu wanakaa wanaamua tu saivi embu tuondoe majina ya wagombea wote wa upinzani ili chama chetu kishinde kwa asilimia 90?

Kwa wana JF! Tusishangae sana kuona mtiririko wa nyuzi humu kuyaponda maamuzi haya ya CHADEMA, tena kutoka kwa influential people! Kusema ukweli lazima watakuja wengi maana sehemu kuu ya CCM kuwalaghai Watanzania imekuwa ni hizi Chaguzi ambazo wanazichezea wapendavyo.

Mwisho. Napenda kuwaambia Watanzania, tuwaunge mkono CHADEMA kama tunataka kweli kulijenga vizuri hili Taifa letu.

Watu wanaoiba uchaguzi hawawezi kuwa na moral authority ya kukemea wizi wa mali zetu na fedha zetu zinazoibwa kila kukicha na kutuacha Wananchi tukiishi maisha magumu na kukosa huduma muhimu.

Watu wanaoiba uchaguzi hawawezi kuacha kuiba na kutumia vibaya kodi zetu ambazo zinapaswa kutumiwa vizuri kutujengea miondombinu mizuri ya barabara hadi majumbani kwetu, miundombinu bora ya maji na madawa ya uhakika katika hospitali zetu.

Tusimame sasa na CHADEMA ili kuitengeneza TANZANIA bora kwa vizazi vingi vinavyokuja. Kwa maslahi mapana ya nchi yetu, sote tuseme NO REFORM NO ELECTION.

Tunahitaji sasa hizi Reforms kuliko wakati wowote ule maana linapoelekea Taifa letu sio kuzuri kabisa.

Lord denning
Dubai
Mtoa mada haupingwi upo sahihi akina mchome wengi wataibuka, vibaraka wengi wa system tutawaona kupitia msimamo waliouonesha chadema. Tunataka chaguzi za kweli na sio hizi viini macho
 
Yaani nyie kikundi kidogo cha wapumbavu ndo mnajiita watanzania? Watanzania wapo busy kutafuta ugali wao hawana muda kuhangaikia matumbo ya wanasiasa!
Kwa hiyo we utaki kura yako ihesabiwe kwa uwazi,Achane hizo nyakati zimebadilika sana.Tuishi kwa uwazi na sio janja janja tena.Ni heri muendelee kukuaa madarakani kuliko kupoteza kodi zetu bure kwenye uchaguzi wa hovyo(usiyo wazi).
 
Waimba pambio za kusifu na kuabudu the so called UVCCM,TISS et al wamepanic maana ugali wao umesogelewa wanakwambia ni utopian politics.
 
I know that you know for sure, this is the only way foward.

Calling it rhetoric slogan is too early and absurd. What I'm sure is, there will come a time, the citizens of this country will say enough is enough!
Lord Denning:
When will this happen, especially as time passes quickly and the situation urgently needs to change?
Let's be serious about issues that touch peoples' interests
 
Kwani inanihusu nini mimi kama kula na kulala yangu haibadilishwi?? Yaani mimi niache kutafuta pesa nishabikie tumbo la mpuuzi Lissu?
Pesa gani unatafuta, kujiuza nayo ni utafutaji?
 
Kati ya jambo ambalo Wapinzani wa nchi hii hawakuwahi kulijua huko nyuma ni kwamba sehemu pekee ya kushikilia kwenye nchi hii ili tupate mabadiliko ya kweli kwa maslahi mapana ya Taifa ni KATIBA MPYA.

Uzoefu wangu katika kuwa mwanachama hai wa CCM kwa takriban Miaka 30 umenionesha vizuri sana kuwa kitu pekee kinachowapa nguvu ya kufanya walitakalo CCM na kuikosesha Tanzania Mabadiliko ya kweli ni hii KATIBA tuliyoanayo sasa.

Baada ya CHADEMA mwaka kuja na huu msimamo wa NO REFORM NO ELECTION napenda kuwahakikisha wana JF kuwa, tutarajie kuona kila sarakasi kutoka CCM, Tutarajie kuona matumizi ya kila aina ya silaha kutoka CCM mpaka kuibuliwa kwa mamluki wote ( Ku expose cover zao)

Kwa wale msiofahamu. Ni heri nchi hii tusiwe tunafanya uchaguzi kuliko kufanya maigizo kwa fedha za walipakodi yanayoitwa Uchaguzi ili kuwahaa wafadhili waendelee kutoa pesa ambazo zinaendeleza ufisadi nchini. CCM ni baba wa uongo kama alivyo shetani na wamekuwa wakiishi kwa huu uongo kwa miaka mingi sana.

Ninayasema haya kwa sababu nchini Tanzania sio kura za wananchi zinazoamua mshindi wa Uchaguzi. Wanaoamua kura ziweje yaani wapinzani wapewe ngapi na sisi tuwe na ngapi ni CCM na watu wao waliowaweka kwenye kinachoitwa TUME YA UCHAGUZI pamoja na Halmashauri zetu (Wakurugenzi wa Halmashauri ambao ni Wasimamizi wa Chaguzi). Ushahidi wa hili ni maneno aliyoyasema Nape Nnauye( akiwa Waziri wa Habari jimboni kwa Byabato Mkoani Kagera). Ushahidi wa hili ni maneno aliyosema aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa Longido.
Ushahidi wa haya ni maneno aliyowahi kuyatamka Rais Magufuli kuwa inakuwaje nakuteua Mkurugenzi na kukulipa Mshahara alafu Wapinzani washinde kwenye Uchaguzi unaosimamia?

Napenda kuwapongeza CHADEMA maana kiuhalisia kwa nini tufanye uchaguzi wakati sio kura zetu zinazoamua mshindi wa uchaguzi? Kwa nini tufanye uchaguzi wakati kuna watu wanakaa wanaamua tu saivi embu tuondoe majina ya wagombea wote wa upinzani ili chama chetu kishinde kwa asilimia 90?

Kwa wana JF! Tusishangae sana kuona mtiririko wa nyuzi humu kuyaponda maamuzi haya ya CHADEMA, tena kutoka kwa influential people! Kusema ukweli lazima watakuja wengi maana sehemu kuu ya CCM kuwalaghai Watanzania imekuwa ni hizi Chaguzi ambazo wanazichezea wapendavyo.

Mwisho. Napenda kuwaambia Watanzania, tuwaunge mkono CHADEMA kama tunataka kweli kulijenga vizuri hili Taifa letu.

Watu wanaoiba uchaguzi hawawezi kuwa na moral authority ya kukemea wizi wa mali zetu na fedha zetu zinazoibwa kila kukicha na kutuacha Wananchi tukiishi maisha magumu na kukosa huduma muhimu.

Watu wanaoiba uchaguzi hawawezi kuacha kuiba na kutumia vibaya kodi zetu ambazo zinapaswa kutumiwa vizuri kutujengea miondombinu mizuri ya barabara hadi majumbani kwetu, miundombinu bora ya maji na madawa ya uhakika katika hospitali zetu.

Tusimame sasa na CHADEMA ili kuitengeneza TANZANIA bora kwa vizazi vingi vinavyokuja. Kwa maslahi mapana ya nchi yetu, sote tuseme NO REFORM NO ELECTION.

Tunahitaji sasa hizi Reforms kuliko wakati wowote ule maana linapoelekea Taifa letu sio kuzuri kabisa.

Lord denning
Dubai
Kwahiyo unafikiri mwaka huu nchi haitafanya Uchaguzi Mkuu kisa No Reform, No Election? Na kama ikifanya unaamini itafanya kwa Katiba Mpya?
 
Teh Teh Teh! 2019 CDM ilisusia uchaguzi wa serikali Za mitaa enhe nini kilibadilika? 2020 Magufuli alipora uchaguzi nini kimebadilika? Na October 2025 Samia anawanyoa bila maji na hakuna kitu mtafanya na utoto wenu!
Mjinga ni wewe usiejua athari zinakuhusu pia

Ona Sasa Kila mbunge anangangania asiwepo mpinzani wapite kama Samia alivyopitishwa na mkutano Mkuu

Ujinga mtupu
 
Umeona Lisu anajiliza kama ww hapa jf? Dada angalia jicho hilo litaliwa bila condom.
Hahahaha haya matusi unampa mwenyekiti wako…. Basi tu tunajiheshimu tungekua na domo pana kama lake tungemwagia siri zake humu. Naona mtoto umepanic sana lini mnaingia barabarani kuzuia uchaguzi?? 😂😂😂😂
 
Mjinga ni wewe usiejua athari zinakuhusu pia

Ona Sasa Kila mbunge anangangania asiwepo mpinzani wapite kama Samia alivyopitishwa na mkutano Mkuu

Ujinga mtupu
Alimradi yangu yananiendea hayo mengine sawa tuuu…. October 2025 Samia anawanyoa watu bila maji!
 
Teh Teh Teh! 2019 CDM ilisusia uchaguzi wa serikali Za mitaa enhe nini kilibadilika? 2020 Magufuli alipora uchaguzi nini kimebadilika? Na October 2025 Samia anawanyoa bila maji na hakuna kitu mtafanya na utoto wenu!
Baada ya Magu kutenda yote hayo nn kilimpata??
 
Hahahaha haya matusi unampa mwenyekiti wako…. Basi tu tunajiheshimu tungekua na domo pana kama lake tungemwagia siri zake humu. Naona mtoto umepanic sana lini mnaingia barabarani kuzuia uchaguzi?? 😂😂😂😂
Nasema hivi, angalia usije ukaliwa jicho. Ungekuwa unajiheshimu usingekuwa unaongea ukhanithi muda wote huu. Kama mumeo kashindwa kashindwa kihalali, ila unajiliza tu hapa kama bwabwa la lungalunga.
 
Back
Top Bottom