Kwa namna Serikali ya Rais Samia ilivyoshindwa kuwatumikia Watanzania maandamano kama ya Kenya yalipaswa kuitishwa mara moja

Jisemee nafsi yako, wewe na nani unazimudu hizo bei??, wewe utakuwa ni mfanyabiashara wa mahindi na mchele unapigia debe biashara yako huku wananchi tuliowengi tukiumia kwa vyakula muhimu kupanda bei.
Mbona Toka umeanza kulalamika hufi njaa ndio kwaanza unapanua Domo hapa? Kama unaona anafaidi sana na wewe Anza biashara ya chakula Ili ufaidike kama unafkiri ni rahisi
 
Mbona Toka umeanza kulalamika hufi njaa ndio kwaanza unapanua Domo hapa? Kama unaona anafaidi sana na wewe Anza biashara ya chakula Ili ufaidike kama unafkiri ni rahisi


Kwakuwa sifi njaa basi mambo ni mazuri??--- sijui ni akili ya wapi hiyo??
 
Fanyeni kazi acheni uzwazwa nyie msiyopenda kujishughulisha ndio huwa mnaolialia hata mkilala njaa mnailalamikia serikali mkinyimwa unyumba mnailalamikia serikali mkiishiwa mnailalamikia serikali
Mjinga mwingine huyu.Leo nimefunga saluni yangu siku nzima kisa mgao wa umeme alafu unaongea utumbo gani
 
Halafu Samia ni fisadi piaπŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Ndio maana unapuuzwa.
 
Unapima upepo wa Samia eti?

Toa uchafu wako hapa.Umeme kukatika hovyo, maji ya mgao, bidhaa muhimu kupanda bei, ufisadi, semina, hafla za pongezi na ziara zisizo na tija zinazokandamiza watanzania, ulambaji wa asali (kula kwa urefu wa kamba) tozo zinazoumiza watanzania, mikopo isiyo na ulazima n.k ni mambo mengi sana ya hovyo yanayozidi kukandamiza wananchi, hususan wa hali ya chini.
 
Ilipaswa kuanzia hapa kisha yahamie huko.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ukishakuwa tapeli lazima uvuje mapovu..

Mitambo kama hii hapa imegawiwa Nchi nzima,never before,

 
Mfumuko wa bei uko duniani nzima, sasa unadhani ukiandamana ndio bei zitashuka?
Sio kweli, shusha bei ya dizeli inayotumika kusafirisha vyakula, pandisha petrol ili kutoathiri matarajio ya bajeti, ruhusu wafanyabiashara waingize chakula bila kodi (kile tu chenye uchache sokoni), ruhusu ghala la taifa kuuzia wafanyabiashara wa ndani ili kuongeza supply sokoni kama hatua za muda mfupi, muda wa kati kusanya vijana wa SUA waliomaliza kilimo, say 10 kila group liundie kampuni kwa hisa wape hektas bure, wadhaminiwe wapewe matrekta na SUMA, mbolea, mbegu, na mashine za umwagiliaji kwa mkopo, wape wataalam wa fedha na masoko, kundi moja Rufiji Mpunga, jingine Rukwa Mahindi, jingine Mbulu Ngano uone matokeo
 
Uchumi wa kisanii huo subirini awamu yenu mtafanya
 
Fanya kwa vitendo maana FFU wana kiu kweli. Hakujatokea maandamano ya maana muda sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…