Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Kweli kabisa unalinganisha Burundi na Tanzania. Kweli,is this a mind we need we Tanzanians? Yaani mimi huwa nalia kwa kuona baraka tulizojaliwa nazo watanzania. Madini ya kutosha,mistu,mbuga za wanyama,maziwa,mito,bahari,makabila mengi, human population kubwa,Amani na umoja. Hatuna ukabila bongo.

Vitu hivi vyoote kwa serikali ya kizalendo kama nchi za Asia yaan hususani Singapore, South Korea, China,India , Indonesia na kadhalika basi bongo angalau tungeifikia Indonesia au South Korea. Leo unalinganisha Tanzania na kijiwe cha kahawa😳.

Linganisha basi hata na Qatar, Qatar kubwa,linganisha basi hat n Israel aaah Israel wanapewa na wadhungu. Basi linganisha na Hong Kong, ash hawa Wana technology. Basi linganisha na Kenya tuuu hapa Jirani.

Burundi......aaah bro umeniangusha chin pungulu nikaanguka tangara😆😆😆😆
 
Hakuna mtu anaemlazimisha mtu aishi maisha ya anasa, wapo matajiri wasiojihusisha na udini ukijifanya mdini Sana bila kufanya biashara kwenye dini sana sana unaukaribisha umasikini ndio maana Viongozi wa dini uhimiza watu kutoa Zaka na Sadak, mtu kuishi maisha ya udini ni machaguo yake binafsi sio kwamba anachaguliwa na mtu, ulevi wa Pombe na mengineyo uliyotolea mfano si kweli kwamba mtu huambiwa awe mlevi ili aikane dini Hilo nakupinga kwa nguvu zote
 
Japo mengi ya aliyosema mtoa Uzi yana ukweli 90%, napenda kuongeza mazuri ya Burundi

[emoji117] Warundi ni watu wakarimu sana kwa jamaa, ndugu na marafiki zao.
Ukifika, watakuja kukutembelea wakiambatana na sukari, mkate au pesa taslimu (ya sukari na mkate)..
Swali la kwanza kwa mgeni: "utakunywa fanta au bia..?" [emoji28]

[emoji117] Burundi kuna fursa za wazi kabisa kibiashara. Na hapa mimi niliona uhaba wa gesi ya kupikia. Familia nyingi zinatumia mkaa, chache zinatumia gas
Hivyo km mtu anaweza kuchangamkia fursa hii, bas atatoboa

[emoji117] Biashara ya kubadilisha fedha inalipa sana hapa. Forex zipo nyingi, lakini mahitaji ni mengi zaidi.
Warundi Wana ndugu wengi Canada, USA, Belgium, France, na nchi nying za uarabuni, hivyo usishangae kumuona bibi kizee tu anajua kupanda na kushuka kwa dollar, uero, n.k

[emoji117] Buja ni mlango mpana wa kwenda ng'ambo. Watu wengi wa mikoa jirani (mfn kigoma, kagera, musoma) wanatumia sana mlango wa buja kwenda ughaibuni. Kwa bongo hata kupata tu passport ni jasho

[emoji117] Ukitaka kuona jinsi watu wanafurahi, basi njoo Bujumbura. Pamoja na shida za kisiasa walizonazo lakini hawa viumbe ni watu wa kufurahi muda wote. Wanapenda pombe kuliko kitu kingine chochote km sijakosea. Bia maarufu ni primus na Amstel

[emoji117] Bei ya bidhaa muhimu km sukari, sabuni, mafuta, dawa n.k viko chini sana ukilinganisha na Tz.
Kwa sasa sukari imeadimika sana hapa buja, lakini pamoja na kuadimika huko, bei ya kilo moja ni 2500fbu, petrol ni 2700fbu
Isipokuwa kwa bidhaa zinazotoka nje, hizo bei zake zinategemea stability ya dollar

[emoji117] Hotels za buja zinajaa kila siku. Unaweza tembelea hotel 3-5 ukaambiwa zimejaa, si ajabu hii
Hii inaonesha bado kuna fursa za uwekezaji wa biashara ya nyumba za wageni (hotels) na ukapata faida

[emoji117] Hakuna asiyejua km watusi wanamuonekano mzuri. Hivyo hili libaki hapo[emoji28]

[emoji117] Bujumbura (ville/mjini) hakuna bajaji, bodaboda wala baiskeli (Kinga). Usafiri wa tax ni WA gharama nafuu kuliko Tz. Japo tax za hapa nyingi ni probox na hazina hali nzuri sana ukilinganisha na Tz.
Mjini hauno msongamano wa magari km bongo

[emoji117] Azam ameteka soko la juice na biskuti hapa buja. Hii inakupa picha kuwa fursa za uwekezaji zipo na uhitaji ni mkubwa sana.
Wazawa wanahifia kuwekeza nchini kwao, kwa sababu ya kiusalama, lakini wageni wanalindwa vya kutosha

Mambo ni mengi, lakini Burundi ndio nchi ya kwanza kwa umasikini duniani. Na kwa sababu hii, wenye akili nyingi wanaweza kuitumia kujitajirisha
 
Kuna vitu hujaelewa.
Amezungumza kujitenga na dini hajasema kujitenga na imani.

Wengi mnachanganya haya mambo mawili
 
Kuja Burundi natakiwa kuwa na nini kaka.Vigezo na finance wise angalau kukaa week 1!??
 
Ukiona nchi au eneo flani la nchi lina wafuasi wengi wa dini jua vilevile kuna umasikini mwingi na hawana kazi ya kufanya zaidi ya kukesha makanisani kujiliwaza na neno la Mungu.Na ukitaka kuwa maskini kupindukia kuwa muimba kwaya wa kanisa.
Ahahahahah dah haya mambo bwana.
ukisikia 24 / 7 bas utakutana nayo kanisani usipokua makini

1. J2 ni ibada kama kawaida
2. J3 siku ya vijana
3. J4 ibada za wana mtaa
4. J5 ibada ya mafundisho kanisani
6. Alh siku ya wamama na mazoez ya kwaya
7. Ijumaa ibada ya maombi na mkesha
8. Jmosi siku ya usafi na maziez ya prasie team na maandalizi ya ibbada ya J2.

And cycle starts again.
Hapo bado vikao..mara mikutano ya viongozi.. weka mbali semina na makongamano..weka mbali mifungoo.

Kwahiyo ni Muhimu sana kuweka vipaumbele vyako ila ratiba zako zisikwame
 
Ntibazonkiza inabidi nimpe hii anajiona wq kishua kumbe kwao hamna kitu
 

Ongeza Comoros
 
mbona watoa mifano ya mbali maalim? Hebu tuambie wew toka umejiweka mbali na dini unamiliki utajiri kiasi gani hadi sasa yaan?
Utajiri namba moja ninaomiliki ni kutambua kua dini ni kwa ajili ya matajiri ndio maana ukienda kanisani unakutana na masanduku ya Sadaka, masikini asie na kitu akienda kanisani anaonekana hajatoa kitu anaonekana hajafanya ibada yoyote na kaenda kanisani kujaza wingi tu, kwa hio maarifa niliyonayo ya kuyatambua hayo ni moja ya utajiri tosha, maana utajiri uanzia kwenye akili sio kwenye utashi sio kwenye hisia hapa nazungumzia Maarifa ambavyo vyote kwa pamoja vipo ndani ya mfumo wa Nafsi, mfumo wa Roho unajihusisha na Imani ili uwe tajiri lenga mfumo wa Nafsi yako ambao umegawanyika katika sehemu kuu 3 yaan akili, utashi na hisia ambavyo kwa pamoja vinahusisha Maarifa na ili uwe tajiri inabidi uwe na Maarifa ya kutosha ambayo yanahiusisha akili yako

Nimekujibu kwa kadri inavyowezekana ili uelewe angalau, Vita zote ambazo binadamu hupambana huanzia kwenye mfumo wa Roho unapigwa Roho kwanza baada ya kuishinda Roho adui anahamia kwenye mfumo wa Nafsi na akiushinda mfumo wa Nafsi ndipo adui uhamia kwenye mfumo wa Mwili, mkumbuke yule mchungaji wa Mchongo wa Kenya Paulo Mackienz yeye alicheza kwanza na mfumo wa Roho wa waumini wake kisha akahamia kwenye mfumo wa Nafsi (Maarifa) akilenga Maarifa ya uongo ya kwneye Biblia kwamba ukifunga hadi kufa utaonana na Mungu na kwa kua alishawashinda wale waumini kwenye Vita ya mfumo wa Roho akawashinda kwenye mfumo wa Nafsi mwisho akawamaliza mfumo wa Mwili wakafa vibudu

Una swali jingine uliza uwanja ni wako,
 
Kwa nachojua nchi za Africa ukitoa za west kido lakini huku East and centre Africa umasikini ni Mkubwa yaani hakuna wa kumcheka mwenzie hata hapa Tanzania umasikini ni Mkubwa Sana na unatisha as the same Kenya , Uganda, Burundi . Sudan nk msumbiji nk

Yaani Africa hasa watu weusi Maisha yetu hayana nafuu kwa wengi wetu , ndo maana huwezi. Kumjua Mtu mwenye Kazi au jobless hapa TANZANIA umasikini ni Mkubwa Sana . Tena Sana Uganda nimekaa nimejionea Maisha yao kenya Tz Sudan so msiseme Burundi mkasahau kuwa umasikini ni tatizo la nchi zetu zote
 
Dini aisababushi watu kuwa masikini nawashangaa watu washenzi kila kuhusisha dini na umasikini!!wewe hapo uliopo unajifanya kuponda dini lakini wewe sio miongoni mwa matajiri wa nchi hii!kama kigezo ni ndini kwanini wewe usiwe tajiri?

Ufahamu wako wa mambo mdogo hasa kuhusu ufukara ulio wakumba warundi na kinacho sababisha tanzania tukawa tofaoti nao kimaisha

Sababu inayo tufanya tz tuwe na tofaoti na warundi ni aridhi bahari mito bandari barabala misitu madini ufugaji vitu hivio vinatoa fura kubwa kwa watanzania kujipatia kipato

Warundi vitu hivio hawana ndio maana wanakuwa mafukara wa kuzidi hata rwanda raiya ni mafukara sana labda ungesema hivi WARUNDI NI WACHAFU kwa uchafu jamii hiyo inaongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…