Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Zipo za kuchukua na zipo za kuziacha pia, usiishi kama yeye, ishi kama wewe.Wala siwezi chukua ushaur huo mpaka kifo, Mwanamke atabaki nyumbani tosha, hoja za Robert zinagongana hazina mashiko zifuatilie
Rukwa hiyo ni kawaidaYaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Mademu wa Kibongi wakizaa na Wakiwa mazingira Mazuri wananawiri ila wale mnaitaga Watusi Huwa wanaharibika baada ya kuzaaNimekuja kushtukia ina watoto 2
Sina Cha kuchukua kwake na siwezitaka kuwa kama yeyote Bali nipo kama nilivyo na ndo maana nasimamia niliposhika na hapawezi ng'oka, nasonga na dira yangu Wanawake watabaki nyumbani, hapa nimemalizana na wewe.Zipo za kuchukua na zipo za kuziacha pia, usiishi kama yeye, ishi kama wewe.
Huweiz kua Robert Heriel Mtibeli kamwe, hivyo chukua cha kuhimu cha kipuuzi na kisichoendana na misimamo yako kiache.
Binafsi napenda mwanamke ambae hata nisipokuwepo familia itasimama, mimi sio mbinafsi kama wewe.
Kea.hyo wewe unaangalia kipato cha mwanamke?Watu hawawezi kukuelewa wla kunielewa
Niliwahi kuandika, mwanamke anayejiweza hata Akiwa na mtoto sio single mother hao wanomaanishwa na vijana mitandaoni.
Kea.hyo wewe unaangalia kipato cha mwanamke?
Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Mwanamke mwenye mtoto unampiga unatembea.....
Kaaazii kweli kweliMwanamke mwenye mtoto unampiga unatembea.....
Hii dunia ni ngumu mkuu.Kaaazii kweli kweli
Aseeh so poa bwasheeHii dunia ni ngumu mkuu.
Kwa kawaida lawama huwa anapewa mwenye matokeoSingle mothers wana shida sana kwenye hii Dunia.
Wanaowapa mimba wanawakataa halafu bado lawama zinarudi kwa single mothers tena.
Wanawake wenye watoto popote mlipo nawatakia mafanikio kwenye pilika pilika zenu na utaftaji wenu.
Gusa achia twende kwaoYaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
unaandika kana kwamba huna kizazi , tena bora ukose kizazi kuliko uje upate mtoto wa kike aje kuwa zaidi ya single mazaTulishasema humu kataa single Maza.
Yeyote atakaye kwenda kinyume, litako mkuta limkute, Akomae nalo, sio kuja hapa JF tena kulia lia kuomba ushauri.