Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Kwenye uchaguzi huu, niliyoyashuhudia ni makubwa.
Nasema tena poleni sana viongozi wa upinzani mnawapigania Watanzania wasiojielewa hii inatokana na mifumo aliyoiweka Mwl. Nyerere. Kuna madudu mengi kwenye uchaguzi huu lakini kete pekee ambayo upinzani mlietegemea ni nguvu ya Wananchi-tatizo kubwa wananchi wengi hawajui umuhimu wa siasa katika maisha yao.
Kama kungekuwa na Wananchi wanaojitambua hayo matukio yote yasingekuwa ya malalamiko bali inge repotiwa tatizo na suluhisho ambalo wananchi wamechukua dhidi ya tukio
Niliwahi kusema humu kuwa kwa Watanzania hawa Nina waona walivyo waoga na wajinga uchaguzi huu hukutakuwa na zaidi ya wabunge 5 bungeni-kwa dalili zote inaonekana hata hao 5 itakuwa ni ndoto.
Rai yangu, Mara 100 muwe mnakubaliana na CCM mvute mpunga kuliko kuhatarisha maisha yenu kwa sisi Watanzania wajinga.ngoja tukandamizwe hivi hivi mpaka siku akili zitakapokuja kutukaa sawa.