Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
ok.Wananchi wamekuwa na hasira na wamechoka.
Wanapambana na askari wa vyombo vya dola. Siku raia wakiwawazidi nguvu askari itakuwaje?
Huko Tabora naambiwa wananchi wametembea na Ak 47.
Kwa nchi ilipo fikia sasahivi ni afadhari raia wamiliki sialaha kiliko polisiSio jambo la kushangilia AK 47 kuingia mtaani, wakati wewe unawaza itawadhuru hao Askari Polisi tambua hata wewe inaweza kukudhuru pia
Hao wwlioçhukua AK watapatikana na watajibu kwa nini walifanya huo uhalifu.Wananchi wamekuwa na hasira na wamechoka.
Wanapambana na askari wa vyombo vya dola. Siku raia wakiwawazidi nguvu askari itakuwaje?
Huko Tabora naambiwa wananchi wametembea na Ak 47.
Bora raia wamiliki silaha dhidi ya hawa wauaji wa CCMSio jambo la kushangilia AK 47 kuingia mtaani, wakati wewe unawaza itawadhuru hao Askari Polisi tambua hata wewe inaweza kukudhuru pia
Sio mara ya kwanza. Nyie mlichobakiza ni kuua raia na vitisho, ila kushughulikia kiini cha mgogoro wa kwenye hifadhi.Hao wwlioçhukua AK watapatikana na watajibu kwa nini walifanya huo uhalifu.
Bora tu wamiliki silaha. Dharau zimezidi kwa wafugajiWananchi kutembea na AK 47 sio threat kwa askari peke ake, Inaweza kua threat hata kwa raia.
Hao wafugaji - Wasukuma na wamasai they are un civilized society - Ukifatilia ugomvi wao na wakulima, hutashangaa ugomvi wao na Mali asili.