Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo kushinda kwenye mechi za pre season ndio ubora wa timu? Kumbe mlivyogongwa goli 6-2 na kitimu Cha ovyo uko misri juzi Mlikuwa ni mlenda kabisa?Ni mbovu. Uliza moto wa Orlando Pirates kwenye pre season usikie
ME pia nimependa sana alivyocheza na naona ndio sababu kubwa Yanga Sc kucheza vizuri sana kipindi cha pili. Aucho ajiangalie sanaAzizi Andambwile ni mtu nafikiri sasa mbadala wa Aucho tumempata kijana apewe nafasi ni chuma..
Yaani mechi inakuto povu hivi, je tukirudisha mada za Magoma?Kwaiyo kushinda kwenye mechi za pre season ndio ubora wa timu? Kumbe mlivyogongwa goli 6-2 na kitimu Cha ovyo uko misri juzi Mlikuwa ni mlenda kabisa?
Kwani kocha wao bado mgunda au wamemuiba Nabi airport?Mechi ya Leo kati ya yanga na Augsburg miamba ya soka ujerumani imetuonyesha picha halisi ya kikosi Cha wananchi,
Timu imetulia, inacheza soka la kitabuni, Inacheza kitimu bila kujali wanacheza na timu iliyo daraja la juu kabisa inayocheza ligi kuu ya ujerumani bundesliga!
Hii inaonyesha kwamba yanga kwa sasa inaweza kucheza na timu yoyote Ile hapa Africa na popote pale!
Wanaoujua mpira tulikuwa atuangalii sana matokeo Bali tulikuwa tinaangalia mambo ya kiufundi zaidi kuanzia team work, physic ya wachezaji, na vitu Kama ivyo, yanga bado wanacho kikosi Cha mauaji,
Dube na baleke ni watu aswaa, kilichobaki kwao ni match fitness kwa dube na baleke ni maelewano tu na wenzake baada ya hapo itakuwa ni balaa mjini!
Matokeo atuyazingatii kutokana na daraja walilopo Augsburg na ligi wanayocheza, aina ya wachezaji walionao na bajeti yao ni mbingu na ardhi ukilinganisha na yanga lakini ni Kipimo mathubuti kwa yanga!
Nachelea kusema wananchi wanayo timu si mchezo Wala siwatishi ndio ukweli!
Kuna mechi ya ngao TRH 8 ninachowaambia ndugu zangu wa Simba kitakachowaokoa na hiki kikombe Cha kipigo Toka kwa yanga ni SANGOMA tu otherwise nayaona maafa mengine YANANUKIA!
Uwezi kwenda kucheza na yanga yenye quality prayer Kila idara na inayocheza kitimu ukaenda kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja! Utaumbuka mapema sana!
Nawapa taadhali mashabiki wa Simba pamoja na kwamba derby uwa aitabiriki lakini timu Bora itaonekana!
Ahmed anawajaza tu. Msijitumainishe sana kwa timu iliyoacha wachezaji 17 na kusajili wengine 17. Hiyo sio project ya mwaka mmoja kama Ahamed anavyowadanganya.Yanga tumeiona, ila Simba bado hatujaiona. Tukumbuke kuwa kuna Simba mpya kazinduliwa, hivyo tusubirie kwanza tuone huyu Simba mpya yupoje
Rudisha tu haituhusu.Yaani mechi inakuto povu hivi, je tukirudisha mada za Magoma?
Na hivi hawa makolo wanafungwaga kwa mujibu wa tarehe ya siku ya mechi, SUBIRI..!! Mtu anaenda kula kuanzia 8.Mechi ya Leo kati ya yanga na Augsburg miamba ya soka ujerumani imetuonyesha picha halisi ya kikosi Cha wananchi,
Timu imetulia, inacheza soka la kitabuni, Inacheza kitimu bila kujali wanacheza na timu iliyo daraja la juu kabisa inayocheza ligi kuu ya ujerumani bundesliga!
Hii inaonyesha kwamba yanga kwa sasa inaweza kucheza na timu yoyote Ile hapa Africa na popote pale!
Wanaoujua mpira tulikuwa atuangalii sana matokeo Bali tulikuwa tinaangalia mambo ya kiufundi zaidi kuanzia team work, physic ya wachezaji, na vitu Kama ivyo, yanga bado wanacho kikosi Cha mauaji,
Dube na baleke ni watu aswaa, kilichobaki kwao ni match fitness kwa dube na baleke ni maelewano tu na wenzake baada ya hapo itakuwa ni balaa mjini!
Matokeo atuyazingatii kutokana na daraja walilopo Augsburg na ligi wanayocheza, aina ya wachezaji walionao na bajeti yao ni mbingu na ardhi ukilinganisha na yanga lakini ni Kipimo mathubuti kwa yanga!
Nachelea kusema wananchi wanayo timu si mchezo Wala siwatishi ndio ukweli!
Kuna mechi ya ngao TRH 8 ninachowaambia ndugu zangu wa Simba kitakachowaokoa na hiki kikombe Cha kipigo Toka kwa yanga ni SANGOMA tu otherwise nayaona maafa mengine YANANUKIA!
Uwezi kwenda kucheza na yanga yenye quality prayer Kila idara na inayocheza kitimu ukaenda kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja! Utaumbuka mapema sana!
Nawapa taadhali mashabiki wa Simba pamoja na kwamba derby uwa aitabiriki lakini timu Bora itaonekana!
Diara ni wa 5imba?Ni kweli mna kikosi kizuri ila Yanga ina udhaifu mwingi mno esp kwenye beki, ni Diara ndo anauficha huu udhaifu, maombi yaelekezwe kuwa kufikia tarehe 8, Simba wachezaji wawe bado hawajatengeneza timu ila kama wamesomana na kuwa timu, sijui hata kama yale madude yenu ya blitch mnayorushaga yatafanya kazi.
Swali fikirishi je alikuwa hapewi mgao wa wazee kama upo, swali jingine je ni mwanachama hai?, Kama siyo mwanachama hai ana swali la kujibuYanga imeonesha ni timu tishio Africa kwasasa, kikosi cha kipindi cha pili kilicheza kwa maelewano zaidi, ila sijui kwanini mechi kubwa na muhimu Aucho huwa hachezi, leo wakoloni wetu wangelala na viatu.
Safi sana wananchi, timu yetu imetufurahisha, yule Mzee Magoma anazingua sana atakuwa kwa ndani ni Simba katumwa kuua momentum!!
Umesoma comment kiushabiki bila kusoma ukaelewa maana. Mashindano ni mchezo wa kufukuzana, huwezi kusema upo bora kuliko wote wakati hao wenyewe unaoshindana nao hujawaona uwanjani wapoje. Mimi ni shabiki wa Yanga na wengi hapa jukwaani wananijua. Nilichoongea sio kwasababu ya maneno ya Ahmed Ally bali nimeongea uhalisia. Ni muhimu kuwaona Azam uwanjani timu yao ipoje maana na wao wameongeza quality players na pia kuona Simba nao uwanjani kisha unapata majibu juu ya wapinzani wako kuhusu mbio za ubingwa.Ahmed anawajaza tu. Msijitumainishe sana kwa timu iliyoacha wachezaji 17 na kusajili wengine 17. Hiyo sio project ya mwaka mmoja kama Ahamed anavyowadanganya.
Watuonyeshe Simba yetu, kutupunguzia mawazo.Yanga tumeiona, ila Simba bado hatujaiona. Tukumbuke kuwa kuna Simba mpya kazinduliwa, hivyo tusubirie kwanza tuone huyu Simba mpya yupoje
Nahisi mtawekewa katika mfumo wa surprise, hadi siku ya Simba day ndio mtaiona mechi ya timu yenu kwenye luninga.Watuonyeshe Simba yetu, kutupunguzia mawazo.
Tuone mechi moja tu, inatosha kutuonyesha aina ya timu tuliyonayo.