Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ushahidi ni upi?Samia,una habari Nchi ipo gizani?
Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa?
Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani?
Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako lkn umejipangaje kuwajibu Watanzania kwa maswali na wasiwasi wao tele kukuhusu kama ndiwe ama yupo mwingine ajaye?
Samia,Makamba ni sumu kuvu ndani ya uRais wako mfute kazi mara moja.
Angeanza na Mwingulu nchembaSamia,una habari Nchi ipo gizani?
Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa?
Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani?
Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako lkn umejipangaje kuwajibu Watanzania kwa maswali na wasiwasi wao tele kukuhusu kama ndiwe ama yupo mwingine ajaye?
Samia,Makamba ni sumu kuvu ndani ya uRais wako mfute kazi mara moja.
Zaidi ya kumsifia, amefanya nini substantial katika nchi hii?Ukiona maadui wanakuzonga sana ujue umewapiga,Makamba ni Kiongozi smart sana upstairs
Sawa mtoto wa kambo wa baba yake na yyUkiona maadui wanakuzonga sana ujue umewapiga,Makamba ni Kiongozi smart sana upstairs
Ni nani huyo mnae mtaka aje achukue nafasi yake?Zaidi ya kumsifia, amefanya nini substantial katika nchi hii?
Umeujaza chuki moyo wako, unafikiria kuna hata jema lake ukiambiwa utalielewa?Zaidi ya kumsifia, amefanya nini substantial katika nchi hii?
Sawa asante sana.Sawa mtoto wa kambo wa baba yake na yy
Unalenga kusema nini hasa?!Na bado ndio kwanza kumekuchaaa….Gas/LNG ndio inaenda kwao hivyo…
CCM sijui lini mtakuwa na akili za kijitambua vitu vingine havihitaji siasa kwasababu vinagusa maisha ya watu ya kila sikuUmeujaza chuki moyo wako, unafikiria kuna hata jema lake ukiambiwa utalielewa?
Wakati makamba anaingia tulisema zile thread muweke ukumbusho..mikataba yakipigaji imeshaanza kinachofuata Ni mikataba mingine inakuja...then mikataba hii itaambana na nyongeza ya gharama plus kesi za kulipa mabilioni..Ni suala la muda tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app