Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba

Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba

Yaani hapa inaonekana no jinsi gani ulivyo kiazi. Hivi ni wapi pameandikwa , tu akijiunga leo hapaswi kuanzisha uzi?
Shirikisha ubongo wako kabla huja key in smart phone yako. Rudia tena kusoma na kuelewa nilichoandika.
 
Katika vitu ambavyo huyu mama ataviepuka ni kutumbua watu aliowateua yeye. Sababu ye anaamini akiwatengua itaonyesha ni udhaifu wake yeye aliyeteua, ikumbukwe ameshaonekana ana mapungufu. Atabaki kutumbua watu wa mtangulizi wake tu. Pia hawa anaowateua wengi ni mkakati kwa ajili ya 2025.
 
Ukiona maadui wanakuzonga sana ujue umewapiga,Makamba ni Kiongozi smart sana upstairs
Hana rekodi ya usmart kiuongozi. Ni yeye chini ya kamati yake aliingia mikataba ya hovyo kwa tanesco, yeye ndiye aliyetaka kuzuia ujenzi wa bwawa la umeme akiwa waziri wa mazingira, juzi alipotembelea alibaki kuduwaa haamini mradi mkubwa unaoendelea kule.
 
Karibu kila mtanzania wa mitandaoni ni mwanasisa.Na baadhi ni washauri wa Rais kuhusu nani afukuzwe kazi na nani ateuliwe
Huu ukosefu wa majukumu umekuwa kidonda sugu kwenye maisha ya kila siku ya watanzania wa mitandaoni.
Tafuta kisiwa ukaishi peke yako. Acha simu na kila kitu.
 
Ni kweli apewe muda lakini nahisi anahujumiwa maana hata leo kuna shida ya kure charge token network kwenye remote hakuna ni mwendo wa giza tu!
Yaani anahujumiwa vipi wakati kapangua kila kitu na ameunda timu yake. Si huyu huyu aliyesema mashine zimetumika mfululizo kwa hiyo ye alipoingia tu zikafa.
 
Ukiona maadui wanakuzonga sana ujue umewapiga,Makamba ni Kiongozi smart sana upstairs
Mapepo maalum ya kupepea wanaoteseka wanancnhi wanyonge, binafsi imenibid nihame kwa muda mikoa ya baridi maana joto limeongenzeka ilihal umeme mgao wa hatari ndani hapalaliki huku maji ya baridi kwenye friji yanageuka chai.

Endeleeni kumtetea watesi
 
Samia,una habari Nchi ipo gizani?

Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa?

Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani?

Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako lkn umejipangaje kuwajibu Watanzania kwa maswali na wasiwasi wao tele kukuhusu kama ndiwe ama yupo mwingine ajaye?

Samia,Makamba ni sumu kuvu ndani ya uRais wako mfute kazi mara moja.
Kipimo cha kazi wamekikuta na usimamizi bora ulionekana wananchi wanaelewa mbichi na mbivu, tuvute subra maisha yaendelee. Kila mmoja atavuna anachopanda
 
Ni wakati wa nyuki kuzaa sana asali kwenye mzinga wa Babu maombi yalishajibiwa.
 
Samia,una habari Nchi ipo gizani?

Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa?

Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani?

Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako lkn umejipangaje kuwajibu Watanzania kwa maswali na wasiwasi wao tele kukuhusu kama ndiwe ama yupo mwingine ajaye?

Samia,Makamba ni sumu kuvu ndani ya uRais wako mfute kazi mara moja.
Nyie wapuuzi kutwa mnamtukana Samia kwa kutumwa na Kalle manii , nyie mna chuki tangu huyo mtu wenu afutwe uwaziri, Wala hamna Nia njema na Rais wapuuzi nyie,huo ushauri wenu pelekeni Chato wajinga wakubwa !!
 
Ushahidi ni upi?
Hana Ushaidi wowote zaidi ya majungu tu,chuki yao kubwa ni kwa Makamba kuwa waziri, na pia kwa msukuma mwenzao kutolewa uwaziri,

Miundombinu ya Tanesco muda mrefu haijafanyiwa service
 
Back
Top Bottom