Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

Mwenzako kampendea huo huo Umalaya wewe na shobo zako tu
 
Tangu lini shimo la tewa likajaa? Mkiambiwa ukioa hutakula peke yako maisha yako yote muwe mnaelewa. Kila mwanamke ni malaya kwa kiasi chake, kama umeamua kuishi na malaya ishi tu usiwe na wivu, wanawake ndivyo walivyo
 
Wewe hujaridhika na mkeo bado unahangaika na umalaya halafu unashangaa malaya mwenzio kutokuridhika? Una matatizo ya akili.
 
Kuna kula TAKO na kupewa TAKO. Huyo Jama anapewa TAKO. kwa hiyo hapo kwa kifupi ameingia kwenye mfumo wa huyo Jambazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…