Ujinga wao utadhihirika wakianza kulalamikia matendo ya walio wachaguwa.Hii post inaonyesha kuwa uligundua watu hawakupigia kura upinzani! Watanzania siyo wajinga, na ukiamini kuwa wamepiga kura kwa ujinga basi usiwaombe kura zao.
Ujinga wao utadhihirika wakianza kulalamikia matendo ya walio wachaguwa.Hii post inaonyesha kuwa uligundua watu hawakupigia kura upinzani! Watanzania siyo wajinga, na ukiamini kuwa wamepiga kura kwa ujinga basi usiwaombe kura zao.
Mziki huwakusanya watu, mziki huwaleta watu pamoja zaidi hata siku ya mwisho parapanda litalia sasa wewe usiende ubaki pekeyako dunianiSio suala la kuwashawishi kwa maneno tu bali kwa kuwaletea wanamuziki ka kina diamond bure, kuwapa fedha buku tano, kuwatisha kupitia ujinga wao kuwa tutakuwa kama libya. Hiki ni kitu ambacho mtu mwenye akili hawezi kufanya ili kumshawishi mtu.
Kweli wewe ni matopeNa mm ninakir kabisa ni mtanzana mjinga mm pamoja na familia yangu
Eti nikapige kura kwa faida ya nani?
Nikatumike kama karai kwa maendeleo ya familia nyingine
Awe Gwajima au mdee akiwa mbunge mm ninapata faida gani?
Watanzania wanajiuliza maswali kisha bushit ngoja niende kwenye mishe mishe zangu huyo Halima Mdee atapigiwa kura na ukoo wake au familia yake kwa sababu watakuwa na faida au maslahi kwa familia zao
Halima nimemuweka kama kielelezo tu lakini hii inawahusu wabunge wote , madiwani wote hata urais
Watanzania uwa atupigi kura kwa sababu…
Lugha sahihi kutokana na Mambo wanayoyafanyaKiongozi mbona naona unatumia lugha kali sana kwa wananchi na kukata tamaa!
Uchaguzi siyo jambo jipya Tanzania kwa hiyo usidhani kuwa kweli watanzania ni wajinga kisi kuwa hawajui maana ya uchaguzi. Uwepo wa akina Lema, Sugu, Mdee, Zitto na wengineo wa upinzani kwenye mabunge yaliyopita ni maatokeo ya uchaguzi huu huu.Ujinga wao utadhihirika wakianza kulalamikia matendo ya walio wachaguwa.
Unapo jitoa kuipigania haki ya mtanzania basi jua atakuachia wewe uipiganie haki yake huku yeye akiwa amesimama pembeni ,Kweli kabisa ulichoongea mkuu,viongozi wa upinzani wanajitoa sana katika siasa lkn wananchi wanawavunja moyo
Hii hoja yako ingekuwa na maana kama kungekuwa na mazingira saw a kati ya upinzani na chama tawala.upinzani wanafanyiwa kila aina ya uovu kupitia chama na nguvu ya serikali lakini wanaohangakiwa wapo wamelala usingizi wa pono.Labda, labda tu hao Wananchi unaowaona na kuwaita wajinga ni werevu kuliko wewe na kundi lako, kwa taarifa yako kushindwa kuwashawishi Wananchi wakusikilize na kukufwata ni kosa na mapungufu yako na siyo ya Wananchi, watu wenye high IQ (ambapo chadema siyo) hulijua hilo na kuwa wanyenyekevu na kujiuliza wapi wamekosea na kwa nini wanashindwa kuwashawishi walio wengi labda wewe siyo intelligent kama unavyojidhania , thats how winning is done, my friend na siyo kukejeli na kutukana mtu ambaye umeshindwa kumshawishi, ...
Kama serikali ya CCM inaunga mkono ushoga kuna tatizo gani kama nao wakiunga mkono.Wapinzani wanaoeneza sera ya ushoga unategemea waungwe mkono na nani?
Kabisa matope yale meusi tiii,,Kweli wewe ni matope
Amsterdam outLeo niliamua kupiga kura muda ya jioni kwa lengo la kwenda kuona picha halisi. Nilifika kituo ni saa 9:25 alasiri ikiwa imebaki do 45 kipenga kipulizwe. Ninashukuru nimekuta wakala wote wa CCM na Chadema tu. Msimamizi alikuwa friendly sana. Wakati anafungua faftari kutafuta jina langu nilishikwa na butwaa kuwa turn up ilikuwa ndogo. Yaani tick ni chache mno. Nikamuuliza vipi mbona muda unaisha na watu bado? Naye anasema hajui. Jioni hii nimeshapata taarifa Diwani ni CCM na Mbunge na Uraia wameongoza CCM. Kesho ndiyo nitapata kura halisi kwa wagombea.
Hivi wewe shule ulikwenda kusoma au kunywa uji,hapa sizungumzii watu kutowapigia kura upinzani bali dhuruma za wazi wanazpfanyiwa kama kutowaruhusu mawakala,wizi wa kura,unyasasaji,kutopewa fomu,kutolewa nje na mambo mengine mengi.Hii post inaonyesha kuwa uligundua watu hawakupigia kura upinzani! Watanzania siyo wajinga, na ukiamini kuwa wamepiga kura kwa ujinga basi usiwaombe kura zao.
Mpaka sasa bado hujayapata?Kweli kabisa ila uchaguzi huu ni jaribio la kuona kama adui ujinga amefutika nchini. Majibu tutayapata soon.
Hivi mkuu..ulikaa kabisa ukadhani lisu anaweza kuwa Rais au unatania?Lisu asipokua Rais sioni haja ya kufanya uchaguzi tena kwa ngazi ya urais mambo yatajirudia yaleyale Bora hela za uchaguzi tufanyie mambo mengine CCM waendelee kubaki madarakani tu huku vyama vya upinzani vijiandae vizuri ili kuhakikisha siku ya kubali kufanya uchaguzi wanajua na kila mbinu ya kuiondoa CCM madarakani , mambo yanakatisha tamaa kabisa
Hapana, u-'MODERATOR' haukufai. Zidisha juhudi uonekane ili upate ukuu kama aliopewa Makonda (Bashite). Nafasi kama hiyo ndiyo inayokufaa wewe.Mkipewa Uhuru wa Kuongea mnaongea Upuuzi.. I wish ningekuw MODERATOR... Mbn mngefurahi
Kosa la wananchi hapo ni lipi hasa?!Lugha sahihi kutokana na Mambo wanayoyafanya