Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

Bc ngoja jamaa anyooshwe
 
Na isitoshe wamekutaniana bar
 
Hawa ni wale geti Kali au wa vijijini huko kabahatika kupata ka kaazi mjini kaanza kuwapapalukia wakina piptyda
 
Ila baadhi yenu wanaume sijui mnajikuta nani.
Huyo rafiki yako ana mke wa ndoa takatifu lakini bado ana mchepuko nje tena anamfanya hadi kinyume na maumbile, halafu unaona hana hatia , mwenye hatia ni huyo mwanamke.

Washamba nyie tena Wazinzi.

Mwanamme hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja
 
Chinua Achebe na Ngugi wa Thiong walishasema mwanamke ni chombo cha starehe nyie mnataka kuwaridhisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…