Kwa nilichokiona usiku huu kwa huyu mwanamke, naahirisha rasmi ndoa yangu ya Disemba 2015


kwa hiyo mkuu GENTAMYCINE ndio umekuja kunianika humu? kumbe ww ni jirani yangu? i m very sorry pliiiz
 
Uahirishe kuoa sababu ya hilo. Kweli mazingira yana nguvu ya kubadilisha maana wewe kwa kuona tu umebadili hata msimamo wako. Your very weak! You have permitted the evil influence to subdue your feelings, so have volunteered to be slave to that evil neighbour. Acha kutaka kujifunza ndoa kwa watu iliowashinda utashindwa na wewe jifunze kwa watu waliofanikiwa.
 
Hii stori ina walakini,kwanini unamwita lizee?,ulijuaje kama alipompigia simu hakupatikana,na ulijuaje kama baada ya lizee kuondoka demu wa tiaraei alimpigia simu,how distance ya ujirani wenu hadi usikie mtu anapojamba au alikuwa anajamba kama bomu,na harufu ya mavi uliisikiaje,af ulijuaje kama huyu dada ndo aliemshawishi mzee aachane na mkewe au alikuwa anakutuma wewe umkowadie kwa mzee ndo maana umpendi hata unamwita lizee,,UMBEA HUO LOOOL...
 
Kwa kiasi kikubwa ya maisha yako mtoa mada inaonekana huna maisha ya uhalisia ila unaishi kwa influence (ushawishi) wa wengine na kuathiriwa na yale wanayoyaishi.
Endelea na maisha hayo hayo mkuu. Yawezekana kuna siku moja wakati ushazeeka ndo ukaja kuishi maisha yako kiuhalisia.
 
Huuuuuuuuuuhh...! But huyo mzee yeye si ana Mke..? Hapo huyo popo yupo in business na ogopa sana mwanamke mzuri koz kabla hujamjua watu walishavumbua dhahabu soo wewe unaendeleza tuu uwekezaji..! Mmmhhh kweli "Mapenzi ya kweli ni ulaya tuu huku bongo ni bongo movie..!
 
if you take this too serious then you rill need some church......

kumbe wafanye wengine uchafu ikuaffect wewe na maamuz yako, then you don`t know what you want with your life.... u have a careless leaving.
 

  • "Na Demu Akawasha Simu Na Kumpigia Hili Zee Tena Huku Akimuita Honey Na Kumwambia Kuwa Simu Aliizima Kwakuwa Iliisha Chaji Na Bado Yupo Mjini Hivyo Waonane Tu Kesho Asubuhi "...hayo maneno uliyasikiaje mkuu?






na wewe kumbe kumbe umeona...
 


    • @pasco Tangu lini gari ikanesa nesa kisa tuu kuna mtu anakula icecream?. uenda kuna style nyingi za kula icecream..ngoja aje kutueleza



 
dah! story za humu wala hata sizielewagi kama zinakuaga za kweli!' mana kuna mambo mawili matatu kwenye hiyo story yanatatanisha, kwanza kw wazoefu wa kula mzigo kwenye gari!' gari inakuaga tinti na mambo yanafanyika humo humo! sidhani kama huwa wanashukaga ndani ya gari ............. na kuhusu simu ilivyopgwa we ulijuaje amemwambia bado yupo mjini waonane kesho.
 
kwa hiyo mkuu GENTAMYCINE ndio umekuja kunianika humu? kumbe ww ni jirani yangu? i m very sorry pliiiz

Kwa Hiyo Kumbe Uliyekuwa Unabanduliwa Usiku Ule Na Kunitesa Mimi Kwa Kunifanya Nikukodolee Ile Mimacho Yote Ulikuwa Ni Wewe? Ebhana Ila Unajua Kweli Kukata Viuno!
 
Wakuu huyu GENTAMYCINE anawekaga mabandiko mengi yakufikirika!
Sijui kama hatujadanganywa hapa!
 

  • "Na Demu Akawasha Simu Na Kumpigia Hili Zee Tena Huku Akimuita Honey Na Kumwambia Kuwa Simu Aliizima Kwakuwa Iliisha Chaji Na Bado Yupo Mjini Hivyo Waonane Tu Kesho Asubuhi "...hayo maneno uliyasikiaje mkuu?​

Kwani Ukiwa Unapiga Chabo Masikio Nayo Huwa Yanakwenda Likizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…