Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Samia,una habari Nchi ipo gizani?
Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa?
Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani?
Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako lkn umejipangaje kuwajibu Watanzania kwa maswali na wasiwasi wao tele kukuhusu kama ndiwe ama yupo mwingine ajaye?
Samia,Makamba ni sumu kuvu ndani ya uRais wako mfute kazi mara moja.