Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

Mtumie kifurushi cha sms atakucheck🤔
 
Hela ya kula afadhali asife.
Kuna mmoja tulitoka out for the first time, na ilikuwa sehemu nzuri na alijihudumia alivyotaka...baada ya stori za kawaida za hapa na pale ghafla...baby🙄🙄
You know what?
A day after 2moro..ni siku yangu ya kuzaliwa.
Mahitaji gauni la 350k
Viatu 180k
Keki 120k
NA 800k ya kuandaa sherehe.

Hapo sijamtongoza ma nilikuwa sitarajii kumtongoza hata karibuni..
Moyoni nilicheeeka🤣🤣🤣🤣
 
Tatizo tunawatumia sana. Unakuta huyo ameanza kudanganywa akiwa na miaka 16. Anatongozwa anaingiliwa anakimbiwa. Inafika kipindi kila anayemsemesha anajua litakalofata, anaachana na mapenzi anatanguliza fedha.
Atleast wewe una hoja.
 
Next time jifunze kutafuta walala hoi wenzako kijana wangu ili uepuke kucheka kama ulivyocheka. Hiyo hela ni ndogo sana siyo hata ya kuja kuandikia malalamiko JF. Hiyo si ni vocha tu ya week 2?! Hata simu ya maana hupati dukani.
Mizigo hiyo achia wenye hela zao na si za mawazo kijana wangu.
 
Hiyo Hela ni ndogo mzee[emoji23][emoji1544] acha zako
 
Unaandika huku roho inakusuta kwasababu uhalisia wa life yako hujawahi honga hata 100k.

Hivi 1,500,000/= niitupe tu bila sababu kwa mtu sio mpenzi, sio rafiki wala ndgu?

Kwanza wewe una mawzo ya kihuni na hujui lolote😂😂😂
Tajiri Mo bilionea wenu hata 50k hakupi bure sembuse mimi?
 
Wewe ndo unashida, ulichukua namba yake ya nini? Na ukafikiri ukishachukua ndo kawa wako? Kama yeye alivyokuwa mjinga ndivyo na wewe ni mjinga.
 
Komementi ya kizandiki sana kwa fukara
 
Sijawahi honga 100K? Kijana acha ubahili. Hiyo 1500K ni marupurupu ya mwezi tu, achilia mshahara. Nimesikitika mno. Kijana zingatia ushauri wangu. Watafute akina Mwajuma na Hadija hutojutia. Huko waachie wenye meno. Hiyo hela ungeomba mzigo 'kisela' kisha ukahonga baada ya kupewa. Kijana hujui kujiongeza? Warembo wanataka hela si za mawazo kijana.
 
Haya wamekusikia wanakuja.
 
Hasa wasiokuwa na shughuli ya kufanya.

Wanasemaga hivi;

Mjini msingi kiuno.

Ila kuna midume mingine nayo ni ya hovyo kweli kweli. Muda wote wao kutongoza tongoza ovyo kwa mwanamke yeyote wanayemuona.
"Dick-Heads" ni wengi sana kwenye jamii yetu ya kitanzania.
 
Tafuta hela...20,000..sio hela ya kutukana watu
Mtaji wa mtu,huo.Heshimu pesa.
We unadhani wale wanaouzaga kuni mitaani,wakiwa wamebeba kwenye baiskeli,hupata faida tsh.ngapi?
Uliza mtu wa stationery,anamheshimu mtu anayetoa photocopy,tena ya chini ya jero.Heshimu hela.
 
Wengi wanapenda kupima uwezo wa kifedha kwa mwanaume aliyenaye, inawezekana alikuwa haitaji hiyo fedha kwa wakati huo, ila alikuwa anataka akupime uwezo wako.
Mkuu mwanamke kapima upendo kwa kuomba elf 20 na Mwanaume kapima upendo kwa kumnyima elf 20, kwa hiyo ngoma droo wao bila yeye sifuri.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…