Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba

Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba

Samia,una habari Nchi ipo gizani?

Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa?

Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani?

Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako lkn umejipangaje kuwajibu Watanzania kwa maswali na wasiwasi wao tele kukuhusu kama ndiwe ama yupo mwingine ajaye?

Samia,Makamba ni sumu kuvu ndani ya uRais wako mfute kazi mara moja.
Sukuma gang buana acheni mama na team yake waupige mwingi
 
Yeyote anayesema kuwa makamba ni smart sana atakuwa ni mtu ambaye kichwani mwake kuna tui la nazi tu. Afadhali ukasema kuwa makamba ni mtu mzuri sana, lakini siyo mtu smart sana.
kwaiyo yule sukuma mwenzenu Kale man ndio alikuwa smart Sana??! Ukabila na udini unawasumbua wapuuzi nyie,

Mnataka Rais awasikilize wakati kutwa mnamtukana
 
Hawezi kumuondoa huyo wanaelewana lugha yao moja, familly friends, LNG $30mil ndio akili yao kwa sasa.
 
Mimi naamini makamba amepewa hiyo nafasi kimkakati na yanayo endelea yanatokea kwa makusudi na mama anajua. Mark my word bro
Samia,una habari Nchi ipo gizani?

Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa?

Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani?

Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako lkn umejipangaje kuwajibu Watanzania kwa maswali na wasiwasi wao tele kukuhusu kama ndiwe ama yupo mwingine ajaye?

Samia,Makamba ni sumu kuvu ndani ya uRais wako mfute kazi mara moja.
 
kwaiyo yule sukuma mwenzenu Kale man ndio alikuwa smart Sana??! Ukabila na udini unawasumbua wapuuzi nyie,

Mnataka Rais awasikilize wakati kutwa mnamtukana
Pumba tupu hizi. Mimi nimesema kuwa yule anayamini kuwa Makamba ni smart sana atakuwa na mpungufu makubwa ya akili; kama wewe unaamini hivyo basi ni kweli una mapungufu makubwa ya akili kwani hata jibu hili ulilotoa linaonyesha kuwa kichwani mwako hamna kitu.

Post yangu haikuwa inasema Rais anisikilize mimi, na wala sikusema swala la dini ya Makamba au kabila lake. Dini yake haijulikani kwani mama yake ni mkristo na baba yake ni mwislamu, kabila lake pia halijulikani kwani mama yake ni mhaya (kanda ya Ziwa) na baba yake sijui ni msambaa au mdigo (wa Tanga) sina uhakika. Unaweza ukajipima maneno yako kuona yanavyopwaya
 
Mtoa Mada kwani waziri ni fundi wa Tanesco? Kwanini unashindwa kuwa reasoning kwenye mfumo kazi wa Tanesco mpaka uone waziri pekee ndiye anayeweza kuzuia hitilafu ya umeme?" Ina maana hata umeme ukikatika mtaani kwako utasema ni waziri anahusika. Kumbe wanabadilisha nguzo za miti na kuweka nguzo za zege, acha chuki binafsi jiongeze kwa kupanua uwezo wako wa kufikiri.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Yaani anahujumiwa vipi wakati kapangua kila kitu na ameunda timu yake. Si huyu huyu aliyesema mashine zimetumika mfululizo kwa hiyo ye alipoingia tu zikafa.
Lini amekuambia zimekufa?

Hivi kuna mwenye akili timamu anayeweza kupinga kuhusu uchakavu wa miundombinu ya TANESCO?!

Kama unaishi kwenye maeneo makongwe, yaani yale ambayo yamewekwa umeme miaka kadhaa kama sio miongo iliyopita; je umeshawahi kuona hapo mtaani au eneo lenu likifanyika mabadiliko makubwa ya miundombinu?

Hivi ulishawahi kujiuliza na kupata jibu ni kwanini ni kawaida kuona Kariakoo ambako ni mjini HAKUNA umeme lakini ukienda Kigamboni au Bunju unakuta umeme?!
 
Hana Ushaidi wowote zaidi ya majungu tu,chuki yao kubwa ni kwa Makamba kuwa waziri, na pia kwa msukuma mwenzao kutolewa uwaziri,

Miundombinu ya Tanesco muda mrefu haijafanyiwa service
Hamna cha Ameondolewa vs akateuliwa.
Muundo wa Tanesco ni mbovu period.
Serikali kwa muda mrefu inapoteza fedha nyingi bila mafanikio.
Hatuwezi kuendelea kukatika umeme katika enzi hii ya sayansi na teknolojia hivi hata uingizaji wa solar kwa hali ya juu unashindikana?
Gasinya Mtwara imekuwa lelemama! SIASA inatupoteza kwa kasi kubwa.
Na sasa tunaongelea magaidi wa kukata miti kwa kuyaweka barabarani hivi inaingiaje akilini .??
 
Jana tumeshinda na majenereta,sa hivi washakata Umeme.

Vp kuna Sukuma gang mwingine ana muhujumu mama tumtoeee!!!

Team mazezeta wanatetea mpaka kivuli,Tangu lini kipara ngoto akafanya kitu ktk nchi hiii??
 
Mwigu.
Makamba JR.

Wamewahi fanya kitu Gani ndani ya nchi hii Zaid ya kukaza vijana wawasifie humu KWA sifa wasizokua nazo,wamekabiziwa viwizara hawana mbele wala nyuma Zaid ya kuleta utani utani tu,Mtu anakata umeme ambao watu wanategemea kuendesha shughuli zao afu mnaleta utani wa kisenego.
 
Karibu kila mtanzania wa mitandaoni ni mwanasisa.Na baadhi ni washauri wa Rais kuhusu nani afukuzwe kazi na nani ateuliwe
Huu ukosefu wa majukumu umekuwa kidonda sugu kwenye maisha ya kila siku ya watanzania wa mitandaoni.
Sio tu wanasiasa no Wataalam wa kila kitu....!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
CCM sijui lini mtakuwa na akili za kijitambua vitu vingine havihitaji siasa kwasababu vinagusa maisha ya watu ya kila siku
Halafu jambo la ajabu kwamba huu upuuzi wanaoushangilia in the end na wao wanakuwa victims of the situation. Basi at least wao wangekuwa exempted kwenye haya madhila tungewaona wa maana
 
Karibu kila mtanzania wa mitandaoni ni mwanasisa.Na baadhi ni washauri wa Rais kuhusu nani afukuzwe kazi na nani ateuliwe
Huu ukosefu wa majukumu umekuwa kidonda sugu kwenye maisha ya kila siku ya watanzania wa mitandaoni.
Ina maana wewe hauoni kinachoendelea ? Au mwenzetu unaishi marekani?.
na bwawa la nyerere atalipiga Vita mpaka umeme usiwake maana ni la adui yake
 
Samia,una habari Nchi ipo gizani?

Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa?

Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani?

Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako lkn umejipangaje kuwajibu Watanzania kwa maswali na wasiwasi wao tele kukuhusu kama ndiwe ama yupo mwingine ajaye?

Samia,Makamba ni sumu kuvu ndani ya uRais wako mfute kazi mara moja.
Hawa watu wanaopewa vyeo kwa sababu ya baba alikuwa kada wa ccm hawawez kulisaidia taifa tutegemee hasara maana ni watu wale wale wenye mawaz yale miaka 60 ya uhuru tunahitaji katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
 
Samia,una habari Nchi ipo gizani?

Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa?

Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani?

Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako lkn umejipangaje kuwajibu Watanzania kwa maswali na wasiwasi wao tele kukuhusu kama ndiwe ama yupo mwingine ajaye?

Samia,Makamba ni sumu kuvu ndani ya uRais wako mfute kazi mara moja.
Mkuu mbona unataka kumkaanga JM, mtu hata miezi mitatu bado hajaimaliza kwenye hiyo nafasi tayari amekuwa sumukuvu? Tumpe nafasi manake naona ana vitu anavitayarisha na siku vikikamilika atatuvusha.
 
Back
Top Bottom