Kwa nilichokiona Morogoro, ni sahihi kusema Serikali ya CCM inachelewesha maendeleo ya huu mkoa kwa makusudi kabisa!

Two wrongs don't not make one right. Je ndege bado zinakwenda Chato baada ya Magufuli kufa?

Nchi lazima iwe na priority. Yawezekana kuna mambo muhimu ya kufanya Morogoro kuliko huo uwanja wa ndege
Sababu za kuwepo kwa mahitaji ya wapanda ndege mji wa Morogoro zipo wazi kiasi kwamba huwezi kuiweka Morogoro kwenye mizani sawa na mikoa mingi tu hapa Tanzania.

Factor ya kwanza: kama upo serikalini utakubaliana na mimi kwamba Morogoro ndo centre ya workshop na mikutano mingi inayohusisha taasisi za serikali.

Factor ya pili: Utalii. Na kama ungekuwepo uwanja ina maana hata volume ya wasafiri kuja na kuondoka Morogoro ingeongezeka.

Factor ya tatu: Huu mkoa pia una idadi kubwa ya jamii ya Asians ambao kwenye mambo ya usafiri huwa wana prefer zaidi usafiri wa angani kuliko magari.

Kwahiyo unavyo-conclude kwamba kujenga uwanja Morogoro ni uamuzi usiofaa, mimi ntakushangaa na kukuuliza unipatie sababu zako halisi za kwanini hauwezi kuwa uamuzi mzuri.
 
Uzoefu kweli unaonesha wastani kwa aina ya namna tunavyolima mavuno ni kama gunia 12 kwa ekari (tani 1.2) na hii ni kwa wakulima wadogo wadogo. Ila kwenye vitabu inaonesha yield inaweza ikaenda mpaka tani 5 kwa ekari 1.

Kwa huyu mdau yeye inamaana alipata kama wastani wa tani 2.3 kwa ekari ambayo ipo ndani ya wastani wa makadirio ya vitabuni.

Ndo maana najiepusha kukataa moja kwa moja; hatujui ikiwa alitumia kilimo cha kitaalamu na aliotesha mbegu za kisasa. Kwahiyo mimi ni kama kwa kiasi kikubwa naamini ni kweli
Mkuu huko mlimba kuna kampuni ya wamarekani iliitwa kpl iliwekeza kisasa kabisa na walikuwa hawatoi hiyo tani 2.3 ya mpunga kwa hekari(2018 kpl ilifungwa) na kuna iyo njage irrigation scheme nao wako kisasa lakin hawatoi tani 2.3 kwa hekari hapo achilia mbali hao mawaziri na magavana.Kweli moro kuzuri lakini muda mwingine tuzungumze uhalisia
 
Mleta mada nakubaliana na wewe kwa mengi uliyoyasema kuhusu morogoro.

Mimi nitachangia kuhusu hoja ya Morogoro kutokuwa na kiwanja kikubwa cha ndege za kiraia.

Katika suala la usalama, nchi imegawanywa katika kanda za kimkakati kijeshi ili kutoa nafasi ya jeshi kudhibiti vizuri usalama katika
1. Anga 2. Majini 3. Nchi kavu

Morogoro ni mkoa wa kijeshi hasa kwa ulinzi wa anga ( jeshi la anga na mifumo ya ulinzi wa anga ikiwemo rada za kijeshi na ndege za kivita).

Eneo la anga la mkoa huu linatoa fursa ya kudhibiti miji muhimu ya Dar es Salaam, Dodoma na Lindi, Tanga.

Ili kuepuka mashambulizi yasiyotarajiwa ya ndege za kiraia ni vyema morogoro ikabaki kuwa " No Fly Zone" kwani kuna mazoezi ya mara kwa mara ya mifumo ya kiulinzi ambayo inaweza hata kushambulia ndege za kiraia kimakosa na kuleta maafa yasiyo ya lazima.

Hoja ya kuhamisha kikosi cha anga cha Ngerengere kiende Mkoa mwingine ni ngumu. Miundo mbinu ya kuweka kambi ya jeshi si rahisi kuihamisha.

Kambi za kijeshi zina mambo yanayotegemea sana jiografia na jiolojia ya eneo pamoja na umkakati wake kwenye ulinzi.

Ulinzi wa taifa kijeshi umegawanywa katika brigedi maalumu ( kusini, magharibi n.k) amazo huwa maalumu kwa aina zake za silaha za msaada, mfano mbuni, faru, n.k ili kupeana sapoti katika mazoezi ya kijeshi, vita na lojistiki.

Kuhamisha kikosi tendaji ni sawa na kuihamisha brigedi na kuacha ombwe la kiulinzi.

Hata Marekani yenyewe kuna maeneo maalumu ya kijeshi ambayo hayaruhusiwi raia kufanya shughuli.

Morogoro haina ulazima wa usafiri wa anga maana iko karibu sana na Dar es Salaam ambayo ndiyo hub ya usafiri wa anga Tanzania.
 
Mkuu labda kama unafurahisha genge sawa ila unachokisema hakiwezekani kwa msimu mmoja yani hekari 60 utoe gunia 1400

Mkuu labda kama unafurahisha genge tu ila unachoandika hakiwezekani huko unapopataja yani hekari 60 zitoe gunia 1400+ mm nna miaka mingi tu nalima huko kipingu napajua vizuri na wilaya yote ya mlimba, kuhusu mawaziri kulima, huko wapo kibao ushawahi kusikia kuhusu mashamba ya balali?huyu huyu wa benki kuu yalileta shida sana, ushawahi kusikia kuhusu mashamba ya beno ndulu? Huyu alijenga mpaka daraja la chuma na kushikiza uletwaji wa umeme huko mlimba, mkuu gunia 1400+ kwa hekari 60 maana yake kila heka ulipata zaidi ya gunia 23+ hii kitu hata irrigation scheme ya hapo mbingu haitoi gunia hizo ndo maana nasema unadanganya
Achana na mashamba yaliyokufa kwa urea! Utachoka sana mkuu
 
Mleta mada nakubaliana na wewe kwa mengi uliyoyasema kuhusu morogoro.

Mimi nitachangia kuhusu hoja ya Morogoro kutokuwa na kiwanja kikubwa cha ndege za kiraia.

Katika suala la usalama, nchi imegawanywa katika kanda za kimkakati kijeshi ili kutoa nafasi ya jeshi kudhibiti vizuri usalama katika
1. Anga 2. Majini 3. Nchi kavu

Morogoro ni mkoa wa kijeshi hasa kwa ulinzi wa anga ( jeshi la anga na mifumo ya ulinzi wa anga ikiwemo rada za kijeshi na ndege za kivita).

Eneo la anga la mkoa huu linatoa fursa ya kudhibiti miji muhimu ya Dar es Salaam, Dodoma na Lindi, Tanga.

Ili kuepuka mashambulizi yasiyotarajiwa ya ndege za kiraia ni vyema morogoro ikabaki kuwa " No Fly Zone" kwani kuna mazoezi ya mara kwa mara ya mifumo ya kiulinzi ambayo inaweza hata kushambulia ndege za kiraia kimakosa na kuleta maafa yasiyo ya lazima.

Hoja ya kuhamisha kikosi cha anga cha Ngerengere kiende Mkoa mwingine ni ngumu. Miundo mbinu ya kuweka kambi ya jeshi si rahisi kuihamisha.

Kambi za kijeshi zina mambo yanayotegemea sana jiografia na jiolojia ya eneo pamoja na umkakati wake kwenye ulinzi.

Ulinzi wa taifa kijeshi umegawanywa katika brigedi maalumu ( kusini, magharibi n.k) amazo huwa maalumu kwa aina zake za silaha za msaada, mfano mbuni, faru, n.k ili kupeana sapoti katika mazoezi ya kijeshi, vita na lojistiki.

Kuhamisha kikosi tendaji ni sawa na kuihamisha brigedi na kuacha ombwe la kiulinzi.

Hata Marekani yenyewe kuna maeneo maalumu ya kijeshi ambayo hayaruhusiwi raia kufanya shughuli.

Morogoro haina ulazima wa usafiri wa anga maana iko karibu sana na Dar es Salaam ambayo ndiyo hub ya usafiri wa anga Tanzania.
Mkuu, sababu ulizoziweka hapo juu, kwa jicho la kawaida zina make sense tena sana, ila ukizitizama kwa jicho la pili, ni sababu za kimapokeo zaidi. Ziliweza ku make sense labda miaka 25 iliyopita ila kwa zama hizi za sasa, hizo sababu zinakosa mashiko.

Hata ukifanya simple cost and benefit analysis unaona kabisa benefits za kuwa na uwanja zina zidi cost za kutokuwa na uwanja.

Umeitaja marekani kwamba kuna maeneo ni no-flying zones (naomba uthibitishe kwa mifano ni maeneo ama states zipi zina no flying zone). Maana umeitaja kwa ujumla sana pasipo kuwa specific kwenye hilo.

Lakini pia, umesema ni gharama kuhamisha uwanja wa ndege wa kijeshi. Mimi naweza nikabisha hilo jambo. Na sababu kubwa ni kwamba uwanja wa ndege hauwezi kuwa na runway ndefu kwasababu ndege nyingi za kijeshi ni ndogo ndogo, na pia hata airport ya jeshi sio kitu unasema utahitaji uweke majengo makubwa ya abiria kukaa (kwahiyo kwenye gharama mimi nakataa hilo)

Na kingine: Morogoro sahiv ipo kati ya mikoa minne yenye uchumi mkubwa hapa Tanzania, kwahiyo kiuchumi hai make sense hata kidogo kwa zama za sasa.

Hoja ya Morogoro kuwa karibu na Dar es salaam: zipo umbali wa 200km, huo sio ukaribu kabisa. Maana kama hoja ni ukaribu mbona Arusha na Moshi zipo 80km lakini walau Arusha kuna airport ambayo inaweza kutumika kwa public transport za ndani? Na kingine hiyo Arusha Airport ipo karibu na kambi kubwa ya Monduli na ni mpakani kwa Kenya ina maana mbona logic hiyo hiyo isingetumika kuifanya Arusha kuwa no-flying zone?

Kwahiyo sababu za Morogoro kutokuwa na uwanja ni sababu za kimapokeo zaidi. Zili-make sense miaka hiyo ila kwa zama hizi, hizo sababu hazina mashiko.
 
Achana na mashamba yaliyokufa kwa urea! Utachoka sana mkuu
Kuna component muhimu sana kwenye kilimo ya "soil health." tunduma001 amesema kuna kampuni la wamarekani walikuwa huko ila wakaamua kufunga, inawezekana walishaona udongo hauna afya ku-support tija kubwa. Kwa sababu vitabu vinatuambia kwa ekari moja mtu unaweza kupata mpaka tani 5. Kwahiyo hiyo wastani wa tani 2.3 inaonekana inafikika
 
Twende taratibu mkuu niambie wapi katika bonde la mto kilombero unatoa tani 2.3+ kwa hekari? twende kwa ushahidi mkuu
Dar to Ifakara, Ifakara,lupilo unashukia Ilagua, Ilagua to Kipingu,

lile bonde linaloangaliana na Mlimba, kuna bonde ambalo huoni mwisho wake, ni bonde ambalo kiuhakika lilivamiwa tu na wakulima ila ndani yake mnafukuzana na nyumbu na wakati mwingine Simba na Nyati,

Ni bonde ambalo mimi Nililima likiwa limelimwa mwaka mmoja tu huku wananchi wakijichukulia maeneo kwa maeneo

Huwezi Amini ninachokisema, tena zilikuwa gunia 1405,

Nilichokifanya ni tofauti na wakulima wengi tuliokuwa tukitokea maeneo mbalimbali

Wengi wao ilikuwa mtu akisha sia mpunga wake, tayari anarudi nyumbani anangoja kipindi cha kuja kuvuna tu kwa sababu pia kipindi hiko mbuga zilikuwa hazitoi polizi kwa sababu ya kuwepo uhakika wa maji kila wakati

Mimi nilifanya kambi ya miezi mitatu huko huko, pale palipohitajika kuupunguzia na kupandikiza pia polizi, nilifanya hivyo shamba langu

Uwezo wa kutoa mazao kwa Hekali moja kwa kipindi hiko, ilikuwa 18,20 mpaka 24, ukisimamia vizuri

Achana na maeneo yaliyochoshwa na mbolea za chumvichumvi, hutopata unachohitaji kukipata chief

Lima maeneo mapya na penda mbegu za kisiasa uone tofauti na ukubali kuhudumia, mbona kuna maeneo mengine hekari moja zilikuwa zikitoa gunia mpaka 27?
 
Mikumi kuna uwanja wa ndege na sasa kuna mikakati ya kuongeza ...... mengine wa Morogoro anaitwa mseme haya ya kweli,
Semeni comments twende na hali ya dunia ilivyo
 
Huu wa Mikumi unazungumzia wa watalii? Ambao kwa hapa Morogoro kuna kiwanja kidogo sana kwaajili ya hizi ndege ndogo ndogo, ambazo hata hivyo sio nyingi--ni kwa nadra sana (binafsi sijawahi kuona ndege ikikatiza)
 
Dar to Ifakara, Ifakara,lupilo unashukia Ilagua, Ilagua to Kipingu,

lile bonde linaloangaliana na Mlimba, kuna bonde ambalo huoni mwisho wake, ni bonde ambalo kiuhakika lilivamiwa tu na wakulima ila ndani yake mnafukuzana na nyumbu na wakati mwingine Simba na Nyati,

Ni bonde ambalo mimi Nililima likiwa limelimwa mwaka mmoja tu huku wananchi wakijichukulia maeneo kwa maeneo

Huwezi Amini ninachokisema, tena zilikuwa gunia 1405,

Nilichokifanya ni tofauti na wakulima wengi tuliokuwa tukitokea maeneo mbalimbali

Wengi wao ilikuwa mtu akisha sia mpunga wake, tayari anarudi nyumbani anangoja kipindi cha kuja kuvuna tu kwa sababu pia kipindi hiko mbuga zilikuwa hazitoi polizi kwa sababu ya kuwepo uhakika wa maji kila wakati

Mimi nilifanya kambi ya miezi mitatu huko huko, pale palipohitajika kuupunguzia na kupandikiza pia polizi, nilifanya hivyo shamba langu

Uwezo wa kutoa mazao kwa Hekali moja kwa kipindi hiko, ilikuwa 18,20 mpaka 24, ukisimamia vizuri

Achana na maeneo yaliyochoshwa na mbolea za chumvichumvi, hutopata unachohitaji kukipata chief

Lima maeneo mapya na penda mbegu za kisiasa uone tofauti na ukubali kuhudumia, mbona kuna maeneo mengine hekari moja zilikuwa zikitoa gunia mpaka 27?
Dar to Ifakara, Ifakara,lupilo unashukia Ilagua, Ilagua to Kipingu,

lile bonde linaloangaliana na Mlimba, kuna bonde ambalo huoni mwisho wake, ni bonde ambalo kiuhakika lilivamiwa tu na wakulima ila ndani yake mnafukuzana na nyumbu na wakati mwingine Simba na Nyati,

Ni bonde ambalo mimi Nililima likiwa limelimwa mwaka mmoja tu huku wananchi wakijichukulia maeneo kwa maeneo

Huwezi Amini ninachokisema, tena zilikuwa gunia 1405,

Nilichokifanya ni tofauti na wakulima wengi tuliokuwa tukitokea maeneo mbalimbali

Wengi wao ilikuwa mtu akisha sia mpunga wake, tayari anarudi nyumbani anangoja kipindi cha kuja kuvuna tu kwa sababu pia kipindi hiko mbuga zilikuwa hazitoi polizi kwa sababu ya kuwepo uhakika wa maji kila wakati

Mimi nilifanya kambi ya miezi mitatu huko huko, pale palipohitajika kuupunguzia na kupandikiza pia polizi, nilifanya hivyo shamba langu

Uwezo wa kutoa mazao kwa Hekali moja kwa kipindi hiko, ilikuwa 18,20 mpaka 24, ukisimamia vizuri

Achana na maeneo yaliyochoshwa na mbolea za chumvichumvi, hutopata unachohitaji kukipata chief

Lima maeneo mapya na penda mbegu za kisiasa uone tofauti na ukubali kuhudumia, mbona kuna maeneo mengine hekari moja zilikuwa zikitoa gunia mpaka 27?
Asante kwa elimu, nimejifunza kitu hapa. Napata wazo la kufanya utafiti wa kujibu ni kwanini wakulima wa mpunga wapate low-yield hata kama wanahudumia vizuri.

Inaonekana soil-health ikawa na mchango mkubwa. Tafiti nyingi zimejikita na factors kama mbegu, madawa, na mbolea, wakasahau issue ya afya ya udongo.
 
Mbona kibishara wafanya biashara huwa wanasema kwa moro mzunguko hakuna utakuta mtu anasema ngoj nikafate Dar mwenyewe :
..kwasababu ni jiran .. makabila ya kibiashara yaliyo mengi moro waliparuka sasa sijui hii inaukwer mkuu
 
Dar to Ifakara, Ifakara,lupilo unashukia Ilagua, Ilagua to Kipingu,

lile bonde linaloangaliana na Mlimba, kuna bonde ambalo huoni mwisho wake, ni bonde ambalo kiuhakika lilivamiwa tu na wakulima ila ndani yake mnafukuzana na nyumbu na wakati mwingine Simba na Nyati,

Ni bonde ambalo mimi Nililima likiwa limelimwa mwaka mmoja tu huku wananchi wakijichukulia maeneo kwa maeneo

Huwezi Amini ninachokisema, tena zilikuwa gunia 1405,

Nilichokifanya ni tofauti na wakulima wengi tuliokuwa tukitokea maeneo mbalimbali

Wengi wao ilikuwa mtu akisha sia mpunga wake, tayari anarudi nyumbani anangoja kipindi cha kuja kuvuna tu kwa sababu pia kipindi hiko mbuga zilikuwa hazitoi polizi kwa sababu ya kuwepo uhakika wa maji kila wakati

Mimi nilifanya kambi ya miezi mitatu huko huko, pale palipohitajika kuupunguzia na kupandikiza pia polizi, nilifanya hivyo shamba langu

Uwezo wa kutoa mazao kwa Hekali moja kwa kipindi hiko, ilikuwa 18,20 mpaka 24, ukisimamia vizuri

Achana na maeneo yaliyochoshwa na mbolea za chumvichumvi, hutopata unachohitaji kukipata chief

Lima maeneo mapya na penda mbegu za kisiasa uone tofauti na ukubali kuhudumia, mbona kuna maeneo mengine hekari moja zilikuwa zikitoa gunia mpaka 27?
sawa mkuu tuishie hapa maana tuendako sio kuzuri, ila kutoka ifakara mpaka mavimba hapo kati kote hakufai kwa kilimo hata michenga pako ivo ivo, kutoka mavimba mpaka lupiro mpaka ilagua pako vizuri kidogo lakini sio kwa hiyo 2.3 tonns/acre.Hilo bonde unalosema nadhani ni ngombo na vijiji vyake ambavyo sasa hivi ni sehemu ya hifadhi TAWA tu ndio wamejaa huko wenyewe wanasema stieglier's gorge project inategemea maji toka huko.Hayo maeneo nayajua vizuri mkuu ni mazuri ila sio kama watu wanavyofikiria
 
Yaani utafiti wako haujagusia SGR halafu ndio umechambua hivyo
SGR imeongeza thamani ila bado haijakata kiu ya kuufungua huu mkoa, na ndo sababu nikagusia specifically, suala la uwanja wa ndege.
 
Mbona kibishara wafanya biashara huwa wanasema kwa moro mzunguko hakuna utakuta mtu anasema ngoj nikafate Dar mwenyewe :
..kwasababu ni jiran .. makabila ya kibiashara yaliyo mengi moro waliparuka sasa sijui hii inaukwer mkuu
Kwa wachuuzi ina maana mtu akifuafa kitu Dar maana yake ataipata kwa bei ya chini kitu ambacho kitapanua wigo wa yeye kupata faida kubwa, tofauti na kununua hapa hapa Moro.

Pia, zingatia kwamba Morogoro haina bandari kwahiyo moja kwa moja lazima kama wewe ni mchuuzi, basi ukafuate mzigo Daslam
 
Back
Top Bottom