Kwa nilichokiona leo kuna maafa mengine yananukia tarehe 8, kitakachowaokoa ni sangoma. Yanga wanaanzia walipoishia

Kwa nilichokiona leo kuna maafa mengine yananukia tarehe 8, kitakachowaokoa ni sangoma. Yanga wanaanzia walipoishia

Kwa takwimu YANGA wamekosa sana... Nafikiri pia wajerumani hawakupania kama YANGA
 
Mechi ya Leo kati ya yanga na Augsburg miamba ya soka ujerumani imetuonyesha picha halisi ya kikosi Cha wananchi,
Timu imetulia, inacheza soka la kitabuni, Inacheza kitimu bila kujali wanacheza na timu iliyo daraja la juu kabisa inayocheza ligi kuu ya ujerumani bundesliga!
Hii inaonyesha kwamba yanga kwa sasa inaweza kucheza na timu yoyote Ile hapa Africa na popote pale!
Wanaoujua mpira tulikuwa atuangalii sana matokeo Bali tulikuwa tinaangalia mambo ya kiufundi zaidi kuanzia team work, physic ya wachezaji, na vitu Kama ivyo, yanga bado wanacho kikosi Cha mauaji,
Dube na baleke ni watu aswaa, kilichobaki kwao ni match fitness kwa dube na baleke ni maelewano tu na wenzake baada ya hapo itakuwa ni balaa mjini!
Matokeo atuyazingatii kutokana na daraja walilopo Augsburg na ligi wanayocheza, aina ya wachezaji walionao na bajeti yao ni mbingu na ardhi ukilinganisha na yanga lakini ni Kipimo mathubuti kwa yanga!
Nachelea kusema wananchi wanayo timu si mchezo Wala siwatishi ndio ukweli!
Kuna mechi ya ngao TRH 8 ninachowaambia ndugu zangu wa Simba kitakachowaokoa na hiki kikombe Cha kipigo Toka kwa yanga ni SANGOMA tu otherwise nayaona maafa mengine YANANUKIA!
Uwezi kwenda kucheza na yanga yenye quality prayer Kila idara na inayocheza kitimu ukaenda kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja! Utaumbuka mapema sana!
Nawapa taadhali mashabiki wa Simba pamoja na kwamba derby uwa aitabiriki lakini timu Bora itaonekana!
Kwani kocha wao bado mgunda au wamemuiba Nabi airport?
 
Na hivi hawa makolo wanafungwaga kwa mujibu wa tarehe ya siku ya mechi, SUBIRI..!! Mtu anaenda kula kuanzia 8.
 
Ni kweli mna kikosi kizuri ila Yanga ina udhaifu mwingi mno esp kwenye beki, ni Diara ndo anauficha huu udhaifu, maombi yaelekezwe kuwa kufikia tarehe 8, Simba wachezaji wawe bado hawajatengeneza timu ila kama wamesomana na kuwa timu, sijui hata kama yale madude yenu ya blitch mnayorushaga yatafanya kazi.
Diara ni wa 5imba?
 
Yanga imeonesha ni timu tishio Africa kwasasa, kikosi cha kipindi cha pili kilicheza kwa maelewano zaidi, ila sijui kwanini mechi kubwa na muhimu Aucho huwa hachezi, leo wakoloni wetu wangelala na viatu.

Safi sana wananchi, timu yetu imetufurahisha, yule Mzee Magoma anazingua sana atakuwa kwa ndani ni Simba katumwa kuua momentum!!
Swali fikirishi je alikuwa hapewi mgao wa wazee kama upo, swali jingine je ni mwanachama hai?, Kama siyo mwanachama hai ana swali la kujibu
 
Ahmed anawajaza tu. Msijitumainishe sana kwa timu iliyoacha wachezaji 17 na kusajili wengine 17. Hiyo sio project ya mwaka mmoja kama Ahamed anavyowadanganya.
Umesoma comment kiushabiki bila kusoma ukaelewa maana. Mashindano ni mchezo wa kufukuzana, huwezi kusema upo bora kuliko wote wakati hao wenyewe unaoshindana nao hujawaona uwanjani wapoje. Mimi ni shabiki wa Yanga na wengi hapa jukwaani wananijua. Nilichoongea sio kwasababu ya maneno ya Ahmed Ally bali nimeongea uhalisia. Ni muhimu kuwaona Azam uwanjani timu yao ipoje maana na wao wameongeza quality players na pia kuona Simba nao uwanjani kisha unapata majibu juu ya wapinzani wako kuhusu mbio za ubingwa.

Kuhusu hoja ya wachezaji kuwa wengi kutokuwa project ya muda mfupi, hilo nakukatalia. Kama umefanya replacement ya wachezaji kwa usahihi (wachezaji wenye viwango) na kocha akaja mwenye kiwango sahihi (mbinu na ufundi) kuna uwezekano wa kuanza kuyaona matunda ya project yako kwa muda mfupi.

Katika wachezaji 17 waliochwa Simba, wachezaji waliokuwa kwenye kikosi cha kwanza ni Chama, Saidoo, Kanoute, na Inonga hilo pia likumbukwe.

Yanga ya Nabi msimu wa 2021/2022 kuna wachezaji 10 waliachwa na 11 wakasajaliwa wapya na ubingwa akabeba. Ishu kubwa ni kusajili wachezaji wenye viwango na kocha mwenye viwango.
 
Back
Top Bottom