Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Zipo za kuchukua na zipo za kuziacha pia, usiishi kama yeye, ishi kama wewe.Wala siwezi chukua ushaur huo mpaka kifo, Mwanamke atabaki nyumbani tosha, hoja za Robert zinagongana hazina mashiko zifuatilie
Huweiz kua Robert Heriel Mtibeli kamwe, hivyo chukua cha kuhimu cha kipuuzi na kisichoendana na misimamo yako kiache.
Binafsi napenda mwanamke ambae hata nisipokuwepo familia itasimama, mimi sio mbinafsi kama wewe.