Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Pakoje mkuu [emoji2]
 
Mkuu,

Kwa mtu wa kipato Cha Kati hapa Tz,Ni fursa gani anaweza kwenda kufanya Burundi na akatoboa ?

Mfano Nina mtaji wa chini ya milioni 2-5 alafu nikataka kwenda Burundi kutafuta maisha.
 
Masikini hapewi Cheo kanisani ataishia kuimba kwaya tu
Kanisani kwetu raia mwenye cheo kikubwa ana gari expensive kuliko waumini wote wenyeji. Katibu ana kazi kubwa anafanya shirika fulani hana muda sana ila walimchagua hivyo hivyo wakati alikuwepo mzee mmoja hana hela huwa tunaangalia mpira wote vibandaumiza wakamtoa. Ana muda wa kutosha hata ukimwambia uwe unalala nyumbani na unaamkia kanisani anaweza.

Kuna character maskini wanakuwa nayo sipendi kukubali kirahisi waniongoze. Mtu hajawahi miliki hata duka la jumla, hajawahi sajili kampuni wala kufanya kazi taasisi, kampuni au nafasi kubwa private/public ila anagombea ubunge. Ukimchagua anakuwa Lijualikali
 

Nchi yao ni shithole.
 
1. Mtanzania anaweza kufanya biashara gani kubwa?

2. Je kuna vibali vyovyote vya kibiashara mtu hutakiwa kuwa navyo au kwa kuwa ni nchi wanachama wa EAC hakuna vibali?

3. Vipi hali ya usalama?
 

Rwanda inatumia nguvu kujibrand internationally ila bado sana. Warwanda wengi waliopo ughaibuni hawataki kabisa kupasikia kwao.
 
West zipi unazizungumzia ukiondoa Nigeria. katika nchi 10 zenye uchumi Mkubwa barani Afrika nyingi zinatoka Kaskazini, mashariki na Kusini mwa Afrika. Unazikuta nchi za Ethiopia, Kenya, Tanzania, Afrika ya Kusini, Angola, Misri. hizi zote zipo nusu ya Mashariki mwa Afrika ukiigawa bara sehemu mbili ya magharibi na Mashariki.
 
Watu hawajui wasomali wana mpango mkakati mmoja wamesambaa duniani ila bado wana imani ipo siku wote watarudi Somalia na wataijenda Somalia na itakua imara

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Acha kutudanganya wewe.nimetembea east africa nzima na baadhi ya nchi za magharibi nimeona kuwa Tanzania ndiyo nchi ya hovyo kabisa.mifano mingi tunaiona hapa tanzania kila sehemu miundombinu ni ya hovyo sana afadhali na burundi kabisa
 
Hapo kuna nchi tajiri tatizo vita mfano sudani kusini ilitulia tz aiwezi tia mguu
Wana akili? Utajiri mkubwa ni akili siyo rasilimali ulizonazo. Israel haina rasilimali, bali ina akili. Vile Ulaya imejaliwa rasilimali akili, hawana rasilimali madini, mbuga za wanyama n.k.

sisi Afrika hatuna rasilimali akili. hivyo, hata hao Sudan kusini hata vita vingeisha hawatatukuta maana nina imani kwa akili tumewazidi.
 
Aloo hapo kwa Ethiopia umenifungua macho mkuu, nilikuwa nikiona ile midude ya Ethiopian najua ni bonge la nchi kiasi nikawa natamani nifike, maana wanasema shirika lao la Ndege ni kati ya mashirika makubwa na yanayofanya vizuri Afrika
Usisahau Ethiopia ni nchi ya nane kwa Uchumi Mkubwa barani Afrika ikiwa na Pato la Taifa la dola bilioni
72.5 kwa mwaka. Inaizidi hadi Kenya.
 
Nimeenda google ungalia bangui kuko vipi
 
Nchi nyingi zilizotuzidi kusini mwa jangwa la sahara uchumi wake umeshikiliwa na whites tofauti kabisa na Tz
 
Hapo kwenye sadaka million 100 ningependa kujua hilo kanisa na mimi nikasali huko
 
Botswana ni ya 23 kwa uchumi mkubwa Afrika na Namibia ni nchi ya 27 wakati Tanzania ipo nafasi ya 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…