Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

Tunagharamika kwa mwanamke uliezaa nae TU,na kama ukiona Hana akili ya maisha unampa Hela ya kula ndogo ndogo na sehem ya kuishi!akiolewa na mwingine unapiga chini!!

Sasa jamaa kunasa kwake ni kwasababu amekosa mbadala wa mwingine ndio maana!!

Mwanamke haachwi ghafula ghafula lazima utaumia,unamuacha pole pole TU,Kwasababu penzi lipo deep kwenye nafsi unatakiwa uanze kuikemea nafsi kwa jina la Mungu mwenyewe ili ianze kupoa kidogo kidogo Hadi ubaridi utaanza kuingia kihisia!!

Asipofanya hayo atateseka sana!!
 
Kwa hiyo bogus wako aliona akimzibua mtaro basi malkia kimwana atatulia??
Na ni kwa nini atulie na mme wa mtu??
Acha aendelee kuliwa hela mpaka akili zimkae sawa...jiandae kukosa kazi.
 
Ila mimi naamini wapo ambao hawachepuki kabisa.
Kwani mkuu na wewe unachepuka?

Sijasema hawapo, nimesisitiza tu huo mtihani wa kuwasaka, kuwapata na kuverifai ni mgumu sana, ni kundi ls watu wachache sana. Hapa sizungumzii wale ambao akiamka hana hela ya kula, anasema amefunga.

Nawaongelea wale nguvu zipo, uwezo upo, ila wameamua kwa sababu zao binafsi, wameamua kutochepuka, wapo.
 
Hapo nimekuelewa.
Mbona haujanijibu swali lingine?
 
Ni ngumu sana kumrishisha Malaya lkn yote kwa yote tusiishi maisha ya wengine tutaumia sana na kuyaharibu maisha yetu kisa tu wengine
 
Ila baadhi yenu wanaume sijui mnajikuta nani.
Huyo rafiki yako ana mke wa ndoa takatifu lakini bado ana mchepuko nje tena anamfanya hadi kinyume na maumbile, halafu unaona hana hatia , mwenye hatia ni huyo mwanamke.

Washamba nyie tena Wazinzi.
Na hajaweka namba ya boss, naongezea shenzi kabisa
 
IPO sana, Biblia inasema:Aziniye na mwanamke,hana akili kabisa,Fanya Jambo litakalomuangamiza Nafsi yake,Soma kwenye Mithali6__!
 
'Asigawe talala kwa mkewe'?!

Ingelikuwa ni wewe ungelimtaliki mkeo kwa sababu ya mchepuko?

Au wadhani kwa mwanamme rijali kuchepuka ni kumchoka mke?
Kama hawezi kumtaliki mke wake, kwanini anataka mchepuko atulie ili hali yeye kashindwa kutulia kwa mke wake?

Kama hajamchoka mke wake, basi na huyo mchepuko hajawachoka wanaume zake. Hakuna haja ya kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…