Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Halafu kwa East Africa boda boda zimeanzia Kampala. Ni kweli Kampala uendeshaji wao ni vurugu tupu, wala hawaogopi askari.
Hiace zinafanya kazi hadi katikati ya Jiji la Kampala.
Nakumbuka nilipokua napita mtukula border, kalisizo, kyotera, masaka to Kampala..kampala patamu aiseeh
 
Wewe, mimi ni msukuma chapa ya ng'ombe. MTANZANIA PURE KABISA. Yaani yaani kule Ntuzu na Busia kuna makaburi mpaka ya bibi zake na babu zangu nilishayaona.Sikatai nina connection na warundi ila ni kwa upande wa marehemu mme wangu. Burundi ni kwao na watoto wangu. Kule ni maskini yes na sijakataa. Ila mimi ni Mtanzania og.
Eeee lina lyako bhole gete lya Kirundi,, zunyaga doho ole Nundi ila wakolela kobhasukuma
 
warundi kama walivyo watu wa kigoma ni wabishi sana, wanapenda ubishi na utani wa uongo uongo, halafuuuuu ni wepesi kupiga hatua kumi mbele na Kisha kurudi hatua 7 nyuma yaani wanaweza wakawa wamshika level Fulani ya maendeleo halafu Kwa maamuzi ya kijinga wanayapoteza na kuja kuanza na Moja.


halafu wanapenda kulima, home huko walilima sana mashamba ya Mzee kwa ujira wa kukaa tu.
 
Somali yenyewe ipo wapi kimaendeleo? Mbona kila siku wanakimbia nchi yao na kulipuana tu. Huo uhodari wao umewafikisha wapi?
Wasomali ndio hawa

Wapo wana piga kikapu marekani

Wapo wakimbiaji uingereza mfano Mo farah

Wapo wagunduzi katka tech za kutuma miamala ya kifedha duniani

Wapo katika miziki kama muimbaji wa waving flag

Wapo wengi wame wekeza maeneo mengi duniani

Tanzania tuna uwekezaji wa wasomali mfano ni city mall nk

Wasomali Wapo na program zao kupitia uraia pacha wana mashirikiano na Nchi za ulaya mfano uturuki katika kukuza michezo

Hivyo timu yao iliyobugiza magoli watz cecafa imeunda na vijana waliopo ktk academies za ulaya ambapo serikali ina ratibu mpango huo

Hivyo yawezekana kuna vita lakini wana jaribu kutafuta maisha bora duniani
 
Ukiona nchi au eneo flani la nchi lina wafuasi wengi wa dini jua vilevile kuna umasikini mwingi na hawana kazi ya kufanya zaidi ya kukesha makanisani kujiliwaza na neno la Mungu.Na ukitaka kuwa maskini kupindukia kuwa muimba kwaya wa kanisa.
Mbona Ruto alikuwa muimba kwaya.
 
Mbona ata KE wakijua tu ka.a ww ni mbongo basi mamno yana kuwa normal tu
Ujatembea KE wewe nenda Eldoret au Nairobi alaf waambie ni MTZ uone maneno ya shombo tulienda kipindi flani pale Nakumat Garille Supermarket Nairobi tukasema sisi ni from TZ aisee jamaa wakaanza kutushambulia "How come waTZ wanabonga kinge vzuri hivi?Nyie sio wa TZ wa TZ hawajui kinge"
 
Inawezekana dogo hata hujui unaandaliwaje. Narudia, kile sio chakula cha kuliwa na binadamu. Nimekula na kuishi nao sana wakati nafanya kazi UNHCR pale Mishamo na Katumba mkoa wa Katavi.
Hajui kitu zaidi ya Ubishi mrundi uyo na hapa yuko TZ hataki kurudi kwao ata kusalimia
 
Back
Top Bottom